Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 7,875
- 12,665
Anakuwa kama wanavyolalama wadau humu japo sio wote ila karibia wote kuwa na mahusiano na singo maza ni changamotoUkimtongoza anafanyaje?
Anakuwa kama wanavyolalama wadau humu japo sio wote ila karibia wote kuwa na mahusiano na singo maza ni changamotoUkimtongoza anafanyaje?
Duh poleniAnakuwa kama wanavyolalama wadau humu japo sio wote ila karibia wote kuwa na mahusiano na singo maza ni changamoto
😀😀😀 namimi pole inanihusuDuh poleni
Kama umepita huko ndio nakupa pole na wewe pia!😅😀😀😀 namimi pole inanihusu
Mm n mtu wa Mungu huwa nawaonea huruma tu wanaishia kunipiga vizinga na hata siwatafuniKama umepita huko ndio nakupa pole na wewe pia!😅
Duh, hivi nikuulize.. mtu akishazaa akili zinahamia kwa mtoto yeye anabaki empty set?Mm n mtu wa Mungu huwa nawaonea huruma tu wanaishia kunipiga vizinga na hata siwatafuni
Wengi wana hasira hasira zisizo na msingi kapigwa tukio na mmoja hasira ni kwa kila anaekutana naeDuh, hivi nikuulize.. mtu akishazaa akili zinahamia kwa mtoto yeye anabaki empty set?
Dahh! Kweli ni mtihani, ila mpunguze kuwalaumu maisha ndio yamewatenda namna hiyo!Wengi wana hasira hasira zisizo na msingi kapigwa tukio na mmoja hasira ni kwa kila anaekutana nae
Hasira na akili havikai pamoja
Umesema huamini hadi uonje tufanye jamboDahh! Kweli ni mtihani, ila mpunguze kuwalaumu maisha ndio yamewatenda namna hiyo!
Anh hapana mi sio fun wa hayo mambo mkuu!Umesema huamini hadi uonje tufanye jambo
Nilitaka nikupe katoto ulee uje na shuhudaAnh hapana mi sio fun wa hayo mambo mkuu!
Hahaaa hapana sina damu ya ulezi mkuu😅Nilitaka nikupe katoto ulee uje na shuhuda
Huenda ukawa singo maza wa tofauti toka dunia iumbweHahaaa hapana sina damu ta ulezi mkuu😅
Wanaume, aliyetuumba hakunawa mikono! Nilijua utaishia huko.Nilitaka nikupe katoto ulee uje na shuhuda
Inasikitisha sana ,Kikotoaa cha SAMUYA kinawaumiza sana.Unakuta mtu alipokuwa mtumishi alikuwa busy anakula pombe na watumishi wenzake.
Baada ya kustaafu anakuwa anazunguka kwenye mabaa na kuombelez pombe kama omba omba
Hii ni picha mbaya sana. Hasa kwa waalimu.
Jali maisha yako,usimpangie mwenzako kile unachokipenda ,unakuwa ujingaUnakuta mtu alipokuwa mtumishi alikuwa busy anakula pombe na watumishi wenzake.
Baada ya kustaafu anakuwa anazunguka kwenye mabaa na kuombelez pombe kama omba omba
Hii ni picha mbaya sana. Hasa kwa waalimu.
Napigia mstaliUsiwasahau police, wanajeshi, watendaji wa vijiji, na kata.
Kasema haamini mpaka a-exprience sasa wewe unadhani atapataje experienceWanaume, aliyetuumba hakunawa mikono! Nilijua utaishia huko.
Braza umepiga za kichwa sanaNa singo mama wauliwe🥲
"Kuombeleza" bila shaka unatoka ile Kanda wasiojua kutumia vyoo kwa usahihi