NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Wao ni watawala wa ulimwengu huu na wanajua hivyo na pia wanajua dini yao sio ya Mungu wala utakatifu wa kwenda huko Mbinguni wanajua wao KAZI yao ni kutawala Dunia yote na Mali zake tu na ndio maana Wana Mali nyingi na pia wanaamua nani atawale wapi na vipi KWA maslahi yao!!wanajua fika !wanaowapigia kelele hawaelewi kitu ndio maana wanapiga makelele tu!!hilo ni kanisa la kijasusi ndio maana hata MAKANISA yao Yana ofisi nyeti za kijasusi za NCHI yetu!!!utendaji KAZI wao una fanana na FBI,KGB,MOSSADI, na CIA !!