Sayansi katika mambo mengi inaeleza why and how, Kuna baadhi ya mambo hailezi why kwa wakati fulani (hata hivyo kutokueleza why sio kushindwa bali ni ukomo wa uelewa kwa muda huo tu kwa sababu kila siku knowledge katika sayansi inakuwa)Sayansi inaeleza kuhusu how sio why.
Itakuelezea namna cancer inavyotokea, lakini haiwezi kujibu kwanini watu wanatafuta justice, hope n.k hata katikati ya suffering.
Kwa maelezo yako, basi hata upendo wa mama kwa mtoto au huzuni ya kumpoteza mwanao inabidi uiite mere biological reactions.
Kwenye mamlaka ya Mungu tunatumia paradox.Kwenye divine sovereignty hakuna logic? Huko huwa mnatumia nini?
RohoInteresting,
Nini kinachokufanya wewe kuwa wewe kama sio mwili wako kwa maana ya DNA, Ubongo, personality n.k? Endapo mwili wako umekufa unawezaje kuendelea kuwa wewe ??
Sayansi ina majibu mazuri sana kwa nini(why) watu wanatafuta haki, usawa, matumaini n.kSayansi inaeleza kuhusu how sio why.
Itakuelezea namna cancer inavyotokea, lakini haiwezi kujibu kwanini watu wanatafuta justice, hope n.k hata katikati ya suffering.
Kwa maelezo yako, basi hata upendo wa mama kwa mtoto au huzuni ya kumpoteza mwanao inabidi uiite mere biological reactions.
Wewe ni kilaza mpumbavu , unataka uelekezwaje uelewe?Mkuu hii ni hoja nzito, kuna sources zozote zinazoweza kuback up hicho unachokisema?
Yani mtoto akizaliwa na cancer au matatizo ya upumuaji, au hata yale ambayo sayansi bado haijapata majibu kwanini yanatokea, makosa ni ya wazazi?
Ningependa unielimishe zaidi juu ya hili. Shukrani!
Una uelewa wowote kuhusu cellular memory?Sayansi katika mambo mengi inaeleza why and how, Kuna baadhi ya mambo hailezi why kwa wakati fulani (hata hivyo kutokueleza why sio kushindwa bali ni ukomo wa uelewa kwa muda huo tu kwa sababu kila siku knowledge katika sayansi inakuwa)
Nimeeleza hapo mambo mawili yenye kuelezea maisha ya binadamu ni science na social interaction. Uchungu wa kupoteza ndugu ni kutokana na biology na social relationship. Kama ukimchukua mtoto akiwa mdogo kabisa pindi tu amezaliwa halafu umtenge na mama yake halafu siku msiba wa mama yake umetokea umlete na usimuambie ni mama yake hawezi kulia au kusikia uchungu.
Kwamba magonjwa yote, hizi kansa, shida za moyo, mapafu, ubongo, malformation etc. ni wazazi ndiyo wanasababisha kwa uzembe π€.Ukiona mimba imeharibika, mtoto kafa siku chache baada ya kuzaliwa, au kawa mlemavu nk, mzazi ndio umesababisha bahati mbaya(wengi kwa kukosa elimu) au makusudi.
AiseeehYaani Mungu(kama yupo) ndio atakuhoji wewe kwanini umefanya uzembe na umesumbua kiumbe chakeπ
Unateseka sana kiongozi, hebu jaribu kunitupia kwenye ignore list usione huu upumbavu.Wewe ni kilaza mpumbavu , unataka uelekezwaje uelewe?
Nimekuambia kuna mambo "mengi" sijasema mambo yote. Hata hivyo inategemea why ya aina gani unayouliza wewe, kwa watu ambao wako interested na why mtu fulani amepata cancer why you inaweza kujibwa kirahisi kwamba ni pombe, sigara, kurithi n.k wakatosheka na kuishia hapo. Kwa wewe unayateka kujua kwa nini kifo kimetokea unaweza kujibiwa kwa sababu cells zilizeeka halafu ukauliza tena why zinazeeka na ukaendelea kuuliza why's nyingine nyingi kupelekea infinite regress isiyo na maana au value yoyote.Una uelewa wowote kuhusu cellular memory?
Sayansi itakuelezea tu namna cancer ilivyo weza kusababisha kifo kwa mtoto, namna moyo unavyo acha kudunda n.k
Una uhakika inaweza kuelezea kwanini ulimwengu umeruhusu kifo hicho kitokee kwa huyo mtoto?
If yes, how?
Kwenye imani ya dini.Kwenye mamlaka ya Mungu tunatumia paradox.
Sitakubishia, Sebha ale wawiza Ng'wanike, bokagi ulombe πSebha akojhiwe! π€£π€Έπ½ββοΈ
Wawiza no mlombe duhu!π€
Nielezee, paradox ndiyo inakuwaje?Kwenye mamlaka ya Mungu tunatumia paradox.
Cha kuelewa kwanza Mungu ni mfumo.Kwanini yeye atasalia milele ilhali amaeumba dunia ambayo by design itajifia yenyewe kwa kuangamizwa na joto la jua?
Mwanadamu amejipa au amepewa na maandiko, wale wakristo siyo kwamba kwenye kitabu cha mwanzo mliambiwa mtatawala vyote vilivyopo duniani?
Mungu ni mkamilifu kivipi? ukamilifu wake upo wapi kama anaumba viumbe wasio wakamilifu, wanaozaliwa na magonjwa yasiyotibika na ambao wanakufa baada ya siku au wiki kadhaa.
Sababu ya kuwaumba inakua ni nini? au anafanya kwa kuwa anaweza na ili kuonyesha ukatili wake?
Dhambi afanye Adam na Hawa hafu nihusishwe mimi kivipi? Si imeandikwa kila mtu atabeba msalaba wake? Huyu Adam na mke wake wabebe msalaba wao. Ukiangalia vzuri hiyo dhambi ya asili,chain inaweza kumfikia mkubwa wa kazi ndo akawa chanzo..anachofanya ni kututupia wanadam lawama tu kwa kitu alichoshindwa mwenyewe kukiondoa.Mtoto anekufa asie jua baya na jema ananaki na default settings zake.
Dhambi ya asili tunasema ni dhambi ambayo inatokana na Adamu na Eva, ile dhambi haipeleki mtu motoni isipokuwa ni dhambi ambayo inapunguza utukufu wa Mungu kwenye maisha ya mtu by default kuanzia utotoni. Mtoto anapo batizwa na kutaswa huondoa hiyo settings na kupata favor ya ku recover utukufu uliopotea ( ina matter neema na rehema za Mungu )
Linabarikiwa na nani?Kama tulivyo Wayahudi .... Tumbo kabla halijabeba mtu lina barikiwa ( Hi-65 Security against Curse ).
Sawa!ili uzae lazima uwe Mke halali sio hawala ( Laana Hii ).... Mtu mke na mtu mume ndio wanaoruhusiwa kuzaliana .
Nieleweshe kidogo, mtu anajimilikishaje ugonjwa?Ugonjwa au Magonjwa nayawekaga kama kundi moja na laana ( Mtu haumwi hadi ajimilikishe Ugonjwa ( Ujisainishe cheki)....
Kaka Mshana Jr njoo uujibie ulozi na vifo vya hovyo / bandia vilivyosemwa hapo juu!Kama unaamini mtu huja akiwa loaded kwa kila kitu kuuhusu uso wa dunia jua hawezi kufa hadi afikie azma iliyowekwa.
Napinga Vifo vya hovyo kuhusishwa na Mungu. ( Vifo bandia hapo jua Kina Mshana washachota Nyama na damu, Nafsi ya mtekwa ipo stoo ).
Elli, asante kwa kuexpand kwenye hili na kunielewesha.Cha kuelewa kwanza Mungu ni mfumo.
Kila kilicho undwa na Mungu kina namna ya kumjua Mungu.
Sisi binadamu tuna namna tuna mtazama Mungu na kupata taswira inayo kingana na upeo wetu.
Jua , nyota , sayari na ptotoni , giza , nuri , maji , wadudu, bacteria nk vina namna vina m taswira Mungu.
Sisi si conclusion ya Mungu yupo vile ama hivi!
Nimesema pale mwanzo Mungu ni mfumo, ambao umajiset na una jiendesha pasina kuhitaji Nishati yoyote , mfumo ambao hauna mwanzo na hakuna mwisho wake.
Sisi tuna kiwango chetu cha ufahamu, na utambuzi ambao kina kuwa kila uchwao.
Leo hii wale watoto uliosema pale mwanzo kweye mada yako kilicho tokea , miaka 1000 hakita tokea tena kwani mwanadamu atakuwa amefikia uwezo wa kuzuiya situation kama ile.
Lakini huo uwezo wa mwanadamu hauta weza kuwa juu ya uwezo ulio muunda mwanadamu ambao ni u Mungu ama mfumo.
Mimi pia naamini kwenye higher power/energy, pia nikifikiria namna tulivyo katone kwenye galaxies, najua sisi wala siyo kitu kwenye mzunguko wa maisha.Hayo maswali ulio jiuliza , walijiuliza hivyo wengi wasomi, Wana chuoni, wanafalsafa, wataaliMungu nk lakini walirejea na kusema kuna kitu kipo juu ya yote na si chochote ila kwa upeo wetu tunasema ni Mungu.
Joe umefanya nimecheka sana usiku huu ππDhambi afanye Adam na Hawa hafu nihusishwe mimi kivipi? Si imeandikwa kila mtu atabeba msalaba wake? Huyu Adam na mke wake wabebe msalaba wao.