digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Mkuu unadhani wote tukiacha ajira rasimi na kwenda huko unakoamni Kuna unafuuu je, nani ataoa Huduma kwa jamii? Wewe pambana huko uliko na Mimi nipambane huku niliko!!Ukisikia utumwa wa Tz ni kuwa mwajiriwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hangaya noma
Lakini ulikopa kwa hiyari yako hapo?Mkuu acha masihara, mishahara yenu inaendanana na huu wangu?
Huu mshahara nimeishi nao for ten years now, Nina mke, watoto tano na ndugu lakini ninaishi
Nimeanza na daraja A, B, C na Sasa Niko DView attachment 2207745
Walimu 45%DRS nyongeza ni 30% wameongezewa
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Upo sahihiKama kuna kitu nime-note kwenye mabango ya Mei Mosi ni kuwa Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa, yaani Halmashauri n.k., wana hali mbaya sana.
Ukiangalia mabango yao wengi wanaomba mishahara ipande na maslahi yao, lakini watu wa taasisi mfano WCF, Wizarani, PSSSF, TASAC, TPA wao wapo busy na mabango ya "mazoezi ni afya. ..mara chanjo".
Ipo haja ya kuwaangalia kwanza hawa wa Local Government, wamechoka sana ,kwa sura na kiuchumi.
Kama wale wa pssf wa zamani waliongia nssf looo hiyo mishahara ni mkubwa hatari kuwazidi hata staff wa nssf, na mpaka lei hakijafanyika kitu kulinganisha maslahi yaoKama kuna kitu nime-note kwenye mabango ya Mei Mosi ni kuwa Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa, yaani Halmashauri n.k., wana hali mbaya sana.
Ukiangalia mabango yao wengi wanaomba mishahara ipande na maslahi yao, lakini watu wa taasisi mfano WCF, Wizarani, PSSSF, TASAC, TPA wao wapo busy na mabango ya "mazoezi ni afya. ..mara chanjo".
Ipo haja ya kuwaangalia kwanza hawa wa Local Government, wamechoka sana ,kwa sura na kiuchumi.
Wote hawawezi kufanya huko,Division of LabourKama kuna kitu nime-note kwenye mabango ya Mei Mosi ni kuwa Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa, yaani Halmashauri n.k., wana hali mbaya sana.
Ukiangalia mabango yao wengi wanaomba mishahara ipande na maslahi yao, lakini watu wa taasisi mfano WCF, Wizarani, PSSSF, TASAC, TPA wao wapo busy na mabango ya "mazoezi ni afya. ..mara chanjo".
Ipo haja ya kuwaangalia kwanza hawa wa Local Government, wamechoka sana ,kwa sura na kiuchumi.
Pesa ya maji tu Haina mashikoHivi Afisa utumishi wa halmashauri anaanza na mshahara kiasi gani?
Umeficha Nini Sasa. Pale hazina wanakushangaa tu unavyolalamika !! Wanakuona !!!! Hint ni kiwango Cha mikopo na tarehe ya slip! Pia tarehe ya kuzaliwa na kustaafu zimekuacha uchi.be careful!!Mkuu acha masihara, mishahara yenu inaendanana na huu wangu?
Huu mshahara nimeishi nao for ten years now, Nina mke, watoto tano na ndugu lakini ninaishi
Nimeanza na daraja A, B, C na Sasa Niko DView attachment 2207745
Mkuu Kuna kosa nimefanya,? waambie hazina waje wanikamate niko shule ya msingi nanjilinji liwale,upuuzi mkubwa!!!, hii slip Ni yangu, Niko huru kufanya nitakacho hata Kama nisingefuta majina hakuna Cha kunifanya.Umeficha Nini Sasa. Pale hazina wanakushangaa tu unavyolalamika !! Wanakuona !!!! Hint ni kiwango Cha mikopo na tarehe ya slip! Pia tarehe ya kuzaliwa na kustaafu zimekuacha uchi.be careful!!
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Nje ya mada..vipi ufuta mwaka huu uko najilinji unapatikana?Mkuu Kuna kosa nimefanya,? waambie hazina waje wanikamate niko shule ya msingi nanjilinji liwale,upuuzi mkubwa!!!, hii slip Ni yangu, Niko huru kufanya nitakacho hata Kama nisingefuta majina hakuna Cha kunifanya.
Ulitaka nawewe mwenye uelewa mdogo ujue niko wilaya gani Hadi na majina yangu? Si Bora nikatambulika kwa hazina kuliko wewe!!! [emoji849][emoji849]
Kwa hii salary slip onaonesha mambo yafuatayo.Mkuu acha masihara, mishahara yenu inaendanana na huu wangu?
Huu mshahara nimeishi nao for ten years now, Nina mke, watoto tano na ndugu lakini ninaishi
Nimeanza na daraja A, B, C na Sasa Niko DView attachment 2207745
InaoneshaMkuu acha masihara, mishahara yenu inaendanana na huu wangu?
Huu mshahara nimeishi nao for ten years now, Nina mke, watoto tano na ndugu lakini ninaishi
Nimeanza na daraja A, B, C na Sasa Niko DView attachment 2207745
Kuna sehemu ameacha kadi?Mbona mkubwa sana huo? Tatizo umeukopea.
Hongera kwa kumaliza deni la bodi.
Acha panic... Ni ushauri tu. Ukitaka kufichia jina angalia na vingine viwezavyo kukutambulisha. Ni kwa nia njema tu !!Mkuu Kuna kosa nimefanya,? waambie hazina waje wanikamate niko shule ya msingi nanjilinji liwale,upuuzi mkubwa!!!, hii slip Ni yangu, Niko huru kufanya nitakacho hata Kama nisingefuta majina hakuna Cha kunifanya.
Ulitaka nawewe mwenye uelewa mdogo ujue niko wilaya gani Hadi na majina yangu? Si Bora nikatambulika kwa hazina kuliko wewe!!! [emoji849][emoji849]
TGS CHivi Afisa utumishi wa halmashauri anaanza na mshahara kiasi gani?
Yes mishahara midogo lakini Kuna marupu rupu mengiKama kuna kitu nime-note kwenye mabango ya Mei Mosi ni kuwa Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa, yaani Halmashauri n.k., wana hali mbaya sana.