M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 2,818
- 8,465
Hata Sierra Leone ni weusi waliorudi kutoka bara la Ulaya(mostly Uingereza) lakini kizazi chao cha sasa wanahaha jinsi ya kurudi Ulaya.weusi wa South Africa wamenishamgaza sana. South Africa inaweza kuwa ndiyo uthibitisho mkubwa. Nasikia hata Liberia walikuwa wamatekani weusi waliorudi kutawala nchi na zikaanza vita, yaani hopeless
Kuendeleza kwao na ndugu zao.Mbona hizo interest zao huja nionesha ?
At least hakuuiba na wageni, kosa lake kubwa ilikuwa dictatorship,Andiko langu linazidi pata uhai.
Huyu huyu JPM wa uwanja wa ndege kijijni kwao na ambae hashauriki au kuna mwengine ?
Waliongia kwenye siasa hawana akili lakini wana afadhali kwani watawaliwa ndiyo hawana akili mara dufu, haiwezekani mlio wengi mtawaliwe kizuzu na watu wasiokuwa na akili.Watu weusi tuna akili nadhani walioingia kwenye siasa na wanaotuongoza siyo wabunifu na uwezo wao haukidhi matakwa ya ofisi walizokalia
Nakupa case study: South Africa chini ya makaburu, Botswana chini ya wazungu, Singapore chini ya wachina, Australia chini ya wazungu, U.S.A chini ya wazungu wa Ulaya.Kuendeleza kwao na ndugu zao.
Wametawaliwa na raisi shoga kwa muda mrefu, hiyo ni negative mbaya mno japo kwenye uchumi na democracy wanajitahidi ingawa nao wanapigwa sana huko kwenye almasi na kampuni ya The De Beers Diamond Consortium inayohodhi biashara hiyo katika nchi za Botswana na SA.Botswana wameweza,sijui wengine tumefeli wapi
Waafrika hawakushirikishwa kwenye uchumi wa SA, Botswana chini ya mzungu kulitoka nini kwa Waafrika, kiuchumi? Singapore ipo dominated na Chinese ethnics hamna waafrika huko, Australia hamna waafrika labda immigrants wajuzi toka South sudan na wachache waliotoka nchini nyingine na wenye bara lao wa Aborigines hawajafaidika na uchumi na ungejua walichofanyiwa na wazungu hata usingedhubutu kuwaweka kama mfano. Halafu kabla hujajibu fahamu nimeenda kote huko kasoro Botswana. Nisema hivi iliujue najua nachosema.Nakupa case study: South Africa chini ya makaburu, Botswana chini ya wazungu, Singapore chini ya wachina wa Han, Australia chini ya wazungu, U.S.A chini ya wazungu wa Ulaya.
Umeelewa nilivyo ziorodhesha hizo nchi lengo lilikuwa ni nini ?Waafrika hawakushirikishwa kwenye uchumi wa SA, Botswana chini ya mzungu kulitoka nini kwa Waafrika, kiuchumi? Singapore ipo dominated na Chinese ethnics hamna waafrika huko, Australia hamna waafrika labda immigrants wajuzi toka South sudan na wachache waliotoka nchini nyingine na wenye bara lao wa Aborigines hawajafaidika na uchumi na ungejua walichofanyiwa na wazungu hata usingedhubutu kuwaweka kama mfano. Halafu kabla hujajibu fahamu nimeenda kote huko kasoro Botswana. Nisema hivi iliujue najua nachosema.
Australia walivyoenda majority walikuwa Aborigie wakawamaliza in a systematic manner tunaongelea level ya genocide, the same kwa Red Indians huko States. Unataka watuue ili hizi nchi zipae kiuchumi?Umeelewa nilivyo ziorodhesha hizo nchi lengo lilikuwa ni nini ?
Kwa nini hao wazungu na wachina wasii endeleze nchi walizo toka bali wali endeleza walipo ?
actually mtu mweusi hapashwi kuishi , Mungu angeliwafuta kwenye uso wa dunia na kuwaumba bada ya miaka 1,000,000
Sijaelewa swali lako? Fahamu tu Australia walifuta 84% ya Aborigie na US walifuta 90 to 95% ya Native Americans.Nao nyie mli uawa ?
Bora tuwe na mashoga ila wanajua kuipangilia nchi na kila kitu kinapatikana kwa muda unaofaa,Kuliko kuwa na Viongozi kama wa wakati huu akili zao wanawaza kukopa tu kila siku.Kwa uandishi huu kweli nimeamini wewe ni mtu mweusi na huna akili.
Uwaachie nchi kwa miaka 100 wakutawale halafu baada ya hiyo miaka ujipenyeze kuchukua utawala??!!--- kwa akili hiyo hata ya kuku inayo afadhali.
Katika hiyo Miaka 100 wewe hutakuwepo, na tayari itakuwepo generation nyingine na mabadiliko ya kiuchumi na kijamii na mitazamo mipya kiasi kwamba hiyo azima ya wetu weusi kujipenyeza kushika madaraka ikawa ni ndoto ukizingatia kwamba madaraka yalivyokuwa matamu na ukute hao mliowakabidhi nchi wawe ni makatili/madikteta hapo ndio kabisa usahau kushika madaraka na utakuwa umejiingiza kwenye ukoloni/utumwa kwa kujitakia.
Turidhike na hali zetu na tujibidishe kwa kadiri tutavyoweza kwani akili hizi na uwezo wetu katupatia Mungu na wala sio kutokana na juhudi zetu binafsi, basi tusijidharau na kumkufuru Mungu kwani yawezekana hii hali yetu unayoiona dhalili labda ni makusudio fulani ya Mungu ambayo hatuyajui ambapo faida yake tutakuja kuiona bila kutarajia, isitoshe binadamu hatuwezi wote kulingana, hata maumbile yetu ni tofauti sasa hii ipo juu ya yule aliyetuumba.
Wazungu ndio wameendelea sana lakini hao ndio mashoga wa kutupwa na Uchafu wao huo wangependa kuuleta huku kwetu, ilmuradi hakuna zuri lisilokuwa na kasoro.
Australia walivyoenda majority walikuwa Aborigie wakawamaliza in a systematic manner tunaongelea level ya genocide, the same kwa Red Indians huko States. Unataka watuue ili hizi nchi zipae kiuchumi?