Waumini wa Kanisa Katoliki ni wavumilivu sana

Waislamu siwezi kuwasemea lakini Wakristo wengine wanawashutumu Wakatoliki kwa sababu wanafundisha mambo ambayo ni unbiblical na mambo ambayo yalirithiwa kutoka katika desturi za Dini za Kipagani za Kirumi na Kiyunani
Hayo madhehebu yote ya Kikristo yametokana na ukatoliki
 
Hujui kwamba Biblia ni kazi ya mikono ya wakatoliki?.
Una uhakika Gani kwamba Waraka wa Paulo Kwa Timotheo uliandikwa kweli na Paulo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Walivyokuwa vilaza watakwambia tupe andiko linalosema biblia ni mali ya Kanisa Katoliki

Kumbe hata hawajui kuwa hiyo Biblia ni zao la mapokea ambayo wanayakataa
 
Hujui kwamba Biblia ni kazi ya mikono ya wakatoliki?.
Una uhakika Gani kwamba Waraka wa Paulo Kwa Timotheo uliandikwa kweli na Paulo?
Wapi pameandikwa mitume walikua wakatoliki?😇
 
Catholic imeyazaa madhehebu yote hayo ya Kikristo, Hata wewe mkitukana baba Yako atakaa kimya na kuendelea kukufundisha yaliyomema
 
na ndomana mabadiliko nchini yanachelewa kwani serikali ikibanwa Sana kwenye Mambo muhimu lazima kadinari atafutiwe kimkakati kituo chochote Cha tv ahojiwe

Nakumbuka akati mchakato wakatiba ulivopamba Moto alitaftwa pengo alivohojiwa na kituo fulani akasema ,they went very far away sisi katiba MPYA yann
 
Yesu kristo alisema yeye ni mkatoliki?

Mama yake yesu (bikira maria)aliwaambia yeye ni mkatoliki?

Huko ni kudanganyana tu
[emoji16][emoji16][emoji16] Maswali ya kidwanzi haya Jibu ni Ndio
Yesu alikuja kukomboa wote kusudi hata mmoja asipotee hivyo yeye ni wa ulimwengu ( na ndio maana hasa ya neno katoliki)

Hata Bikira Maria alimzaa Yesu ili atukomboe wote hivyo naye alichangia kukomboa Ulimwengu
 
Yesu kristo alisema yeye ni mkatoliki?

Mama yake yesu (bikira maria)aliwaambia yeye ni mkatoliki?

Huko ni kudanganyana tu
Hapo ndipo uelewa wapo ulipo? Hebu tafuta katika historia madhehebu ya Kikristo lipi ni la kale zaidi na haya mengine chimbuko ni lipi?
 
Catholic imeyazaa madhehebu yote hayo ya Kikristo, Hata wewe mkitukana baba Yako atakaa kimya na kuendelea kukufundisha yaliyomema
Katoliki ni dini ya kiitaliano,waachieni mapapa huko italia

Nyie blacks tafuteni njia za kumuabudu Mungu wenu.
 
Biblia ina agano la kale na jipya mnaongelea agano gani na mna ushahidi upi ilimilikiwa na wakatoliki.
Ukitakwa iandikwe wapi
Ni kina nani walifanya kazi ya kuchagua baadhi ya vitabu ambavyo waliviweka humo kwenye biblia ambavyo wewe leo unatumia
Nitajie somo hata moja linalotaja neno katoliki kwenye biblia iwe agano la kale au jipya
Hujui kwamba Biblia ni kazi ya mikono ya wakatoliki?.
Una uhakika Gani kwamba Waraka wa Paulo Kwa Timotheo uliandikwa kweli na Paulo?
 
Ndio waliowaambia kua ukatoliki ndio dini ya kweli?zingine ni uongo?
Ndio Maana kupitia Imani ya Kanisa langu litanisaidia Kufika mbinguni Iwapo nitaifuata Imani hiyo
 
Uyahudi na ndipo biblia ilipokuwspo. Hata Yesu aliikuta akasoma neno kwenye sinagogi
Hapo ndipo uelewa wapo ulipo? Hebu tafuta katika historia madhehebu ya Kikristo lipi ni la kale zaidi na haya mengine chimbuko ni lipi?
 
Katoliki ni dini ya kiitaliano,waachieni mapapa huko italia

Nyie blacks tafuteni njia za kumuabudu Mungu wenu.
Najua wadhehebu ya Kimarekani yanahasira na Ukatoliki na ujue tu mifumo yote ya utawala umetoholewa kutoka Kwa Wakatoliki sawa kijana, walokole mnachukia sana mnatani ninyi ndio mmngekuwa mnaongoza Dunia
 
Umeona ee wamejimilikisha. Halafu wabishi sana
Yesu kristo alisema yeye ni mkatoliki?

Mama yake yesu (bikira maria)aliwaambia yeye ni mkatoliki?

Huko ni kudanganyana tu
 
Biblia ina agano la kale na jipya mnaongelea agano gani na mna ushahidi upi ilimilikiwa na wakatoliki.

Nitajie somo hata moja linalotaja neno katoliki kwenye biblia iwe agano la kale au jipya
Sasa unafikiri Yesu na Mitume waliacha Biblia ?

Je unafikiri kuwa hivyo vitabu vilivyopo kwenye biblia ndio hivyo tu au kuna zaidi?

Na kama vipo zaidi kwanini havikuwekwa ??

Au Biblia ilishuka tu toka Mbinguni
 
Najua wadhehebu ya Kimarekani yanahasira na Ukatoliki na ujue tu mifumo yote ya utawala umetoholewa kutoka Kwa Wakatoliki sawa kijana, walokole mnachukia sana mnatani ninyi ndio mmngekuwa mnaongoza Dunia
Hivi katoliki ndy ina maaskofu wanaowalawiti watoto wa kiume mpaka papa wao aliomba radhi??
 
Yesu ni wa ulimwengu kumbe sio wa wakatoliki wala muasisi wa dini ya ukatoliki

Ukatoliki ni kundi tu la watu walikaa wakaunda dini, yaani ni kama vile watu wanavounda vyama vya siasa na kutengenezea falsafa ambazo watu watazifuata na kuamini

Ila sio kwamba ni dini iliyoanzishwa na Mungu au Yesu

Yesu alipokuja duniani hakusema watu wakakae ndani ya ukatoliki au ndio dini yake ya kwanza

Ila alileta injili ya kweli wanadamu waiamini,yeyote alie mrengo huo wa kuwaambia wanadamu waache dhambi ndio kitu yesu/Mungu anataka kinyume na hapo ni utapeli tu,wizi mtupu na kudanganyana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…