Watumishi wastaafu, hasa walimu, kurandaranda kwenye mabaa na kuombeleza pombe ni picha mbaya sana

Unakuta mtu alipokuwa mtumishi alikuwa busy anakula pombe na watumishi wenzake.

Baada ya kustaafu anakuwa anazunguka kwenye mabaa na kuombelez pombe kama omba omba

Hii ni picha mbaya sana. Hasa kwa waalimu.
Umesimuliwa hayo na maako kuwa babaako baada ya kustaafu ualimu anarandaranda kwenye maana kuomba bia ukafikiri ni kila mstaafu anafanya hivyo. Ahahahahaha!

Kaeni na babaenu muyajenge na sio kituhusisha tusiohusika!
 
*** you. *** your mama
 
Back
Top Bottom