Watumishi wastaafu, hasa walimu, kurandaranda kwenye mabaa na kuombeleza pombe ni picha mbaya sana

Watumishi wastaafu, hasa walimu, kurandaranda kwenye mabaa na kuombeleza pombe ni picha mbaya sana

"Kuombeleza" bila shaka unatoka ile Kanda wasiojua kutumia vyoo kwa usahihi
 
Sasa hiyo si ni kawaida ya binadamu yoyote aliyepitia changamoto! Kwani singo mama tu ndio wanashida?
Shida inakuja mfanano yani karibia wote wanafanana tabia baada ya kuzaa na kuachwa

Kuna mmoja ni rafiki yangu ila nikiangalia yanayosemwa humu na yeye anayo kwa 100%
 
Unakuta mtu alipokuwa mtumishi alikuwa busy anakula pombe na watumishi wenzake.

Baada ya kustaafu anakuwa anazunguka kwenye mabaa na kuombelez pombe kama omba omba

Hii ni picha mbaya sana. Hasa kwa waalimu.
Ungekuwa na guts za kiume
Ungem face mhusika na kumpa za uso.
Ila kwa sababu na wewe ni mchele mchele umeishia kuja kuleta umbeya JF.
 
Back
Top Bottom