Watumishi wastaafu, hasa walimu, kurandaranda kwenye mabaa na kuombeleza pombe ni picha mbaya sana

Watumishi wastaafu, hasa walimu, kurandaranda kwenye mabaa na kuombeleza pombe ni picha mbaya sana

Walimu na askari aisee hawa jamaa wanalewa sijawahi ona
 
Wengi wana hasira hasira zisizo na msingi kapigwa tukio na mmoja hasira ni kwa kila anaekutana nae

Hasira na akili havikai pamoja
Lazima atakusimulia kuhusu mzazi mwenzake tu mara kadhaa ukiwa nae! Kuna mmoja alikua ananiboa kweli kweli.
 
Experience ninayo kijana! Hebu explore bwana ukutane na watu wanaojielewa, huko vichochoroni mtalaumu tu watu😅
Huu ushuhuda haujakamilika mpaka aje kaka yetu atoe taarifa hapa kuhusu wewe

But, sitaki kuamini kuwa wewe ni singo maza hiyo haiwezekan
 
Unakuta mtu alipokuwa mtumishi alikuwa busy anakula pombe na watumishi wenzake.

Baada ya kustaafu anakuwa anazunguka kwenye mabaa na kuombelez pombe kama omba omba

Hii ni picha mbaya sana. Hasa kwa waalimu.
Huyo basi utakuwa tu ni tabia yake kuombaomba.
Wataafu wanalipwa posho, nusu mshahara maisha yake yote hadi atakapokufa.
 
Umesema bado hujaona hadi uone, sasa sijui wataka uone nn😀
Sijaona hayo matendo mnayojazana humu, ila kuona singo maza sidhani kama kuna mtu hajaona! Wanaopinga humu wengi ndio wamelelewa huko ila wakute humu wanavyojifagarua upumbavu!😏
 
Huu ushuhuda haujakamilika mpaka aje kaka yetu atoe taarifa hapa kuhusu wewe

But, sitaki kuamini kuwa wewe ni singo maza hiyo haiwezekan
Huyo kaka yenu ndio singo faza ila siwezi kumsema vibaya maana kajitoa kwaajili ya dogo! Kuhusu kunisema mimi atanisema kwa mambo mengine ila sio hayo mliyoandika humu!
 
Sijaona hayo matendo mnayojazana humu, ila kuona singo maza sidhani kama kuna mtu hajaona! Wanaopinga humu wengi ndio wamelelewa huko ila wakute humu wanavyojifagarua upumbavu!😏
Wewe unaelelewa huwezi kuwa shuhuda, shuhuda ni baba ako wakambo
 
Huyo kaka yenu ndio singo faza ila siwezi kumsema vibaya maana kajitoa kwaajili ya dogo! Kuhusu kunisema mimi atanisema kwa mambo mengine ila sio hayo mliyoandika humu!
Singo father wako poa sana hadi kakuletea mtoto wake umlelee ujue mwenye shida ni mke wake wa kwanza la si hivyo huyo mtoto angekuwa kwa mama ake
 
Back
Top Bottom