Watu wenye pesa/mafanikio wako very humble

 
Do khaleed masikini?
 
Wasukuma hatujui kuongea sauti ya chini....si eti kaka Shimba ya Buyenze
Hahaha siku moja JNIA majira ya saa 9 kama sijakosea..
Mama/bibi mmoja wa kisukuma akapokea simu toka kwa mwanaye nahisi alikuwa Mwanza kwasababu huyo bibi alikuwa kwenye foleni kuelekea mlango wa kwenda kupandia airbus ya Mwanza

Bibi...niambieee mujuu wangu Joyisi, napandaaa ndege muda huu ninakujaaa na zawadiiii.

Yaani lounge yote ilicheka hatari🤣🤣🤣🤣

Sauti iko juu kama vile anamsemesha mtu yuko mbali sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
.......shida ya hao watu pia ni ile kujikweza hata mbele ya watu wasiowafahamu wala kufahamika kwao.....sometimes unajishusha na kukubali kuwa ana uwezo kuliko wewe lakini cha ajabu utaona bado anakuletea pozi wewe uliyejishusha kwake mimi nilijua watu wa hivi uwa wanajitutumua labda Kwa watu waliowadharau kabla ya mafanikio yao.....mf: unakuta anajua kabisa kuwa Mimi nafahamu yeye ana gari la kifahari na miradi mikubwa lakini mkikutana hoteli lazima achomoe funguo aizungushe kwenye vidole, au anakwambia 'leo bana lazima niingize million sita aisee' ......
Lakini all in all tunatakiwa kukubali kila mtu ana namna yake ya kufurahi hata kama inamuumiza au kuwaza mwingine......nafikiri tuwe calm, wapole, mambo mengine ni mapungufu ya kibinadamu, unamchukulia mtu alivyo then unaangalia namna nzuri ya kuishi nae, ukijali sana utaonekana una wivu......

 
Sio kila anayening’iniza ni show offs. Wengine ni kwa usalama zaidi..
Hii ni justification tu mnatafuta.

Kuna mtu mmoja nilimuuliza kwanini ananing'iniza funguo kiunoni akasema eti akizichanganya funguo na simu, simu yake inachubuliwa screen na funguo za gari kwasababu ya msuguano [emoji28][emoji28]..

Mara eti kwenye lux kuna usalama zaidi kwasababu akilewa hawezi kupoteza funguo [emoji2][emoji2]...
 
Neno mkuu! Nimelichukua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…