Watumishi wastaafu, hasa walimu, kurandaranda kwenye mabaa na kuombeleza pombe ni picha mbaya sana

Watumishi wastaafu, hasa walimu, kurandaranda kwenye mabaa na kuombeleza pombe ni picha mbaya sana

SAsa assume hicho kipindi ulikuwa unashindwa kulala halafu upo na mwanaume mwenye wivu angehisi wamuwaza ex😆
Mimi nikiwa ninapitia kipindi kigumu huwa siingii kwenye mahusiano! Najijua ntakudisapoint ile mbaya! Mwisho wa siku ndio hizo nyuzi zenu sjui ana kisirani oh dem ana matusi kama nini aanh😅
 
Pm tu buku mbili!! Kweli singo maza ni janga😄😄😄
Pm tena au tution! Achana na singo maza favnya issue zingine! Unawawaza! Inaonekana una muda nao sana😂
 
Mimi nikiwa ninapotia kipindi kigumu huwa siingii kwenye mahusiano! Najijua ntakudisapoint ile mbaya! Mwisho wa siku ndio hizo nyuzi zenu sjui ana kisirani oh dem ana matusi kama nini aanh😅
Hii ni kusema ni bora usiingie kwenye mahusiano kabisa maana kwenye maisha vipindi vigumu haviepukiki
 
Mbona mapema😀
Ndivyo inavyokuwa!
Mimi ni mwalimu kwa watoto wangu

But, walimu tunasakamwa sana aiseeh kisa tu marupurupu ya uchaguzi lakini wanaokula hela za wagonjwa hata hawasemwi
Mna hatari! Nani tena kala pesa za wagonjwa?

Mfano hapa kwa waalimu ninasikiaga tu wana maisha magumu, wanaomba omba, sijui wako cheap na mambo kibao mabaya tu! Ila binafsi sijawahi kuyashuhudia nisikufiche! Au sifatilii mambo ya watu😅
 
Hii ni kusema ni bora usiingie kwenye mahusiano kabisa maana kwenye maisha vipindi vigumu haviepukiki
Vinatofautiana, naongelea vya mahusiano! Unaingia kwneye mahusiano ili kumsimlia mpenzi mpya mambo ya ex lol😅
 
Najaribu kuunganisha dot niyapime kabla halijanikuta jambo
Sasa si usijiongize tu huko, mbona si simple mathematics tu! Tafuta binti ambaye hajazaa wako wengi mno huwezi kuwamaliza!
 
Hiyo inatokana kutostaafu mapema akazoea kitaa akiwa na nguvu anasubiri mpaka 60 ngaaaa..watumishi staafuni mapema.mfanye shughuli zenu za kuwaingizia kipato mkiwa na nguvu ..baada ya hapo ni stress na kuona ushachelewa na hakuna hajja ya kujisumbukia unaishi kusubiri kifoo..kufa hufi mapeema ila cha moto unakiona
 
Mna hatari! Nani tena kala pesa za wagonjwa?
Madoctor wanawakamua hadi wagonjwa ila hawasemwi
Mfano hapa kwa waalimu ninasikiaga tu wana maisha magumu, wanaomba omba, sijui wako cheap na mambo kibao mabaya tu! Ila binafsi sijawahi kuyashuhudia nisikufiche! Au sifatilii mambo ya watu😅
Hizi ni porojo tu serikali inalipa kwa madaraja ya elimu doctor mwenye degree hamzidi sana mwalimu mwenye degree haizid laki1. Sasa lak1 ndio tuseme doctor ana maisha mazuri kuliko mwalimu
 
Sasa si usijiongize tu huko, mbona si simple mathematics tu! Tafuta binti ambaye hajazaa wako wengi mno huwezi kuwamaliza!
Kukuta kibinti hakijatafunwa usawa huu labda uoe kibinti cha miaka 8 na wengi wasio na bikra wana watoto😀
 
Madoctor wanawakamua hadi wagonjwa ila hawasemwi

Hizi ni porojo tu serikali inalipa kwa madaraja ya elimu doctor mwenye degree hamzidi sana mwalimu mwenye degree haizid laki1. Sasa lak1 ndio tuseme doctor ana maisha mazuri kuliko mwalimu
Kwakweli hao watakuwa na chuki zao binafsi! Labda kuna walimu wa eneo husika!
 
Kukuta kibinti hakijatafunwa usawa huu labda uoe kibinti cha miaka 8 na wengi wasio na bikra wana watoto😀
Wapo sana tu hujatafuta vzr wewe! Nenda vijijini huko! Tatizo mnataka wanawake wazuri halafu mkute wanawasubiri nyie tu. kila mtu anawahi bahati yake, wakati wewe ukisubiri embe liive vizuri wenzio wanalitafuna kwa chumvi!
 
Hamna banah sema kuna waharibifu yani mtu mmoja anaharibu mtaa mzima sisi introverts tunakuta makombo tu😄
 
Tatizo kubwa watanzania wengi hatuchulii maisha serious. Hatufikirii kesho, wao wataombaomba bia je watoto wamewaandalia nini?
 
Usionee huruma hao watu.. wale na kunywa walikopeleka akili na utashi wao wakiwa kazini.
 
Unakuta mtu alipokuwa mtumishi alikuwa busy anakula pombe na watumishi wenzake.

Baada ya kustaafu anakuwa anazunguka kwenye mabaa na kuombelez pombe kama omba omba

Hii ni picha mbaya sana. Hasa kwa waalimu.
Huu uzi nimecheka sana sikutegemea kukuta uzi kama huu humu.
Sasa mkuu wewe umewaona wanarandaranda unawaacha tu badala ya kuwaambia ukweli baadae unawavizia unakuja kuwatengenezea uzi JF
 
Back
Top Bottom