Watu weusi ndio walivuka bahari kuu na kufanya ustaarabu kote Asia na Ulaya

Hivyo hivyo vyombo vya Whites ndivyo viliandika kuwa Fuvu la mtu wa kwanza kabisa lipo Oldupai Gorge, Tanzania na picha wanapost.

Ni hivyo vyombo ndivyo vinasema kuwa mchezo wa mieleka ulianzia Africa kisha ugiriki

Ni hivyohivyo vyombo vinavyoitangaza Serengeti, Kilimanjaro, Ngorongoro na Selou game reserves kila kukicha.

Hebu tuche kulalamika sisi watu weusi

Tulikuwa wapi tusigundue vyombo vyetu vya habari ambavyo vingeitangaza Africa in a positive image?

Kwanini tunalalamika kuwa walitumia vyombo vyao kuandika historia ya uongo kuhusu Afrika?
 
 
Waafrika bwana kwa kutaka kujikweza kwa mambo ya kusadikika utawaelewa tu.

Mwafrika hajawahi sitaarabika kuzidi Mzungu wewe.

Tunawaona bushmen na maisha yao huko Namibia Then uniambie wametokana na jamii iliyostarabika ni kujidanganya tu.
 
Sasa hivyo ulivyotaja na vinavyosifiwa 99.99% ni vitu vya kiasili ambavyo have nothing to do with Africans. Kwani Mlima Kilimanjaro kuwepo pale ni Wachagga ndio wameuweka?
 
Wamegawanyika, wako wanaoficha na wanaofunua
 
Waafrika bwana kwa kutaka kujikweza kwa mambo ya kusadikika utawaelewa tu.

Mwafrika hajawahi sitaarabika kuzidi Mzungu wewe.

Tunawaona bushmen na maisha yao huko Namibia Then uniambie wametokana na jamii iliyostarabika ni kujidanganya tu.
The saga is more complex kuliko unavyo fikiri wewe
 
It is not a fallacy brother,read the bible pale rebecca mke wa isaka alipozaa mapacha,imeandikwa esau alitoka akiwa mwekundu ambayo inaweza maanisha ni mweupe,lkn haijaandikwa rangi ya mwenzie,hapo jiongeze.

Musa alipokua anapokea ishara kutoka kwa Mungu,akaambiwa aingize mkono wake kwny joho,mkono ukatoka mweupe km theluji,yaani alipata ukoma,wataalam wanakwambia ni mtu mweusi tu ambaye akipata ukoma ngozi yake inakua nyeusi.

Mzungu kafanikiwa sana kutubrainwash,katudanganya hadi kwny masuala ya ushauri wa kiafya,kuna ushauri wa kiafya hauwezi kupewa sawa kati ya mweusi na mweupe,sababu inawz dhuru mmoja wapo,lkn wao wanatuaminisha tuishi km wao kwa lengo la kutupungza,lkn hii ni topic ya cku ingine.

Read brother utagundua mengi sana.
 
Kuna verse moja kwny wimbo ulio bora wa mfalme sulemani,anasema yeye ni mweusi nk,ckumbuki ni sura ipi.
 
Kumbe huku kwenye Shithole siyo kwetu
Sisi ndio first inhabitants wa dunia,kuna theory mbili za mwanzo wa wazungu,inasemekana wazungu ni uzao wa malaika walioshuka na kuzaa na binadam wakt wa nuhu.

Na nyingine inasema wazungu walianzia kwa esau mtoto wa isaka,isaka alizaliwa mwekundu kwa mujibu wa bible na alikua na malaika wengi,ht yakobo alipojivika ngozi ya kondoo kujifanya esau bdo babake aliamini yeye ni esau kweli cuz alikua na malaika wengi hadi mikononi,sote tunajua wazungu wana malaika mengi kuliko waafrika.
 
Sasa hivyo ulivyotaja na vinavyosifiwa 99.99% ni vitu vya kiasili ambavyo have nothing to do with Africans. Kwani Mlima Kilimanjaro kuwepo pale ni Wachagga ndio wameuweka?
Wazungu kuandika kuwa mieleka iliasisiwa Africa kisha Wagiriki wakaiga sio kuukuza utamaduni wa kiafrika ama kuupongeza?

BTW, swali la msingi lilikuwa kwamba ni kwanini Waafrika hawakugundua vyombo vya habari vitakavyowatangaza vizuri wao na ustaarabu wao duniani kote?
 
Apa mzungu alichemka kufikilia
Ni maswali ambayo hata walimu wetu wa historia huko msingi na sekondari na hata wa biolojia wameshindwa kujiuliza na kutufuta na huo ujinga kwamba blacks tu ndio walitokea kizazi cha masokwe
 
Mkuu tatizo sio tulikuwa wapi
Tatizo mzungu katubrainwash kwamba kila kitu kilianzia kwake Scientist wa kwanza mzungu
Mbailiojia wa kwanza mzungu
Mfizikia wa kwanza mzungu
Mkemia wa kwanza mzungu
Mjeolojia wa kwanza mzungu

Ukienda deep utakuta material walizotumia hao wanaosemwa wagunduzi wa kwanza walichukua kwa watu weusi kizembe sana wengi tulijua mzungu alifuata treasure tu afrika na sio kweli ona mmarekani alichokifanya iraq kawagombanisha kumbe yeye alifuata material zote za kimapokeo amezipeleka kwake baadae utasikia wamegundua kitu flani kumbe iliandikwa mahali fulani na wao wakaiba kukiendeleza tu na sio wagunduzi
 
Mkuu...Waafrika wengi tunapenda kujifariji katika Uongo na Ujinga.

Pia waafrika wengi tunapenda kulalamika badala ya kutafuta masuluhisho ya matatizo yetu.

Lakini zaidi Waafrika tunapenda raha na starehe lakini hatutaki kutengeneza mazingira ya kuleta hizo raha na starehe sisi wenyewe.

(Hizo ndio tabia za Mtu mweusi [emoji115] )

Hata hapa inatupasa tukubali kuwa Wazungu walishatuacha mbali sana KIUMOJA, KIFIKRA, KIUBUNIFU na KIUGUNDUZI. halafu baada ya hapo tutafute namna ya kujiongeza haswa kiumoja na kiugunduzi.

Viongozi wa Afrika kwa miaka mingi sana pia wamekuwa ni sababu ya umasikini wa kupindukia Afrika.

Kujipa Hopes hapa ni Ujinga tu na wala haitamzuia Mzungu kuzidi kutuacha mbali.


Long live Donald Trump[COLOR]
 
Exactly mtu mweusi ndiye aliyeleta civilization duniani,hata pale kwenye bahari ya shamu,katika lile kongamano la watu watu kutoka Misri,walikuwepo watu weusi pia,Nina uhakika na ninachokisema,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…