Watizameni maafsa utumishi wenu watakua wazembeMlipanda mpongezeni,lakini ambao hatupanda na tulistahili kupanda hatuwezi kupongeza.
Hata mawe na miti vitashukuruAisee! Kwa Moyo mkunjufu kabisa napenda kusema Asante sana kwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan. Ametuinua Wafanyakazi.
Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni...Tusiposema asante, tutakuwa hatuna Shukrani.
Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
Mazara =madhara
😀😀😀😀Hi nyongeza imeleya kutoaminika kwa baadhi ya watu NDANI ya familia.
Njemba imejisifia huku Jf kuwa mshahara umeongezeka, halafu home akamwambia wife HAKUNA KILICHOONGEZEKA!!jamaa hajui kuwa mke anaitambua ID yake ya jf!
Basi naam bwana bonge la zogo likaibuka.
Umeupiga mwingi mkuu. Wasiopandishwa kuisikia ni mpaka Na wao wapande .Mlipanda mpongezeni,lakini ambao hatupanda na tulistahili kupanda hatuwezi kupongeza.
Kufa kufaana! Ngoja tupandishe bei za bidhaa😀Hongereni wafanyakazi wa umma,tunawasubiri huku mtaani na Sisi wafanyabiashara tuwapige hizo hela Zenu
Tujifunze kushukuru japo mambo madogoSasa jambo kama hilo tu linafanya watu kushukuru kiasi hicho na hadi kuanzisha uzi humu ndio maana tunafanya hawa viongozi kujiona wanafanya mambo makubwa wakati kiuhalisia bado tuko nyuma sana.
Hawana la kunifanya, napigania haki yanguOngea wazi wazi usitumie ID fake ili muonane uso kwa uso tuone nani mshindi
Pia tujifunze kwamba sio kila kitu cha kushukuru kuna vitu vyengine ni haki yako na si hisani ya mtu, sasa kushukuru vitu kama hivi vinafanya wajibu kuwa ni kama hisani.Tujifunze kushukuru japo mambo madogo
Huu ndio upuuzi unarudisha maendeleo Africa kusujudia vyama vyao kuliko hata kuipenda nchi yao.Chama cha mapinduzi ni chama pendwa na lazima kiongozi atoke chama cha mapinduzi.
Hakika Samia hana mpinzani Tanzania. Wapinzani tunawakaribisha kujiunga chama cha mapinduzi.
Hi nyongeza imeleta kutoaminika kwa baadhi ya watu NDANI ya familia.
Njemba imejisifia huku Jf kuwa mshahara umeongezeka, halafu home akamwambia wife HAKUNA KILICHOONGEZEKA!!jamaa hajui kuwa mke anaitambua ID yake ya jf!
Basi naam bwana bonge la zogo likaibuka.