Acha mambo mengi chief na usiufanye moyo wako kuwa mgumu, njoo kanisani ukiwa na imani tusali utauona uwepo wa Mungu. Ukiona imani yako ni kwa Mwamposa, kwa Zumaridi, Gwajima au msikitini wewe nenda hatujakuvuta shati, la msingi tu imani yako iwe kwa Mungu utabarikiwa. Sisi wote ni wa Mungu na kwa Mungu tutarejea.
Ajabu ni kuwa mnauponda ukatoliki lakini Mungu mnayetuchomea kwake anatubariki na kujibu maombi yetu kila siku.
Kuna kwaya moja nimeisahau kwa jina iliimba wimbo (ya kikatoliki, maana ya kisabato haiwezi kuthubutu) baadhi ya maneno yake ni haya... 'dini safi ni ipi? Ni kuwatunza wagonjwa na wafungwa gerezani...' ndo maana charities nyingi za kikatoliki.
Pia 'amri mpya nawapa, nawapa mpendane, kama mimi nilivyowapenda ninyi mpendane vivyo hivyo...'
Sisi tunawapenda wote, no matter mnatuchukia aje, tunaamini hamjui mlitendalo.
Sent using
Jamii Forums mobile app