G
Haitoshi elf5 Kwa siku na mko 3? 😳🤔mnakuka nn wenzetu? Ikiwa Bado mnajitafuta?Sibeti kaka.
Mshahara ukitoka.
1.CHAKULA.
Michele 2200×20=44000
Sukari kilo 5 ×3000=15000
Mafuta lita 5 =30K
Unga =15K
Gas 25K
Tambi 8000
Maji 5000
Umeme 1000
Maahrage 15K
Waifu Nampa 30 ya kusuka
Dogo pampas 5K per week
Na hapo ninamwachia waifu 150K Kwa kigezo Cha kununua nyama ,au samaki sabuni Kwa ajiri ya kubadilisha mbona Kwa maana elfu 5 Kwa siku na huyu ananiambia eti haitoshi Sasa ni kweli kabisa issue kama hii.
Kodi ndo nalipa laki 1.
Umeona hiyo bajeti mkuu
Kaka tuwe makini na Hawa wanawake wa kuoa wengine wanaweza kuwa sababu ya umasikini na mikosj ya kutofanikiwa maishani.Hairoshi elf5 Kwa siku na mko 3? 😳🤔
Mke,mume na mtt? Heee huyo ni mke? Anakukomoa?
Bado unampa 30 ya kusuka Kila mwezi?
Muongo
Punguza matumizi yasiyo ya lzm eti ununye vitu vyote ndani Bado umpe 250, Bado 30 ya kusuka acha ujinga huyo mwanamke uwann hakushauri?
Ninampa 30K kila mwezi.Yani unatuma laki 1 kwenu then ukweni hutumi kitu halafu unalalamika hiyo laki na nusu unampa mkeo haitoshi hata hujiongezi kuwa mkeo nae anatuma kwako laki 1 kila mwezi. Ngoma droo 😂
Sijaona wapi unampa mkeo hela ya pedi, chupi, kusuka, mafuta nk
Huyu sijui mkewe hajui Hali halisi au makusudiMshahara huo na dharura na laki nanusu mna mifugo kma Kodi unalipa,laki nanusu bills gani mkeo analipia maji na umeme?
Hebu kaeni chini elezeaneni uhalisia wa maisha
Na mkeo nae kama sio mlemavu akatafute Hela ajitume wanawake mjini wanauza maandazi wanauza chakula aende shule za jirani auze ice cream natamni kungekuwa na voice note aisee😀
Asante hapa Sina mke Wala sikubishii.Huyu sijui mkewe hajui Hali halisi au makusudi
Mke anajielewa lzm atamshauri
Familia ya mtt 1mdogo 😳🤔 nimeshangaa sn, matumizi Gani hayo?
Eti kusuka Kila mwezi 30😀 halafu mnajitafuta?huna mke hapo
Nimepata jibuN
NIlianza hivyo mwanzoni ila nikaona kama namtesa mke wangu ila ilinisaidia.
Nilipoacha nimejikuta kwenye madeni Hela hazikai.
Mpaka nahisi nimelogwa itabidi nirudi Tena
Kwanza anayekwamisha maendeleo yangu ni huyu mke wangu
Maana kuna kipindi nilimwambka aniambie kiasi chake Cha siku Kwa chakula maana vitu vya muhimu vyote viko ndani akawa ananijibu upuuzi nilitamani nimpige.
Maana Mimi niliwahi kujitolea sehemu nilikuwa nalipwa laki 3 na ilinitosha yeye hana bajeti mwezi hauishi Hela inaisha yaani ana rough bajeti mpaka kuna muda nimeamua nikae na Hela niwe nampa kila asubuhi.
Khaaa ,bt why?Tuko watoto watatu watumishi so tulkubaliana tuwe tunawatumia wazazi Hela wawe wananunua chakula.
Wazazi ni wazima na hawana changamoto yoyote
Uko serous sana kula bia utulize kichwaUmeongea fact kabisa
Daftari muhimu Tena litamsaidia sana Nina vinotebook vya kutosha kilamwez ni mahesabu makali😀maisha yanatak uwe serious
Duh yan hapo ndokurudishana nyuma miaka mitatu haelewi tu.Asante hapa Sina mke Wala sikubishii.
Maana nikaa na majamaa zangu unaona kabisa wanawake zao Wana madini ya kutosha.
Huyu mwanamke issue ya bajeti nimeanza kukogambana nae huu mwaka wa tatu.
Yaani ametoka familia masikini Tena sana zaidi yetu ila hana uchungu kabisa wa Hela jamani.
Mimi hata sielewi nifanyaje.
Ulimpa Hela 150K mwezi hauishi anakwambia imeisha.
Ukisema umpe elfu 5 Kwa siku bado anakwambia ndogo na hapo kila kitu Kiko ndani.
Yaani nakasirkka sana jamani
Situmii pombe Nikinywa soda tu nalewa😄Uko serous sana kula bia utulize kichwa
Na hapa ndo tatizo halisi. Nimefatilia kote namna ambavyo umeshusha waraka wa changamoto zinazokupata of which zipo kwa kila mtu. Mshahara ni mdogo kwa watu wengi sana ndugu. Na kuna mahali umeandika kuwa ulishakuwaga vizuri kiuchumi hapo nyuma.Mimi nimeacha kusali waifu ndo anasali maana nimeona miaka inaenda hakuna Cha maana ninachokuwa nacho hata kabla sijaajiriwa Tena nilikuwa na mshahara mkubwa tu.
Leo hii unaniambia niongeze 60K fungu la kumi.
Bado nauli ya kanisani.
Michango kibao wakijua wewe ni mtumishi
Utoe mahari tena utume pesa ukweni hivi waafrika tumelogwaYani unatuma laki 1 kwenu then ukweni hutumi kitu halafu unalalamika hiyo laki na nusu unampa mkeo haitoshi hata hujiongezi kuwa mkeo nae anatuma kwako laki 1 kila mwezi. Ngoma droo 😂
Sijaona wapi unampa mkeo hela ya pedi, chupi, kusuka, mafuta nk
Kusifia kunatokana na mambo matatu:Changamoto sisi watumishi wa serikali wanafiki ndo maana mama anatuacha.
Wengi mapambio serikalini kuisifia ccm wakati watu wanakufa njaa
Aaaah kmmmae😂 suluhisho ni kutafta namna ya kuongeza kipato la sivyo mtu utateseka sana, mtu unaeza jibana hivyo na usije kutoboa Wala nn ukaishia kuwa maskini na kuendelea kuishi maisha ya kujibana mpaka kifo Titicomb
- Siyo lazima kila siku kula wali.
- Siyo lazima kula kitoweo kizuri kila siku.