Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Hahaha mtakoma! Amka huko ukijichanganye! Watu wazuri wapo tatizo siku hizi mmerelax sana kisa k zimezagaa mpaka mlangoni! Waulize wenzenu walivyozisotea enzi hizo!Hamna banah sema kuna waharibifu yani mtu mmoja anaharibu mtaa mzima sisi introverts tunakuta makombo tu😄