Waubani Linyama, dereva wa basi ambaye picha yake ina-trend mtandaoni kwa sasa

Kuna Cummins ya marekani alafu kuna dongfeng Cummins ya china hii ndio utopolo pasua kichwa warant 1 year tuu ikimaliza mwaka ni mateso bila chuki [emoji23][emoji23][emoji23]

Cummins og ya mmarekani warrant ni 5 years mkuu.
Sasa mkuu mimi naongelea cummins hayo ya dongfeng umeyasema wewe kwaio unategemea major service kit ya dongfeng itafika $15,000?
 
Unaikimbizaje gari na boda boda mbali hivyo!? Mi niliikimbiza toka ubungo hadi Kimara Korogwe [emoji23] af mvua ilikuwa inanyesha balaa nikampa 10 jamaa nimeingia nimeloa chapa chapa
Kwenye gari niliacha vitu vyangu vya thaman, afu kwenye boots za ndani ya gari mweeeeeh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwaiyo sehemu ya kufika saa kumi na mbili ulitaka afike saa nne? Unaota ww?? [emoji16]
KUFIKKA mda ulopangwa na mamlaka haina kushindana. Mamlaka haziwez weka mda usiofikika mpk uongeze spidi kitonga.
Ukiona mtu anashindana ujue anataka a arrive well before mda ulopangwa which is unsafe
 
Hahhahaha boda boda kuikimbiz Youtong ilikuwa mziki mnene
 


Dereva ana kitambi!!!🤣
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ila wee bhana, nilienda maliwato nilikua naharisha siku hiyo sasa daaaah, kisanga kikanikuta mweeeeh.
Pole sana mkuu ndio changamoto za usafiri hizo, yaani inamaana lilipita hadi mizani ya Nyololo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…