Watu wenye pesa/mafanikio wako very humble

Kwa ujumla watu masikini Wana kelele Sana.....
Hata baa za watu masikini zina makelele Sana ...

Kelele inaenda Sana na umasikini
Kelele inaenda Sana na kutosikia details...na watu wasiopenda details Wengi ndo masikini
Mkuu The Boss, you have nailed it.

Bar za matajiri mkizungumza mnasikilizana na siyo kupayukapayuka, huku kwa masikini unakuta ukitaka kuzungumza unashindana na sauti ya muziki [emoji28][emoji28]

Hell no!

Ila umeadimika sana siku hizi. Au na wewe umeanza kulamba asali? [emoji16][emoji16]
 
Mi hayo maisha siyapendi, ndio sababu kuu kujitoa kwenye jamii (kazini) ukiumwa au kujifungua basi wanakuja ukiweka msosi wapiga picha watume kwenye group huko la kazini.... mamaeeeehhh mmekuja kupiga picha nyumbani kwangu ningetaka si ningepost mwenyewe 🤣🤣🤣 nshawaambia marufuku mtu kuja kwangu
 
Sure
 
Nakubaliana na wewe, Nina 13yrs humu JF na kipindi flan nilikuwa natumia Sana mtandao huu kupata wateja, Kuna baadhi ya wateja aroooo huku nyuma ya keyboard wapole na wastaarabu Sana yaani humkuti kagombana na mtu lakin ukikutana nae mmmh maashaAllah,

Ila wenzangu na Mimi Sasa
Wale watu wa kelele nyingi hamna kitu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]

Wewe umejua kuwakomesha.

Halafu, hivi kuna ulazima gani wa kuitangazia Dunia kuhusu maisha yako binafsi? Ile iweje kwa mfano? Ni kutafuta approval au?

Naamini partner wangu amejifunza kitu aisee.
 
Sijui kwanini nimemkumbuka mpwayungu village bila sababu.
Nadhani kwa vile ni tajiri yetu wa jf mpole na hana mbambamba
 
Hii story nimecheka sanaa, be humble always.

Partner akakusanya funguo na aifoni chapuuuu
 
Ulivyomalizia sasa🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…