Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia wewe kijana mdogo huna unalojua . Serikali ya nyerere ndio ilianzisha kuchukua taarifa za dini na kabila kwenye taarifa za kitaasisi hospitali, polisi, magereza hata kwenye fomu za kujiunga na utumishi wa ummaKwenye rekodi za serikali huwa hakuna dini wala kabila la mtu. Nyerere aliondoa hiyo zamani sana wakati taifa bado ni changa, na hata marais waislamu Mwinyi na Kikwete hawakuirudisha. Sasa tumepata mwislamu kamili ndiye anayeyaleta. Katika teuzi wake naona kipengele cha dini kimekuwa ni cha muhimu sana kwake; na ili kukihalalisha ndiyo maana ameunganisha na ukabila akianzia na kurudisha uchifu.
View attachment 2095774
Binafsi naumia sana na haya mambo.Bado hakuna justification yoyote hapo. Kuna mambo ni ya kitaifa au ya kibinaadamu zaidi kuliko ki kabila. Hicho mnachoita "tabia za kikabila" ni matokeo ya kimazingira zaidi na wala siyo genes hivyo huathiriwa zaidi na mazingira anayoishi kuliko kabila lake. Haya ni miongoni mwa masalia ya ukoloni kama yale ya binaadam alikuwa nyani. Hizi ni sawa na stori za kuamini eti kuna makabila ni malaya kuliko mengine: siyo kweli. Much as satisfaction level au sababu za sex almost sawa, ni mazingira tu aliyoishi mtu ndiyo hutoa tafsiri ya jambo flani litendeke vipi au alipe value gani kiasi mtu huyo akiishi mazingira mengine tabia hiyo hubadilika. Infact, kuendelea kuwepo kwa vijitabia vya hovyo vinavyonasibishwa na ukabila ni matokeo ya elimu mbovu inayoshindwa kuleta "convergence" kwenye hayo mambo ya msingi. Mhehe aliyezaliwa au aliyeishi na kusomea Texas definitely hatakuwa sawa na mhehe aliyeishi huko Mufindi. Then essence ya kabila kwenye tabia inatoka wapi hapa!
Mfano mwingine, jamii inamuona mmasai kama ni mtu mshamba, duni, anayefaa kuishi porini tu na mifugo yake. Is that true? Je hakuna wamasai wengine ambao kwa kupata Elimu, au exposure au kuishi na jamii/ mazingira mengine wamekuwa tofauti na mfumo wa asili waliouzoea.
Ukabila ni jambo ambalo halina afya yoyote na popote kwenye society ya Tanzania au jamii iliyostaarabika.
Kwani wao wapo wengi hapo ??Lengo ni kuwapunguza wakristo hazina hapo
Haya yanatakiwa yafutwe kabisa.Tulia wewe kijana mdogo huna unalojua . Serikali ya nyerere ndio ilianzisha kuchukua taarifa za dini na kabila kwenye taarifa za kitaasisi hospitali, polisi, magereza hata kwenye fomu za kujiunga na utumishi wa umma
Kwa hiyo mnataka ili kufanya mazishi?Taarifa za dini ya mtu ni muhimu. Labda hatujakaa tufikiri vizuri tu.Mfano, watumishi wanakufa kila leo na wanahitaji huduma kwa mujibu wa dini zao. Kama serikali haina taarifa sahihi itawahudumiaje hawa watu?
Ni kweli kabisa yafutwe ila sasa isionekane kama huyu rais wa sasa ndio kayaanzisha maana sie watanzania kwa unafiki hatujambo.Haya yanatakiwa yafutwe kabisa.
Hayajengi.
Na Kabila?? Mnapanga nini, kuongea kikabila, au kutambika maofisini!Ni demographics, kama ni msabato utapewa ruhusa jumamosi
Demographics zina tumika sana kwenye research na proposalsUnaweza kukuta ata hakuna cha maana wanachoenda kufanya na hizo taarifa.wanaacha kuboresha maslahi ya watumishi wao kazi kujaza madocument yasiyo na msingi.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mwingira aliwahi kusema kuwa ikulu kuna shetani,I second himHabari wana JF ..
Mimi niliahidi sitamkosoa Rais Samia, kwa sababu nilishawakosoa sana ma Rais wa nchi hii hadi nachoka; lakini Kuna mambo ni mazito huwezi hata kufikiri yanaweza kufanyika kwa karne hii.
Wakati wa kuandika proposal ndii uta ona umuhimu wake. Kuna makabila yana tamaduni fulani ambazo hazipo pengineNa Kabila?? Mnapenga nini, kuongea kikabila, au kutambika maofisini!
Mambo haya ni kinyume na misingi iliyoasisi taifa hili hayaruhusiwi popote pale hata kufanywa na mjumbe wa nyumba kumi;Mimi Bora wale rushwa watakavyo, ila wasiguse kabisa hii misingi midogo midogo inayofanya tuendelee kujiona wamoja.
Naumia siwezi hata kuelezea.