Watu weusi ndio walivuka bahari kuu na kufanya ustaarabu kote Asia na Ulaya

The saga is MRE complex kuliko unavyo fikiri wewe
The saga is complex and indecipherable indeed to the extent that you ain't aware of it,rather than overating ancient Africans without sensible proofs...

Hatukatai kwamba blacks walijenga pyramids,Inaweza ikawa kweli (japo hata hiyo isue ina full of conspiracies).

Hatuukatai ustaarabu wa Mansa K Mussa huko west Afrika.

Lakini je hayo ndio kipimo pekee cha kuonyesha intelligence ya mwafrika?

Tena ustaarabu wa miaka mingi iliyopita ndio tunajivunia.Wakati wenzetu wanajivunia kutengeneza ndege,computer,magari,satelite etc.Sisi tumekalia mapyramid ambayo hata hakuna ushahidi convincing nani aliyajenga.hii ni inferiority complex ya kiwangp cha lami.
 
Asante kwa mchango wako
 
Pyramids za Egypt hazikujengwa na Watu weusi, kama wangejenga watu weusi basi kungekuwa na majengo mengine meeengi imara waliyoyajenga wao kwa kipindi hicho.

Watu wajenge pyramids za namna ile kwa miaka ile kisha waishi kwenye tembe na mapangoni kwa maelfu ya miaka mpaka 1880's?

Hiyo ni logic ya kawaida kabisa ya kufikiri.

Mpaka leo hii aliyebuni kaburi la khufu ndani ya ile Pyramid hajulikani, na hapo utasikia mpaka habari za Aliens waliozaa na watu wa kabila la Dogon wa Mali empire wakazaa watu wenye akili sana waliobuni hayo makaburi.

Suala la Mansa Musa kuwa na ustaarabu wa kiafrika ni Uongo. Mansa Kankan Musa kutokea kwa Mzee Sundiata Keita walikuwa na ustaarabu wa Kiarabu.

Mansa Mussa ni maarufu wa tangu zamani kutokana na sababu mbili:-

1) Utajiri mkubwa sana.

2) Ni mtu mweusi wa kwanza kama kiongozi kwenda kuhiji Mecca kwa pesa zake.
 
Pyramids za Egypt hazikujengwa na Watu weusi, kama wangejenga watu weusi basi kungekuwa na majengo mengine meeengi imara waliyoyajenga wao kwa kipindi hicho.
Japo fanya utafiti basi, piramidi kongwe zaidi ziko Sudani kusini, kote Zimbabwe,nakote kwingine duniani, alikokanyaga mweusi,unaekiri nibinadamu wa kwanza,ndilo chata na logo yetu
 
ni jambo la kawaida kufundishwa na mwalimu wa elimu ya darasa la saba na ukafaulu na kuwa mwalimu ukiwa na phd lakini haiondoi nafasi yaualimu kwa aliyekufundisha!
 
mkuu basi achana nae huyo hajui kitu tatizo anajibu hoja bila fact ..yaani anatoa vitu kichwani tu kama kanywa chibuku..endelea kushusha nondo hizo mkuu tunaotaka kujifnza tupate elimu ..haya mambo huwa nayafuatilia kwakina mnoo kila unapoanzishwa mjadala unaohusu uhalisia wetu hpa Jf ..huwa sitaki mambo haya ynipite kushoto kabisa..endelea kunyumbulika mkuu..

daaahh leo sinto kula aiseee
 
Watu hawajui mlolongo wa mambo uliotufikisha hapa, ukiwa uliza historia wana kwambia historia kuanzia karne ya 15 baada ya kuzaliwa Yesu na wakati bara LA Africa Lina mlolongo wa mambo na historia maelfu yamiaka kabla ya kuzaliwa Yesu
ha ha ha ha ha a watu hawajui kuwa yesu alivyokuja alikuta watu tayari wanaendelea na maisha yao longtime
 
Mpaka leo hii aliyebuni kaburi la khufu ndani ya ile Pyramid hajulikani, na hapo utasikia mpaka habari za Aliens waliozaa na watu wa kabila la Dogon wa Mali empire wakazaa watu wenye akili sana waliobuni hayo makaburi.
Mjenzi wa piramidi aliitwa imhotep, Huyo alikuwa mkali ile mbaya, pamoja na physics alikuwa biologist
 
Mjenzi wa piramidi aliitwa imhotep, Huyo alikuwa mkali ile mbaya, pamoja na physics alikuwa biologist
Hiyo habari bila shaka umegoogle paap ukapata maelezo hayo n.k, na hata mimi huwa nagoogle....lakini tunatakiwa tuthink na kujadili vitu beyond google.

Kwasababu hata waliofeed hizo taarifa katika google kama search engine ni watu.

Kwahiyo waliojenga old pyramids za Mexico ni watu weusi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…