Hujui maana ya kupanda Daraja. UlizaUnakuta MTU kapandishiwa kutoka kwa Tshs 440,000 mpaka Tshs 484,000 ambayo ni sawa na asilimia 10%. Lakini anafurahia ile mbaya. Ajila izi hatari sana
Wanakuja na vihesabu uchwara hawa machinga
Usitupangiesasa OLE wake atakaye kula RUSHWA au kufanya UBADHIRIFU wa fedha za umma. hakutokuwa na huruma wala msamaha na wala rushwa na wabadhirifu.
chapeni kazi kwa uadilifu na kwa weledi.
HahahahaWanakuja na vihesabu uchwara hawa machinga
Kila ndoto zake ziwe kweli...[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Mungu mbariki mama Samia
Kwa hiyo umeangalia kwenye akaunti yako ndo ukaona haya? AU umesoma salary slip ndo ukaona haya? Maana kuandika tu hakutupi sisi wengine uhakika wa unachokisema, ukizingatia wewe siyo SOURCE MAALUMU YA TAARIFA HIZIJambo lililoshindikana kwa miaka mitano Mhe. Rais Samia ameliweza ndani ya siku 100. Ni usiku usiku miamala imesoma kwa madaraja mapya tena bila watumishi kupewa barua.
Maisha marefu kwa Mhe. Rais Samia Suluhu.
Hurrah Mhe. Rais Samia.
Kwa hiyo umeangalia kwenye akaunti yako ndo ukaona haya? AU umesoma salary slip ndo ukaona haya? Maana kuandika tu hakutupi sisi wengine uhakika wa unachokisema, ukizingatia wewe siyo SOURCE MAALUMU Y
Aishi miaka 1000Mungu mbariki mama Samia
Tulieni mpo kwenye foleni .wote mtapandaMlipanda mpongezeni,lakini ambao hatupanda na tulistahili kupanda hatuwezi kupongeza.
Hama huo Mkoa haraka sana.Huku Tanga mjini ni vilio!!! Hakuna kilichobadilika!!
Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
Mie nimewaambia wenzangu ikifika wakati wa kupanda halafu wengine wamepanda mie bado naenda kuweka kambi utumishi Dodoma. Haki yako lazima uipambanie.haiwezekani vijana wa juzi tu wapande madaraja wakati wakongwe tunasubiri tu. Yani wengine kazi tumeanza sawa ila mishahara tofauti. Sio haki na si sawa
Ongezeko la mhashara linafidia inflation ya tangu mkuu alipozuia ongezeko, maana kumbuka kila bajeti ikipita, vitu hupanda bei. Muda huo muhimu hata salary kureflect the same. If not, we struggle on the scarce resources (money). I would ,its better for her than him, but this has to be something a president can not override. Katiba mpya would help many public servants. Who mostly are not knowledgeable of many things.Jambo lililoshindikana kwa miaka mitano Mhe. Rais Samia ameliweza ndani ya siku 100. Ni usiku usiku miamala imesoma kwa madaraja mapya tena bila watumishi kupewa barua.
Maisha marefu kwa Mhe. Rais Samia Suluhu.
Hurrah Mhe. Rais Samia.