Mr independent
New Member
- Dec 24, 2020
- 4
- 3
01. Hakuna pesa nyingi siku zote.Habari za jioni.
Nimeshindwa kupata usingizi kutokana na wimbi la mawazo.
Wakuu Take home yangu 613K Mimi ajira mpya mwaka jana ila nimekuwa na wimbi la mawazo na kuona kama sitaweza kutoboa labda nIpate washauri wengine wa maisha labda.
Nnafanya kazi mkoani,ila kadri siku zinavyoenda ninaona maisha magumu ilhali Mimi ni ajira mpya tu wa mwaka jana.
Nina mahitaji ya lazima mengi sana Nina familia ya mke na mtoto mmoja na ndugu wananitegemea.
Kila mwezi lazima.
Nitume nyumbani laki 1.
Nanunua chakula laki 150K.
Nampa mke wangu 150K ya matumizi na bills nyingine.
Kodi nimepanga chumba sebule 100K.
Sijaweka dharura Wala other charges.
Huu ni mwezi wa sita kazini sijanunua shati Wala Chochote juu ya familia yangu. Nimekuwa mtu wa mawazo na ninayeona nakuwa maskini kabisa.
Kazi yangu Ina posho ila ofisini wanatudhulumu tu hivyo hatuna Constant.
Jamani wazoefu naombeni mnishauri kama naona naenda kufeli mapema jamani.
Wengine mmewezaje?
Habari za jioni.

Pole kaka maisha yana siri kubwa
Uko vizuri mkuu, hii nimeichukuauna mke mwizi mkuu angalia mm hapaππππππππ
Ngano kilo25 duka la jumla 39000
mchele kilo 15 37500
unga dona kilo 12 15000
mafuta lita 5 korie 29000
maharage/njugumawe kilo 5 15000
sukar kilo4 (2800Γ4)
sabuni ya unga (7Γ 1200)
sabuni ya kuogea 4000
dawa ya meno 4500 inakuwa na miswak mi2
nyama 2kg per month 20000
dagaa kilo2 ( 20000)
poket money yake 30k
hela ya matumiz madogo madogo 30k
umeme , decoder na maji nalipa mwenyew.
Toa gungu la kumi utakuja kunishukuruHabari za jioni.
Nimeshindwa kupata usingizi kutokana na wimbi la mawazo.
Wakuu Take home yangu 613K Mimi ajira mpya mwaka jana ila nimekuwa na wimbi la mawazo na kuona kama sitaweza kutoboa labda nIpate washauri wengine wa maisha labda.
Nnafanya kazi mkoani,ila kadri siku zinavyoenda ninaona maisha magumu ilhali Mimi ni ajira mpya tu wa mwaka jana.
Nina mahitaji ya lazima mengi sana Nina familia ya mke na mtoto mmoja na ndugu wananitegemea.
Kila mwezi lazima.
Nitume nyumbani laki 1.
Nanunua chakula laki 150K.
Nampa mke wangu 150K ya matumizi na bills nyingine.
Kodi nimepanga chumba sebule 100K.
Sijaweka dharura Wala other charges.
Huu ni mwezi wa sita kazini sijanunua shati Wala Chochote juu ya familia yangu. Nimekuwa mtu wa mawazo na ninayeona nakuwa maskini kabisa.
Kazi yangu Ina posho ila ofisini wanatudhulumu tu hivyo hatuna Constant.
Jamani wazoefu naombeni mnishauri kama naona naenda kufeli mapema jamani.
Wengine mmewezaje?
Na hio laki 1 bado usafiri kwenda kazini kuajiriwa kusikie tu ndugu zetu huwa wanaamini kuwa uko serikalini mambo safi ila ukweli unaujua weweNikapata mshahara nanunua chakula kama 150 hapo nimeweka gas,Michele,unga,mafuta,mkaa.
Namkabidhi waifu 150K Kwa kigezo Cha kutumia elfu 5 Kila siku ya mboga na hapa nishagombana nae maana unakuta mwezi hauishi Hela imekata.
Mpaka hapo nakuwa nimeshatumia laki 3.
Laki Moja natuma nyumbani kila mwezi nabakiwa na laki nne.
Kodi nalipa laki Moja uwa nasave maana nalipa miezi mitatu.
Mpaka hapo laki 5.
Mimi nabaki na hiyo laki Moja nayo kuna muda nakuta imeisha hata sielewi inaenda wapi
Halafu mbaya zaidi anaishi mkoani maisha simple anaenda kazini kwa mguu hatumii nauli akitoka kazini anawahi kufika angekuwa dar angesemaje kuna watu hata laki 5 haifiki ma wana madeni wamekopa je wao wanaishije wewe nunua kila kitu mkeo mpe hela ya chai tu per week halafu hao wazazi unawatumia hio hela yote punguza na pia sio kila mwezi utume kwani kipindi wewe hauna kazi waliishije toa kulingana na uwezo wazazi ndo wanatakiwa wawe mstari wa mbele kukupa ushauri sio kukudidimizaMaana nimeshangaa unavyolialia! Unafikri wale jamaa wanalinda kwenye vituo vya mwendokasi wanalipwa bei gani? Ofisini kwetu kuna vijana wanalipwa laki 3 lakini wapo jijini wanaishi, sasa wewe mkuu una laki 6 kabisa! Kuwa na Shukrani kwa Mungu aisee!
Kijijini wakipata hata elfu 20 ni kubwa sana!Halafu mbaya zaidi anaishi mkoani maisha simple anaenda kazini kwa mguu hatumii nauli akitoka kazini anawahi kufika angekuwa dar angesemaje kuna watu hata laki 5 haifiki ma wana madeni wamekopa je wao wanaishije wewe nunua kila kitu mkeo mpe hela ya chai tu per week halafu hao wazazi unawatumia hio hela yote punguza na pia sio kila mwezi utume kwani kipindi wewe hauna kazi waliishije toa kulingana na uwezo wazazi ndo wanatakiwa wawe mstari wa mbele kukupa ushauri sio kukudidimiza
mkuu unatafta hela za kukusanya ama kula?Habari za jioni.
Nimeshindwa kupata usingizi kutokana na wimbi la mawazo.
Wakuu Take home yangu 613K Mimi ajira mpya mwaka jana ila nimekuwa na wimbi la mawazo na kuona kama sitaweza kutoboa labda nIpate washauri wengine wa maisha labda.
Nnafanya kazi mkoani,ila kadri siku zinavyoenda ninaona maisha magumu ilhali Mimi ni ajira mpya tu wa mwaka jana.
Nina mahitaji ya lazima mengi sana Nina familia ya mke na mtoto mmoja na ndugu wananitegemea.
Kila mwezi lazima.
Nitume nyumbani laki 1.
Nanunua chakula laki 150K.
Nampa mke wangu 150K ya matumizi na bills nyingine.
Kodi nimepanga chumba sebule 100K.
Sijaweka dharura Wala other charges.
Huu ni mwezi wa sita kazini sijanunua shati Wala Chochote juu ya familia yangu. Nimekuwa mtu wa mawazo na ninayeona nakuwa maskini kabisa.
Kazi yangu Ina posho ila ofisini wanatudhulumu tu hivyo hatuna Constant.
Jamani wazoefu naombeni mnishauri kama naona naenda kufeli mapema jamani.
Wengine mmewezaje?
Mbinu gani ulitumia kwa mshahara huo mpaka kujenga.01. Hakuna pesa nyingi siku zote.
02. Kwa hiyo bajeti uliyonayo hata ukianza kupokea zaidi ya milion 2 bado hela haitatosha kwani naamini utaiongeza tena.
03. Kaa na mke wako tena muambizane kwa pamoja kuwa ninyi ni masikini na msijizime data.
04. Hiyo bajeti yenu mmeipanga kutokana na mkumbo usiowahusu kwa sababu zifuarazo.
4A. Unaishi kijijini una mke wako na mtoto mmoja, kuna ulazima gani wa kupanga nyumba ya 100k kwa mwezi wakati mshahara ni 613k na unataka kufanikiwa?
4B. Nyumbani kila mwezi unatuma 100K, je wanauguza, kuna mtu anaumwa, hawana uwezo wa kupata chakula? Kama haya maswali ni ndiyo basi endelea kuwatumia (Wazazi wetu ni muhimu). Kama jibu ni hapana, nakushauri acha hiyo tabia badala yake watumie pale una nafasi ya kutuma chochote au pale kuna sharura imetokea.
4C.Bro mwambie mke wako asiridhike na hiyo ajira uliyoipata, nimeshangaa sana eti mkeo unampa 150K harafu inaisha kabla ya siku na bado anakasirika na wakati anajua unachopokea ni kidogo.(Mungu awasaidie muwe wamoja kwa mipango yenu).
NAKUSHAURI RAFIKI YANGU:
1. Tafuta nyumba yenye kodi angalau isizidi 60,000 kwa mwezi inaweza kuwa ngumu lakini mkikubali inawezekana na mtazoea tuu.
2.Nyumbani waelezee hali yako na malengo yako wakuelewe, then watumie hela pale wanapohitaji au pale una nafasi nzuri.
3. Achana na bajeti ya kukabizi 150k kwa mwezi eti kwa ajili ya chakula. Hapa ikiwezekana hela ya chakula itoke kutokana na kile mtakula siku husika, au mpatie mkeo hela ya chakula kwa kila siku na si lazima iwe 5000/= kila siku. Siku zingine iwe chini ya hapo au hamna kabisa kwa kupika mboga zinazoweza kutumika kwa siku mbili.
4. Kama mke wako anaweza mambo ya biashara basi jibaneni mpate ka mtaji na aanze kufanya.
5. Malengo yako yaanze saizi kwa kuanza na ulichonacho.
NB. mimi nmeishi kwa mshahara wa 443k kwa mwezi kwa miaka minne na nilikuwa jijini na mwisho wa siku niliweza kujibana na kujenga nyumba na kuondoka kwenye ulipaji wa kodi.
πππππππππππππ mkuu hio ndo tunayopata tunaishi kibishiSasa kama ndio unaanza kazi, unapata 613,000 unalia,
Siku ukikopa ukaanza kupata mshahara wa laki na nusu kwa mwezi mbona utajiua kabisa.
Najua wewe ni CO, na hiyo ndio tske home.
Mimi napata salary 260 000.
Nilikuwa na mshahara kama wako.
Nilikopa bank, nikaenda kununua viwanja nikatapeliwa.
Sasa hivi nalipa deni na kiwanja sina. Nimepambana lakimi nchi hii huwezi kupata haki, unadhulumiwa na aliyekudhulumu yupo anadunda na huna cha kumfanya.
Na nina mke na mtoto.
Na sijafa. Nipo tu natuliza moyo maisha mengine yaendelee.
Ushauri wangu.
Kama 613,000 take home haikutoshi, usije kukopa tena mkopo wa muda mrefu, maana bank za sasa zinakopesha mpaka mika 10, utakufa kabisa, maana utaanza kupata 200,000 wakati deni lako la bank halitaisha.
Na kama una passion ya biashara na uko mkoa mzuri au mkeo jichange ufanye kitu. Au kama una passion ya kilimo na mkoa unaruhusu lima.
Mimi niko Kilimanjaro, huku huwezi kulima hata bustani, kufuga wala biashara.
Naishi hivyo hivyo na 260,000 changu kwa kujibana.
Na usije ukawa na matumizi makubwa, sana, kadi yako ya bank itaishia kwa wakopeshaji wahuni wa mtaani, utashindwa kulipa kodi ya nyumba, itaonekana daktari njaa kali kinomaaa.
Na option ya madaktari huwa ni kuanza kupiga dili haramu, kama kutibu wagonjwa nje ya mfumo, kutoa mimba, na kuuza dawa kimchongo maisha yaende.
Utakuha kuanza kypata migogoro na wakuu wa wilaya, waganga wafawidhi, waganga wakuu wa wilaya na TAKUKURU. Utaanza kuhamishwa hamishwa vituo vya kazi kwa adhabu na Utapoteza focus na utaona kazi chungu.
Option kwa kipato kidogo huwa ni 2:
- Kubana matumizi ya kipato ulicho nacho (njia rahisi) au
- Kuongeza kipato chako (njia ngumu)
Pambana kujibana katika matumizi yako.
π π π π π π€£π€£π π π€£mimi situmi kila familia ilelewe na alieitengeneza.. shida tunajitia mizigo isiyoyetu
Unajua familia zetu za kiafrika umaskini unaturudisha nyuma sana tena sanamimi situmi kila familia ilelewe na alieitengeneza.. shida tunajitia mizigo isiyoyetu
Itakuwa ulimpata kwa bahati sana, kwanini unamtumikia kwa kiasi hicho? Hakika usipobadilika utajuta maana umekuwa mtumwa wa mwanamke.Ninampa 30K kila mwezi.
Namnunulia chupi mwenyewe.
Kwa Sasa Sina Hela ila nilikotoka nilikuwa naandaa hata 200K Kwa ajili ya shopping yake kwwa Sasa siko vizuri.
Home kwao natuma maana yuko mama yake ila mpaka nijisokie .
Nanunua vocha.
Kila kitu nafanya kwake na Kwa watoto.
kweli kabisaUtani pembeni, wadada wengi kwenye mahusiano wapo hivyo, hawako supportive kabisa kwa boyfriends/waume zao, sijui kwanini
NB: Ninaposema supportive simaanishi ndo wawalee waume zao/wawape hela waume zao kila mara, kuna namna mwanaume ukiwa na mwanamke hata kama mwanamke ni broke na jobless, unajihisi hapa nina jembe, bila huyu mwanamke maisha yangu yatakua magumu, cha ajabu kwenye mahusiano mengi wanawake wengi ni liability, kama kidume una gari Moja it's like una gari la pili ambalo ni mkeo π MrsPablo1
Hongera sana mkuu, 443k uwe jijini na nyumba umejenga. Unastahili PhD ya uwekezaji01. Hakuna pesa nyingi siku zote.
02. Kwa hiyo bajeti uliyonayo hata ukianza kupokea zaidi ya milion 2 bado hela haitatosha kwani naamini utaiongeza tena.
03. Kaa na mke wako tena muambizane kwa pamoja kuwa ninyi ni masikini na msijizime data.
04. Hiyo bajeti yenu mmeipanga kutokana na mkumbo usiowahusu kwa sababu zifuarazo.
4A. Unaishi kijijini una mke wako na mtoto mmoja, kuna ulazima gani wa kupanga nyumba ya 100k kwa mwezi wakati mshahara ni 613k na unataka kufanikiwa?
4B. Nyumbani kila mwezi unatuma 100K, je wanauguza, kuna mtu anaumwa, hawana uwezo wa kupata chakula? Kama haya maswali ni ndiyo basi endelea kuwatumia (Wazazi wetu ni muhimu). Kama jibu ni hapana, nakushauri acha hiyo tabia badala yake watumie pale una nafasi ya kutuma chochote au pale kuna sharura imetokea.
4C.Bro mwambie mke wako asiridhike na hiyo ajira uliyoipata, nimeshangaa sana eti mkeo unampa 150K harafu inaisha kabla ya siku na bado anakasirika na wakati anajua unachopokea ni kidogo.(Mungu awasaidie muwe wamoja kwa mipango yenu).
NAKUSHAURI RAFIKI YANGU:
1. Tafuta nyumba yenye kodi angalau isizidi 60,000 kwa mwezi inaweza kuwa ngumu lakini mkikubali inawezekana na mtazoea tuu.
2.Nyumbani waelezee hali yako na malengo yako wakuelewe, then watumie hela pale wanapohitaji au pale una nafasi nzuri.
3. Achana na bajeti ya kukabizi 150k kwa mwezi eti kwa ajili ya chakula. Hapa ikiwezekana hela ya chakula itoke kutokana na kile mtakula siku husika, au mpatie mkeo hela ya chakula kwa kila siku na si lazima iwe 5000/= kila siku. Siku zingine iwe chini ya hapo au hamna kabisa kwa kupika mboga zinazoweza kutumika kwa siku mbili.
4. Kama mke wako anaweza mambo ya biashara basi jibaneni mpate ka mtaji na aanze kufanya.
5. Malengo yako yaanze saizi kwa kuanza na ulichonacho.
NB. mimi nmeishi kwa mshahara wa 443k kwa mwezi kwa miaka minne na nilikuwa jijini na mwisho wa siku niliweza kujibana na kujenga nyumba na kuondoka kwenye ulipaji wa kodi.
ππ€«TamisengaPole mwalimu, watumishi wenzako waliopo TRA, BoT, NCAA, MoF na maeneo mengine ya hivyo wametoboa.
Tatizo wewe upo Tamisenga, utachelewa sana huko