Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Wasaidie tuu mkuu, maisha ndivyo yalivyo na sio wote!Unakuta mtu alipokuwa mtumishi alikuwa busy anakula pombe na watumishi wenzake.
Baada ya kustaafu anakuwa anazunguka kwenye mabaa na kuombelez pombe kama omba omba
Hii ni picha mbaya sana. Hasa kwa waalimu.
Jali maisha yako wewe. Minding your own business is a full time job.Unakuta mtu alipokuwa mtumishi alikuwa busy anakula pombe na watumishi wenzake.
Baada ya kustaafu anakuwa anazunguka kwenye mabaa na kuombelez pombe kama omba omba
Hii ni picha mbaya sana. Hasa kwa waalimu.
Na singo mama wauliwe🥲Kada ya ualimu ifutwe ili wana jf wapate kupumua
Ila singo mama ni janga mkuu😀😀😀Na singo mama wauliwe🥲
Natamani nijionee mwenyewe kwa macho!Ila singo mama ni janga mkuu😀😀😀
Mwl alikuwa anaambiwa akionekana anakunywa bia katikati ya mwezi anachukuliwa hatuaUsiwasahau police, wanajeshi, watendaji wa vijiji, na kata.
Huezi kuelewa hadi uwe wa kiume yani singo mama ana psychological problem linalotokana na mume wake wa kwanza hilo haliwez toka hata aombewe na mizimu😃Natamani nijionee mwenyewe kwa macho!
Sasa hiyo si ni kawaida ya binadamu yoyote aliyepitia changamoto! Kwani singo mama tu ndio wanashida?Huezi kuelewa hadi uwe wa kiume yani singo mama ana psychological problem linalotokana na mume wake wa kwanza hilo haliwez toka hata aombewe na mizimu😃
Shida inakuja mfanano yani karibia wote wanafanana tabia baada ya kuzaa na kuachwaSasa hiyo si ni kawaida ya binadamu yoyote aliyepitia changamoto! Kwani singo mama tu ndio wanashida?
Duh itakuwa ni trauma! Kwakweli mimi ninaowafahamu wote hawako hivyo kama ninavyosoma humu!Shida inakuja mfanano yani karibia wote wanafanana tabia baada ya kuzaa na kuachwa
Kuna mmoja ni rafiki yangu ila nikiangalia yanayosemwa humu na yeye anayo kwa 100%
Huwez kuwaona kwakuwa ni wanawake wenzio, kamtongoze uone😀Duh itakuwa ni trauma! Kwakweli mimi ninaowafahamu wote hawako hivyo kama ninavyosoma humu!
Ukimtongoza anafanyaje?Huwez kuwaona kwakuwa ni wanawake wenzio, kamtongoze uone😀
Ungekuwa na guts za kiumeUnakuta mtu alipokuwa mtumishi alikuwa busy anakula pombe na watumishi wenzake.
Baada ya kustaafu anakuwa anazunguka kwenye mabaa na kuombelez pombe kama omba omba
Hii ni picha mbaya sana. Hasa kwa waalimu.