Waumini wa Kanisa Katoliki ni wavumilivu sana

Waumini wa Kanisa Katoliki ni wavumilivu sana

Nilisha hama hilo dhehebu aisee hawana inshu mafundisho na sala zao ni kukaririshwa tu yaani upokee tu na ukubali linalosemwa mengine ni siri yangu.
 
Hata shetani naye ni mkongwe na anamiradi lukuki ambayo hata Yesu aliambiwa akimsujudia atapewa..pia shetani ana taasisi na wengi wanadamu yawezekana hata wewe mtoa mada ni mwanachama mwaminifu..hivyo kaa kutulia huna hoja katika hili.

Kimsingi rc wameharibu ukristo kwa kuchanganya tamaduni za kipangani.

#MaendeleoHayanaChama
Ukristo umeujulia wapi bila uongozi wa Kanisa Katoliki?.
Ndio maana wanawadharau na kuwapuuza mnavyopayuka.
 
Yan ushapotea namambo yamazingaumbwe, yesu mwenyewe alisema inaamana bila miujiza hamtsadiki, kizaz kiovu kinapenda miujiza nyie mtandaendelea kuwa mazombi wakina zumarudi hadi yesu arud
Mnaongea hivyo kwasababu hamuwezi kufanya muujiza hata wa kuponya unywele tu,mnamkataa Mungu na nguvu zake ili mfuate maagizo ya dini. Agizo kuu la Yesu ni kwenda kote ulimwenguni kuhubiri injili,pia kupooza wagonjwa,kufufua wadu na kuwaweka watu huru. Ukiona dinibyako haifanyi hayo kimbia,you are at the wrong place.
 
Kwa mwaka Jana unakumbukumbu ya mtu walau mmoja aliyefufuliwa na Kanisa lolote ulimwenguni?
Kama hakuna,Kwa Nini lawama ziwaendee wakatoliki pekee?
Au hayo maagizo walipewa wakatoliki?

Mnachotakiwa muelewe ni kwamba hamuelewi kusudi la ujio wa Yesu.
 
Habari za wakati huu wapendwa

Bila kupoteza wakati naomba niende moja kwa moja kwenye uzi husika

Katika dini zote au madhehebu yote au makanisa yote hakuna kanisa au waumini ambao wanaongoza kupigwa vita na kusemwa vibaya kama wakatoliki.

Ukienda kwenye mikusanyiko ya waislamu wanaopondwa ni wakatoriki ukienda kwenye mikutano ya injili ya walokole wanaopondwa na kusimangwa ni wakatoriki lakini huwezi kusikia wakijibizana na mtu.

Tangu nizaliwe hadi sasa sijawahi kusikia wala kuona wakatoriki wameandaa mkutano wa injili kuponda au kusimanga dini kinzani au dhehebu kinzani.

Isipokuwa wao mafundisho yao kwa watoto wa kimunio ya kwanza na kipaimara yamejikita katika kuufahamu ukatoliki na kuuelewa vizuri ndio maana ukikuta mkatoriki ameiva kabisa kwenye mafundisho huwezi ukamkuta anateteleshwa kwa mambo ya kijinga.

Wakatoriki wengi wao wamepewa mioyo ya uvumilivu ndio maana wanasimangwa sana kuhusu ubaya madhaifu yao lakini bado wapo imara na wameendelea kushikilia imani yao.

Huwezi ukakuta wakatoriki wanashawishi watu wahamie dini yao kwa kuwaambia madhaifu ya dini kinzani huwezi kukuta wakatoriki wapo mtaani wanahubiri au kwenye mabasi kisha kuwaambia watu watoe sadaka huwezi kukuta iyo.

Ushauri wangu kwa dini na madhehebu mengine ni bora katika mafundisho yenu mjikite katika kuwaambia watu mazuri ya dini na madhehebu yenu ili kama mtu akivutiwa na mafundisho yenu awafate bila kuchafua dini za wenzenu.

Maana unaweza ukachafua dini/dhehebu la mwenzio siku na lako likija kuchafuliwa usianze kupaniki na kuanza kuleta maandamano ya kufunga bara bara kwa kusema dini /dhehebu lako limechafuliwa.

Najua yapo mengi sana yanaongelewa huko mtaani kila dhehebu likisema ubaya wa dhehebu kinzani na wote ni mashahidi.

Kama wote lengo letu kufinga mbinguni muache afike kwa njia anayotaka yeye usimpangie njia ya kupita afike mbinguni.

Nilichogundua asilimia kubwa wanaohubiri kwa kuwachafua wenzao anataka wapate waumini tu ili SADAKA ziongezeke hakuna kingine.
Nakubaliana kabisa na yote uliyoyasema. Heko kwako.
 
binafsi huwa nashangaa sana nikihudhuria misiba, padre au askofu akiwa pale mbele akianza kuhubiri, hakuna hata tone la nguvu za Mungu, hata harufu tu ya uwepo wa Mungu haipo, mahubiri makavuuuu yasiyookoa. kusali dini inahitaji uvumilivu sana na ni kifungo kikubwa mno.
Ukiona hvyo ujue Imani yako kwa Mungi ni haba sana ingawaje wewe mwenyewe waweza kujiona una imani.

Hata kama ukiwa ktk tukio la dini nyingine kama una imani utafeel uwepo wa Mungu ktk mkusanyiko huo kama kweli unaamini Mungu yupo bila kujali wewe ni wa dini ipi na dhehebu lipi pia
 
You can never be more Christian than Romans (Catholics).
hatuongei ili kuwakashifu, hatuongei ili kuwadharau, hatuongei ili kuwatukana, tunaongea ili kuwasaidia mfumbuke macho pengine mtaponya roho zenu.

1. Kanisa aliloanzisha Paulo/Pwetro au mitume wowote wale, halifanani kabisa na ukatoliki, kwasababu makanisa ya mitume yalitembea na Nguvu za Mungu. Yesu alipopaa aliwaelekeza wanafunzi wake kwamba enenedi mkawafanya mataifa yote kuwa wanafunzi wangu, mkiwabatiza kwa JIna la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu, na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuri ninyi, na tazama mimi nipo pamoja nany hata ukamilifu wa dahari. mojawapo ya mafundisho ya Yesu ni kwamba, wakati wa kuhubiri injili tunatakiwa kuponya wagonjwa, kufufua wafu, kutakasa wenye ukoma, na tunatakiwa kufanya hivyo bure bila malipo.(ndio maana siku zote napinga wachungaji wanaotoza waumini ili wawaone au kuuza bidhaa kama njia ya kuwaona).

hakuna padre wala askofu wala papa wa kiroma mwenye uwezo wa kuponya wagonjwa, kufufua wafu au kutakasa wenye ukoma. hakuna padre wala yeyote wa aina hiyo anayetembea na Nguvu za Mungu kwasababu ili uwe nazo lazima ujazwe Roho Mtakatifu ambaye wakatoliki wanampinga, wanakataa kujazwa Roho na kunena kwa Lugha.

kanisa la kwanza, lilelile ambalo ndio kina Paulo na Petro walilijenga kule St.Peter Roma Italia, walizingatiwa uongozi wa Roho na kuomba kwa Jina la Yesu, hawajawahi kuomba kwa Maria au Mtakatifu yosefu n.k, pia katika vitabu vyote vya manabii mitume walifanya reference, hautakuja kukuta vitabu kama vya Maccabean n.k,
 
Ukiona hvyo ujue Imani yako kwa Mungi ni haba sana ingawaje wewe mwenyewe waweza kujiona una imani.

Hata kama ukiwa ktk tukio la dini nyingine kama una imani utafeel uwepo wa Mungu ktk mkusanyiko huo kama kweli unaamini Mungu yupo bila kujali wewe ni wa dini ipi na dhehebu lipi pia
enzi za kanisa la mitume, ukienda kwenye kusanyiko la ibada au wao wakihudumu, you would feel the presence of God. baada ya ujio wa Roho Mtakatifu baada ya Yesu kupaa, Roho ndiye mhudumu kanisani, ndiye anayetakiwa kuhubiri kupitia watumishi wake, hivyo ukienda kanisani tunategemea tuhudumiwe na Roho, sio na mtu msomi wa theologia, na Roho akihudumu kupitia vinywa vyetu utajua tu kwasababu Nguvu za Mungu zitajionyesha. jambo hili ndilo li linalokataliwa na wakatoliki.
 
Kwa mwaka Jana unakumbukumbu ya mtu walau mmoja aliyefufuliwa na Kanisa lolote ulimwenguni?
Kama hakuna,Kwa Nini lawama ziwaendee wakatoliki pekee?
Au hayo maagizo walipewa wakatoliki?

Mnachotakiwa muelewe ni kwamba hamuelewi kusudi la ujio wa Yesu.
sio kwa mwaka jana tu, katika historia yote, katoliki alishawahi kutokea mtu akafanya hivyo? hahaha, the vise versa may not be true. cha muhimu ni kuwepo na imani ya aina hiyo kwenye misingi ya dini. na kwa walokole, watu wengi tu wameponywa na wamefufuliwa.
 
enzi za kanisa la mitume, ukienda kwenye kusanyiko la ibada au wao wakihudumu, you would feel the presence of God. baada ya ujio wa Roho Mtakatifu baada ya Yesu kupaa, Roho ndiye mhudumu kanisani, ndiye anayetakiwa kuhubiri kupitia watumishi wake, hivyo ukienda kanisani tunategemea tuhudumiwe na Roho, sio na mtu msomi wa theologia, na Roho akihudumu kupitia vinywa vyetu utajua tu kwasababu Nguvu za Mungu zitajionyesha. jambo hili ndilo li linalokataliwa na wakatoliki.
Ukiamini katika kuhudumiwa na roho vitu kama madhehebu haviwezi kukusumbua ktk imani yako,ukiona unahama kanisa ujue upo very poor,Mungu yupo kila mahali hata shimoni,ni vile wewe utakavyoenenda na mdundo uliopo
 
Back
Top Bottom