Watumishi wote nchini msiwe wapumbavu ulipo kama nafasi ipo piga

Status
Not open for further replies.
Yaani tuhangaike na wanaoiba vijisenti, upo sawa kweli!?
Halafu mama yenu na Jakaya unawachekea!
Kila Mtumishi akiwa mwizi unajua madhara yake Mkuu?

Hoja yangu ni kwamba, hakuna mwenye kibali cha kuiba Mali za Umma iwe Viongozi wa kitaifa ama watumishi wanopokea hela za miradi

Ni wakati wa kutumia mifumo iliyopo kukomesha hiyo hali pamoja na kuendelea kuhimiza uzalendo Kwa Kila mwenye dhamana
 
Ushauri huu ni wa kipumbavu.
Tupinge wizi wa mali za umma na sio kuhamasisha wizi.
Nchi ikifilisika machafuko yatatokea na sisi tutaishi wapi?.
Tuwe wazalendo kwa Taifa letu.
 
Mbona wao wanaiba na kwa nini hakuna usawa mwalimu ,askari unamlipa chini ya ml 2 huku mbunge unamlipa 10 ml plus ,
Ukipata nafsi piga na lala mbele
 
Madhara ni makubwa najua ,turudi mezani kuweka usawa kama taifa
 
Unauliza ujinga gani ?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…