Waubani Linyama, dereva wa basi ambaye picha yake ina-trend mtandaoni kwa sasa

Daah kuna mwamba Masia bus we Acha inaovertake kitonga au kushuka kitonga na 80
 
Mkuu kwanini Kisbo aliacha route ya Dar-Mbeya kwa muda mfupi. Na route ya Mbeya-Mwanza apeleki gari?
 
Hakuna dereva anaiweza BENZI.
Hakuna dereva anaeiwezs SAULI.

New Force, Golden Deer, Nganga, Majinja, Imani, Happy Nation, AL Saeed na wengine woteee WANASANDA MBELE BENZI.

Tukutane Mbeya Carnival..!!!

#YNWA
 
Acha kudanganya watu newforce alihamia shikilango muda mrefu tu kabla hata sauli hajaleta basi zake enzi ya
Kisbo dar-mbeya, ilasi newforce bado alikuwa anatokea shekilango
 
Tumelala yooh! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Acha kudanganya watu newforce alihamia shikilango muda mrefu tu kabla hata sauli hajaleta basi zake enzi ya
Kisbo dar-mbeya, ilasi newforce bado alikuwa anatokea shekilango
Shekilango ya wapi unaizungumzia wewe,wengine pale ndio sehemu zetu za kutupatia ridhki mkuu,Newforce ana muda gani Shekilango mkuu?
Mbona unataka tuanze ligi nyingine kabisa?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kwanini Kisbo aliacha route ya Dar-Mbeya kwa muda mfupi. Na route ya Mbeya-Mwanza apeleki gari?
Kisbo,kwa safari ya Mbeya alikuwa na gari moja tu hiyo Bombastic,iende,irudi,leo akimfukuza DFR ya Jaja,kesho anafukuza DJQ ya Linyama.
Ikawa ni mwendo wa ligi tu kumbuka wenzie wanapumzika yeye iende irudi,pumzi ikakata..!
Gari ikarudishwa Dar_Tabora T 101 DAA
MWANZA-MBEYA hapeleki gari.
Na kwa siku za hivi karibuni Kisbo anaanza kupotea taratibu mno kwenye ramani maana gari zake asilimia kubwa ni mbovu mbovu,kwasasa ana kama mbili tu,DCJ (Covid 19_Zamani iliandikwa Kangi Lugola na ile mpya ya Kahama DST ya Babu,rangi kama ya Happy Nation)

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…