Watu wote mnaomuamini Mungu mje, nina swali kwenu 😒

Pole sana . Mwenyewe nina nusu saa tu nalala.
Anyway.
hoja yangu ni ile ile. Je hizi laws unazoongelea ni za Mungu?.
Demonic power zinashinda Nguvu za Almight God?. Tena kwa kiumbe ambacho hakijui jema na baya?.
Laws aliweka ni Mungu ndio maana unaona hata yeye havuki mipaka flani flani aliyojiwekea na kumpa mwanadamu uwezo afanye execution kwa niaba yake.

Hakuna mahala nimetaja dhambi ndio wala kutaja mema na manaya kuwa chanzo cha watoto. Nimeelezea kwa kufata kanuni ma sheria za roho ambazo moja kwa moja huwa zinaongoza mambo ya rohoni kuja mwilini

Na tunaweza kuwa tunapisha kutafsiri maana hapa katika unacho andika na ninacho andika
 
Watoto wa Gaza, Ukraine, Sudan, Lebanon na Congo wanaouwawa vitani wamevunja sheria na kanuni gani ambayo inamzuia mungu kuingilia??
 
Ikiwa kila kitu kingekuwa katika ukamilifu hakuna ugonjwa wala kifo, dunia hii ingekuwa Paradiso tayari. Lakini asili ya maisha ya duniani ni kuwa na mapungufu, na hayo mapungufu ndiyo yanatufanya tutafute maana zaidi ya maisha haya.Vimbunga,vifo,mafuriko na mabaya yote yasiyoelezeka ndilo kiza lenyewe la dunia,kufikiri kuwa hakuna Mungu kisa kuna wasio na hatia waokufa,huo ndio mtihani wenyewe wa kutafuta maana ya uwepo wako! ….. mwili wa binadamu upo complicated sana kuliko hayo majanga unayo yaona,uchungu unaouhisi ni matokeo ya mwili wa ajabu unao umia kwa majanga unayoyaona- leo hii unachezea simu vipi uliichuma kwenye mti kama mwembe,ona mercedes banz GL E Class inavo vutia,vipi unaweza kusema haina aliyeiunda,kama gari likikata mafuta linakua kama kopo tu,vipi mtu akikata pumzi? Yaani ulitaka dunia iwe rahisi kama tebo ya kwanza? dunia ni chungu,dunia ni nyoko,dunia ni tamu,dunia ni paradiso,dunia ni kuzimu wazee-ila vyote unavoviona ni uongo mtupu,uongo huo wote unawekewa nukta na KIFO β€” Wazee Kila pumzi inakupeleka kuonana na Mungu hivi punde!
 
Sasa kwanini, asiziache roho za watoto huko huko zilipo? ni nini sababu ya kuzifunganisha kwenye tumbo la mama kwa miezi 8 halafu kuziua kabla hata hazijafika duniani? au kuzileta duniani kwa siku kadhaa halafu kuziua?
Tumboni anayefanya mimba ikae ni nyinyi pale mnapofanya ngono.
Mimba ikishatunga program itaingiza roho na kuendeleza ukuaji.

Ni kama shambani ukipanda mmea lazima uhakikishe magugu na vyote visivyostahili uviondoe na mahitaji muhimu unaweka ndipo mmea ukue vyema.

Zile dalili na purukushani anazokuwa nazo mjamzito huwa ni taarifa ya namna ya kuitunza mimba iweje na nini kifanyike, zile dalili zinatoa hadi ramani mtoto anayezaliwa atakuwaje, je yanazingatiwa hayo? ukipuuzia mawingu usishangae mvua ikikunyeshea.

Ukiona mimba imeharibika, mtoto kafa siku chache baada ya kuzaliwa, au kawa mlemavu nk, mzazi ndio umesababisha bahati mbaya(wengi kwa kukosa elimu) au makusudi. Yaani Mungu(kama yupo) ndio atakuhoji wewe kwanini umefanya uzembe na umesumbua kiumbe chakeπŸ˜„
 
Mbona China, Japan, Korea, Thailand na Vietnam zina ustaarabu wa hali ya juu tu ?
kwa Abrahamic Religions, nazungumzia hapa TZ.

Kuhusu huko Far East ulipopataja, nao pia ni dini zao ziliongeza ustaarabu.

Social order ni muhimu kwa jamii yoyote, dini ni moja ya tools zinazosaidia ku-enforce social order ili watu jamii husika waishi in harmony.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…