Hujajibu kwa nini Allah alitengeneza masanamu unaruka ruka tuJitahidi kuzunguka lakini mi ninatoa aya moja tu kuonyesha ulivyokuwa zero kuabudu vitu ambavyo hauvijui misingi yake. Unaabudu picha ya mzungu, mnakunywa damu ya yesu, biblia zipo version mpya kila siku.
Na hakuna anayeweza kujaribu kutoa ufafanuzi sio wewe tu
1 Wakorintho
25 Kwa maana huu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na ’udhaifu’ wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.
La jiwe kwa nini mnalisujudu nimekusaidia , mtu akikuuliza kwa nini unaabudu jiwe majibu aya hapa
- Jiwe jeusi kutoa hukumu siku ya mwisho likisaidiana na allah
- Muhammad alisema juu ya Jiwe: "Na Allah, Allah Atalileta jiwe hiyo Siku ya Kiyama, na jiwe litakuwa na macho mawili na ambayo yanaona na mdomo ambao utaongea , na jiwe litashuhudia kwa wale walioigusa kwa moyo wa kweli. "Narrated by al-Tirmidhi, 961; Ibn Maajah, 2944
- Jiwe linafuta dhambi likiguswa kwa moyo wa kweli
- ....."Ewe Abu abdur-Rahman, kwanini nikuone tu ukigusa hizi pembe mbili?" Alisema: "Muhammad alisema: Kuzigusa zinafuta dhambi...." Sunan an-Nasa'i 2919
- Jiwe jeusi lina fyonza dhambi za waislamu
- Muhammad alisema: "Jiwe jeusi liliteremka kutoka Peponi, na lilikuwa jeupe zaidi kuliko maziwa, kisha likatiwa weusi na dhambi za watoto wa Adamu." Jami` at-Tirmidhi 877