Mbona kuna watumishi wengine, hukuna nyongeza YEYOTE na madaraja yamepanda/yalishapanda; ,wewe upo Idara gani?Jambo lililoshindikana kwa miaka mitano Mhe. Rais Samia ameliweza ndani ya siku 100. Ni usiku usiku miamala imesoma kwa madaraja mapya tena bila watumishi kupewa barua.
Maisha marefu kwa Mhe. Rais Samia Suluhu.
Hurrah Mhe. Rais Samia.
Kaangalie ajira TAMISEMI leo.nchi si ya wafanya kazi peke yao, kuongeza mishahara sio kigezo cha ungoz bora, maana kuna mambo meng yakufanya away from mishahara, huyo madam ana kaz kubwa sana ya kulikomboa taifa ili ktk utumwa wa akili na kuwafanya watz wajitambue, lasivyo tutabaki kule kule kwenye kusifia kila ujinga ufanywapo na kiongoz, kuna lijinga lingine linamuita madam hakuna kiongoz kama yeye, sijui kwa shahid zip, hii ni nchi yenye misingi ya demokrasia, hivyo bas rais anatakiwa kuwalizisha watu wote bila ubaguz bila kujari chama wala itikad yoyote,, bado hali ni ngumu, hiyo mishahara kupanda ni utoto tu maana kuna mitaan na vyuoni kuna utitiri wa wanafunz wanaosubir ajira na mikopo, tena kuna ambao bado wako mashulen nao watahitaj nafas, ni mapema sana kumsifia huyo mnaempa sifa zakijinga, subilin ipite miaka yake4 ndpo kazi yake ipimwe kama alkuwa kiongoz bora au bora kiongoz......bado muda
Hii divide and rule inawasaidia sana ccm. Wamepandisha baadhi na kuwatelekeza wengine. Halafu waliopanda wanakuja kudemka humu kana kwamba watumishi wote wenye sifa wamepandishwa!Mbona kuna watumishi wengine, hukuna nyongeza YEYOTE na madaraja yamepanda/yalishapanda; ,wewe upo Idara gani?
Kama umepata usiwasemee wengine
Soko huria,ukiona duka vitu bei kubwa,nenda duka jingine,kwenye bei rahisi.Anayeuza bei kubwa,vitamuozea.Hiyo analysis yako inaongelea vitu gani hasa?? Huku tayari kilo ya samaki juu madai kuwa mshahara utapanda, vitu vingi vitapanda tu. We subiri
Embu mkuu nitumiee ata buku kumi tu ninunue umeme apa nimekwamaa na hali aijakaha vzr zaidJambo lililoshindikana kwa miaka mitano Mhe. Rais Samia ameliweza ndani ya siku 100. Ni usiku usiku miamala imesoma kwa madaraja mapya tena bila watumishi kupewa barua.
Maisha marefu kwa Mhe. Rais Samia Suluhu.
Hurrah Mhe. Rais Samia.
Usilolijua ni usiku wa kizaUnakuta MTU kapandishiwa kutoka kwa Tshs 440,000 mpaka Tshs 484,000 ambayo ni sawa na asilimia 10%. Lakini anafurahia ile mbaya. Ajila izi hatari sana
Hii nayo ni maada ya kuja nayo jf? Vizazi vilivyokulia kuvalishwa kanga ni shida sana.Jambo lililoshindikana kwa miaka mitano Mhe. Rais Samia ameliweza ndani ya siku 100. Ni usiku usiku miamala imesoma kwa madaraja mapya tena bila watumishi kupewa barua.
Maisha marefu kwa Mhe. Rais Samia Suluhu.
Hurrah Mhe. Rais Samia.
Kulingana na urefu wa kamba yako 😁Imeongezeka kiasi Gani maana sisi wengine hatuna uzoefu na mambo hayo.
Nao sio nyongeza ni stahiki zao kwa vyeo walivyokasimiwa!Hamna nyongeza ya mishahara,..labda kwa hao waliopandishwa madaraja..
MIMI NASEMA KUMI TENA KWA MAMAJambo lililoshindikana kwa miaka mitano Mhe. Rais Samia ameliweza ndani ya siku 100. Ni usiku usiku miamala imesoma kwa madaraja mapya tena bila watumishi kupewa barua.
Maisha marefu kwa Mhe. Rais Samia Suluhu.
Hurrah Mhe. Rais Samia.
Uko nchi ganiUjumbe wa kisanii mishahara haijatoka