Waumini wa Kanisa Katoliki ni wavumilivu sana

Comment ya kijinga sana hii unaweza kuthibitisha humu unabenefit nini na assets za kiroma?
 
Ahsante sana mkuu
 
Ain't that the all Purpose of Religion..., Turning the Other Cheek and so Forth ?

Tofauti ya hapo sioni faida ya Dini / Imani yoyote katika Jamii..., Kama inaleta Kero na Usumbufu kwa wengine bora isiwepo na wabaki wapagani...
 
Halafu Roman Catholic ni kwaajili ya Italy tu.Mmakonde,Mmachinga,Mmsai,Mchagga au Mnyakyusa na Catholic wapi na wapi !.Umewahi kuona au kusikia Pope Mwafrika au Mungu wa wa Catholic ni Mungu kwaajili ya wazungu pekee yake.
Hiyo siyo kwa wakatoliki tuu, Dini zote zilizokuja na majahazi au meli au ndege sio dini za mwafrika ikiwemo uislamu
 
Dini Ni kama matawi lakini Mungu ndio shina Sifa Zake Za Fanana Labda Tofauti Majina.... Wengine
wanamwita Allah, Maulana, Jehovah, God. etc

Tunge ujuaje ukristo kama Mzungu asingekuja kutawala au tunge ujuaje uislamu kama muarabu asingekuja kufanya biashara.

Mungu anatumizia // ndio maana //tunamfagilia // na hata ridhiki yeyote anampatia //
 
Ulienda kufanya nini kwenye masanamu
 
 
Imani sahihi ni ipi? Au ni hizi za makanisa ya mabati?
Unadharau makanisa ya mabati, hujui ibada unaweza fanya hata chini ya mti. Nani alikudanganya Mungu anapatikana kwenye makanisa ya maghorofa tu.
 
Tuambie Mungu wa huko kwenu ananukiaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unadharau makanisa ya mabati, hujui ibada unaweza fanya hata chini ya mti. Nani alikudanganya Mungu anapatikana kwenye makanisa ya maghorofa tu.
Siyadharau. Mungu anakuumba na akili timamu kabisa. Unaweza kujenga nyumba ya kuishi, unaweka fence, na kufuga mpaka mbwa kukulinda, lakini ibada unaona ukaifanye kwenye kanisa la mabati machakavu?

Watu mnapenda kufanya utani sana na imani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…