Waumini wa Kanisa Katoliki ni wavumilivu sana

Sio mwaka Jana TU,tufanye Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume halina uwezo wa kufufua wafu kama alivyoagiza Yesu,
Nipe rekodi za hilo dhehebu lenu lenye uwepo wa Roho Mtakatifu,mmeshafufua watu wangapi tangu kuanzishwa kwake?
 
Itatufaa nini tukiwa na fahari ya dunia hii (mfano elimu na utajiri) halafu tuukose uzima wa milele. Uliyoyataja hayo ya dunia hii ni sawa tukiwa nayo lakini bado haitoshi maana Mungu anashida haswa na roho zetu kupona. Au waonaje mkuu
 
Hebu tupatie namba ya mtu ambaye hapo kanisani kwenu mlifufua...tuongee naye jambo fulani.
 
Lakini vyote hivyo vyote bado vichwani mwao kumejaa makamasi ya kuamini sanamu la bikira maria linaweza kutatua shida zao,kweli maajabu haya.
 
Mkuu, lango ni moja tuu. Ni Yesu tuu mkuu. Kuomba kwa majina mengine ya wanadamu wenzetu akina Yosefu na Maria sijui na mtakatifu nani mkuu unakua hauna tofauti na wale wanaoomba kwa jina la mfalme Zumaridi. Au una mtazamo gani katika hilo mkuu
 
Ndugu sio Maria tu yani sisi tunaombewa mpaka na watakatifu kina, St. Peter nk.....yani hapo tutakuchanganya zaidi Bora tu ubaki katika Imani yako[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ambacho huelewi ni kwamba Yesu ni Mungu.Bikira Maria alimzaa Mungu.
Ukielewa hapo walau utakuwa umepiga hatua kubwa kiufahamu.
 
Ndugu sio Maria tu yani sisi tunaombewa mpaka na watakatifu kina, St. Peter nk.....yani hapo tutakuchanganya zaidi Bora tu ubaki katika Imani yako[emoji23][emoji23][emoji23]
 
kwahiyo wanaombea kwa jina la bikira maria na mtu anapona, mtakatifu yosefu mtu anapona, ndio wanakuja kuchanganya na Jina la Yesu sasa wakiamua. kweli kipofu huwa hajioni.

Kwa taaluma ya maandiko kabla ya Yesu kukata roho alimwambia Yohana kwamba "Tazama huyu ni mama yako" na kwa Bikira Maria akamwambia "Tazama huyu ni mwanao". Hili neno unajua maana yake?
 
Kwa taaluma ya maandiko kabla ya Yesu kukata roho alimwambia Yohana kwamba "Tazama huyu ni mama yako" na kwa Bikira Maria akamwambia "Tazama huyu ni mwanao". Hili neno unajua maana yake?
alikuwa anamwelekeza yohana amtunze/amlee. hata kiswahili cha kawaida kabisa hapo kinaeleweka. maria alikuja kufa, hakufufuka hadi leo. Yesu hakuwa anaelekeza tusali kupitia maria, hakumaanisha maria awe mbadala wake.
 
Itatufaa nini tukiwa na fahari ya dunia hii (mfano elimu na utajiri) halafu tuukose uzima wa milele. Uliyoyataja hayo ya dunia hii ni sawa tukiwa nayo lakini bado haitoshi maana Mungu anashida haswa na roho zetu kupona. Au waonaje mkuu
Kama dhehebu lako linakuambia elimu ni changamoto hiyo.

Mkuu elimu niliyoipata imeniweka na Mungu kuliko kitu chochote.

Kupitia elimu hiyo imenipa kazi ya uponyaji kupitia science (MD).

kupitia elimu hij imenipa fedha ambayo kwa kipindi hiki cha kwaresma natenga kiasi kwa ajili ya kusaidia wenye uhitaji. Kanisa la Roma limejenga vituo mbalimbali vya kulea mayatima kila kona ya nchi hii.

Kama dhehebu lako linakusanya tu ile sadaka na halifanyi investment kwenye social services mbalimbali ni tatizo.
hilo.

mkuu mimi kipaumbele changu ni kufanya yaliyo mema na kumpendeza Mungu angali nipo hapa duniani.
Huo uzima wa milele siyo kipaumbele cha muumini yoyote wa Catholic.

tunafundishwa kuishi vyema ktukishika amri ya mpende jirani yako... Then kwenda huko mbinguni ni result.

ndo maana unaona kanisa Catholic ni kanisa la watu wote..
waovu na wasio waovu. Kila mmoja anakaribishwa hapa.
 
USHAWAI MUONA SHETANI AKIJITETEA KWA UOVU WAKE???

JIBU NI HAPANA MAANA UOVU WAKE UMEHALALISHWA.

CATHOLIC NDIYE SHETAN MKUU, NA HAYO MAGENGE MENGINE YA MADHEHEBU NA DINI ZOTE NI VITOTO VYAO, IVYO WACHA WAPAMBANE WAO KWA WAO, AS LONG AS HAWANA UWEZO WA KUMDHURU BABA YAO(CATHOLIC)

.....All religions are evils
 
Ndugu sio Maria tu yani sisi tunaombewa mpaka na watakatifu kina, St. Peter nk.....yani hapo tutakuchanganya zaidi Bora tu ubaki katika Imani yako[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndugu sio Maria tu yani sisi tunaombewa mpaka na watakatifu kina, St. Peter nk.....yani hapo tutakuchanganya zaidi Bora tu ubaki katika Imani yako[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa mna tofauti gani na waumini wanaoomba kwa jina la mfalme zumalidi. Maana wote mmewekeza ibada zenu kwa binadamu kama ninyi. Maria ni mtu, Petro ni mtu, Yohana ni mtu. Fungua macho braza
 
Ndugu sio Maria tu yani sisi tunaombewa mpaka na watakatifu kina, St. Peter nk.....yani hapo tutakuchanganya zaidi Bora tu ubaki katika Imani yako[emoji23][emoji23][emoji23]
mbuzi katoliki nyie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kwahiyo wanaombea kwa jina la bikira maria na mtu anapona, mtakatifu yosefu mtu anapona, ndio wanakuja kuchanganya na Jina la Yesu sasa wakiamua. kweli kipofu huwa hajioni.
Ndio maana wakatoliki wanawapuuza.
Kama mtu anaenda Kwa mwamposa amwombee Kwa Yesu,unashindwa Nini kwenda Kwa Bikira Maria akuombee Kwa Yesu?
 
Ambacho huelewi ni kwamba Yesu ni Mungu.Bikira Maria alimzaa Mungu.
Ukielewa hapo walau utakuwa umepiga hatua kubwa kiufahamu.
Yesu alipitia tuu kwa Maria ili akae nasi duniani. Yesu alikuwako tangu dahari. Unavoongea Bikira Maria alimzaa Mungu ni utadhani Bikira Maria ndo alimuumba Mungu. Bikira Maria aliipata tuu ile neema ya Yesu kupitia kwake ili aje aishi kwetu lakini Maria hana lingine la ziada kando na hilo la kumzaa Yesu katika kutufikisha Mbinguni. Ni Yesu tuu pekee mwenye kutufikisha Mbinguni maana yeye ni mpatanishi. Wake up brother
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…