Jiwe la maka ni sanamu au ni jiwe?Usilie kijana. Ungeona masanamu misikitini na badala yake yapo makanisani
Wakorintho
25 Kwa maana huu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.
Tuanze moja moja
1. Unaamini jiwe litatoa hukumu?
2. Unaamini liatakuwa na macho na mdomo na litaongea?
3. Unaamini linahisia , maana likiguswa linajua umeligusa kwa moyo wa kweli na sio unalitania?
Muhammad alisema juu ya Jiwe: "Na Allah, Allah Atalileta jiwe hiyo Siku ya Kiyama, na jiwe litakuwa na macho mawili na ambayo yanaona na mdomo ambao utaongea , na jiwe litashuhudia kwa wale walioigusa kwa moyo wa kweli. "Narrated by al-Tirmidhi, 961; Ibn Maajah, 2944