Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 7,875
- 12,665
😄😄😄 lakini kwanini umseme mtoto wa watu na ushapata mwingineMimi huwa namsema Vibaya huyo ex hukonaliko atakoma kujing’ata😂
😄😄😄 lakini kwanini umseme mtoto wa watu na ushapata mwingineMimi huwa namsema Vibaya huyo ex hukonaliko atakoma kujing’ata😂
Jamani sasa ningeenda kusoma na mtoto? Mbona nyie wabinafsi sana? Kwanini huwa mnajipa kauspecial sana? Wale wanang’ang’aniaga watoto tu ilikuwa kasheshe ila ikabidi nimuachie!Singo father wako poa sana hadi kakuletea mtoto wake umlelee ujue mwenye shida ni mke wake wa kwanza la si hivyo huyo mtoto angekuwa kwa mama ake
Yeah including me🤣Mkuda sana weee 😀
Ndiyo, sasa mtoto yeye atajuaje madhila ya singo maza mtoto hana ajualo yeye akula na kulala tu imeishaBabaangu wa kambo tena😆
Kaniroga sijapata mpaka leo mbwa huyu! Anafikiri nitarudi kwake.. tena anikome!😏😄😄😄 lakini kwanini umseme mtoto wa watu na ushapata mwingine
Mimi atakayenioa ananijua vzr nipo kama sinaga mtoto kwanza😂Ndiyo, sasa mtoto yeye atajuaje madhila ya singo maza mtoto hana ajualo yeye akula na kulala tu imeisha
Baba wa kambo atakaemuoa singo maza ndio atakiona cha mtema kuni 😀
Na nyuzi zote unazogunguliwa humu hapana wewe utakuwa unatupanga😀Kaniroga sijapata mpaka leo mbwa huyu! Anafikiri nitarudi kwake.. tena anikome!😏
Hahahaa ni stress tu saa ingine ni defence mechanism😅Lazima atakusimulia kuhusu mzazi mwenzake tu mara kadhaa ukiwa nae! Kuna mmoja alikua ananiboa kweli kweli.
Nawapangaje tena! Hao si wanafunzi wanafanya mazoezi ya kutongoza kabla likizo haijaisha!😅Na nyuzi zote unazogunguliwa humu hapana wewe utakuwa unatupanga😀
Sio ubinafsi kama amekupokea kwa kigezo cha masomo iyo haina shida ila kama nakuona unavyosononeka kwa kummisi mtoto😀Jamani sasa ningeenda kusoma na mtoto? Mbona nyie wabinafsi sana? Kwanini huwa mnajipa kauspecial sana? Wale wanang’ang’aniaga watoto tu ilikuwa kasheshe ila ikabidi nimuachie!
Ngoja namimi nijiunge na hiyo tusheni 😆😆😆Nawapangaje tena! Hao si wanafunzi wanafanya maziezi ya kutongoza kabla likizo haijaisha!😅
Kavu sana ile sikuitegemea 😇Yeah including me🤣
Au we unaonaje mkuu😝
Mh, ngoja nijitose nije kutoa shuhuda hivi mlango wa pm upo wapiMimi atakayenioa ananijua vzr nipo kama sinaga mtoto kwanza😂
Hivi uzi wa watu ndio tumeugeuza wa singo maza😅
Nishakuwa sugu kuna muda nasahau kama ninaye mtoto! Zamani niliteseka hata kulala!Sio ubinafsi kama amekupokea kwa kigezo cha masomo iyo haina shida ila kama nakuona unavyosononeka kwa kummisi mtoto😀
Karibu sana ada ni buku bee tu😅Ngoja namimi nijiunge na hiyo tusheni 😆😆😆
hehehe kazi sana.. hata walio kazini wanaomba sana bia hadi keroUnakuta mtu alipokuwa mtumishi alikuwa busy anakula pombe na watumishi wenzake.
Baada ya kustaafu anakuwa anazunguka kwenye mabaa na kuombelez pombe kama omba omba
Hii ni picha mbaya sana. Hasa kwa waalimu.
Lakini watapataje ahueni vijana wa jf😅Kavu sana ile sikuitegemea 😇
Hahahh utalia mno na kujaza nyuzi jf, kaa kwa kutulia kabisa!Mh, ngoja nijitose nije kutoa shuhuda hivi mlango wa pm upo wapi
Hahah utakuwa mwalimu wewe! Sio bure!😃😃 hiyo imepigwa u-tern lengo la mleta mada lilikuwa ni kuleta taharuki kwa walimu innocent
SAsa assume hicho kipindi ulikuwa unashindwa kulala halafu upo na mwanaume mwenye wivu angehisi wamuwaza ex😆Nishakuwa sugu kuna muda nasahau kama ninaye mtoto! Zamani niliteseka hata kulala!
Pm tu buku mbili!! Kweli singo maza ni janga😄😄😄Karibu sana ada ni buku bee tu😅