Watu wenye pesa/mafanikio wako very humble

......yeah hili pia ni kweli, ukining'iniza sio rahisi kuanguka, ndo maana kesi za kupoteza funguo za gari ni chache kuliko kupoteza za ofisini au home.....
Hapa kuna mwingine anasema unakuta mtu ananing’inia rundo la funguo. Ukute huyo mtu ameshajiona ni careless so bora funguo zote (nyumba, ofisi, pikipiki, gari) zote ziko kwenye holder moja na ziwe zinaning’inia.

Binafsi naning’iniza funguo ya gari tu lakini sijawahi hata kuhisi kwamba nafanya hivyo sababu ya show off.
 
Naona unatupa ndoano kijanja,,,wanakuja na wewe uwape relationship agreement na udepositi na ya kutolea kwenye namba zao!!!
 
Sifa nyingine ya umasikini, ni kukerwa na vitu vidogo vidogo tu, tena vya kawaida. Mtu akiweka funguo kwenye luksi, anakukera. Mtu akiweka funguo nyingi kwenye holder moja, anakukera.

Sio tabia ya matajiri kukerwa na vitu vidogo vidogo kama hivyo. They simply don't give a f@ck!
 
Nakupa siri moja tu angalia wale matajiri wanene wengi huwa wapambe wa matajiri halisi. Yaani kitambi boy anatumwa na big boss katulia nyuma wala hajulikani. Sababu ya kuwa kitambi ile ni stress asije kuharibu nae akaondolewa nafasi yake.
 
Funguo ziwekwe mfukoni. Mara nyingi suruali au pensi inakuwa na mifuko 4, miwili ya mbele na miwili ya nyuma. Mmoja wa nyumba unaweza kuweka wallet, mwingine wa nyuma weka handkerchief kama unayo. Mmoja wa mbele weka simu, na mwingine wa mbele weka funguo za gari na nyumba.

Point hazina mashiko coz kwanza kabisa simu ina screen protector, halafu mifuko ina usalama sana hata ukilewa, unless mtu aje akusachi.
 
Huyo jamaa yako ana ubishoo wa kizamani kinoma toka 97.Hata huku Iringa unapotea potea .
Uko sahihi kabisa mkuu. Nilishamwambiaga mara nyingi akawa mbishi kubadilika, ila this time around naona kanyooka.
 
Mkuu umesema kila kitu.

Pata Pepsi moja baridi hapo dukani kwa mangi nakuja kulipa [emoji28]...
 
Kwa ujumla watu masikini Wana kelele Sana.....
Hata baa za watu masikini zina makelele Sana ...

Kelele inaenda Sana na umasikini
Kelele inaenda Sana na kutosikia details...na watu wasiopenda details Wengi ndo masikini

Ghafla nimewaza singeli na vibao kata

Halafu nikawaza R&B
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…