Waumini wa Kanisa Katoliki ni wavumilivu sana

Hapo ndipo mnapofeli.
Mkristo Hafi.
Biblia IPO wazi kuhusu Hilo.
Mkristo anaushirika na Mungu muda wote akiwa duniani na anapouacha ulimwengu huu wa mwili.

Luka 16:19-31​

Mfano Wa Tajiri Na Maskini Lazaro​

19 Akasema, “Palikuwa na tajiri mmoja aliyevaa nguo za rangi ya zambarau na kitani safi, nguo za gharama kubwa, kila siku. 20 Na maskini mmoja, jina lake Lazaro, mwenye vidonda mwili mzima, alikuwa akiletwa mlangoni kwa huyo tajiri kila siku. 21 Lazaro alikuwa akitamani kula makombo yaliyodondoka mezani kwa tajiri. Hata mbwa walikuwa wakiramba vidonda vyake.

22 “Hatimaye, yule maskini alikufa. Malaika wakamchukua akakae pamoja na Ibrahimu mbinguni. Yule tajiri naye pia akafa, akazikwa. 23 Alipokuwa kuzimuni ambapo alikuwa akiteseka, alita zama juu, akamwona Ibrahimu kwa mbali na Lazaro karibu yake.

24 Akaita, ‘Baba Ibrahimu, nionee huruma umtume Lazaro achovye japo ncha ya kidole chake katika maji aupoze ulimi wangu maana ninateseka kwenye moto huu.’

25 Lakini Ibrahimu akamjibu, ‘Mwa nangu, kumbuka kwamba ulipokuwa hai ulipata kila kitu kizuri uli chotaka, ambapo Lazaro alipokea mabaya. Lakini sasa anafarijika hapa na wewe unateseka.

26 Isitoshe, kati yetu na ninyi huko, kumewekwa bonde kubwa lisilopitika ili wale wanaotaka kutoka huku kuja huko au kutoka huko kuja huku wasiweze.’

27 Akasema, ‘Basi, baba, tafadhali umtume Lazaro aende nyumbani kwa baba yangu,

28 awaonye ndugu zangu, wasije wao pia wakaletwa mahali hapa pa mateso watakapokufa.’

29 Ibrahimu akamjibu, ‘Ndugu zako wanazo sheria za Musa na maandiko ya Manabii. Itawapasa watii hayo.’ Lakini yule tajiri akazidi kumsihi,

30 ‘Hapana baba Ibrahimu, ndugu zangu hawatashawishiwa na hayo. Lakini mtu kutoka kuzimu akitumwa kwao watatubu na kuziacha dhambi zao.’

31 “Ibrahimu akamwambia, ‘Wasiposikiliza na kutii sheria za Musa na Maandiko ya manabii, hawatashawishika kutubu hata kama mtu akifufuka kutoka kuzimu.”

SWALI LANGU KWAKO: kuna connection yeyote kati ya wafu na walio hai?
 
Siyo hilo tuu, mnamuabudu kwa kupigia magoti sanamu lake kama unabisha nenda St Joseph kwenye kile kijumba utakuta watu wamepiga magoti wanaabudu sanamu la Maria
Nenda Mahakamani uone wanavyoinamia Picha ya Rais.

Hujui Bikira Maria Mama wa Mungu ana heshimiwa zaidi?.

Kwenye Biblia hujawahi kukutana navifungu vya watu wanaoinamiwa ambao sio Mungu?
 
Sasa mna tofauti gani na waumini wanaoomba kwa jina la mfalme zumalidi. Maana wote mmewekeza ibada zenu kwa binadamu kama ninyi. Maria ni mtu, Petro ni mtu, Yohana ni mtu. Fungua macho braza
Bro ukifungua macho wewe inatosha, by the way tambua dini sio kigezo cha wewe kufika mbinguni Wala siko hapa kulisifia dhehebu langu la katoliki au kuona madhehebu mengine kwamba yanakosea,

Na Mimi naona ni utoto kuanza kukashifu kitu ambacho hata hukijui au kuona chako ni sahihi huko kunaitwa kujikweza!
 
binafsi huwa nashangaa sana nikihudhuria misiba, padre au askofu akiwa pale mbele akianza kuhubiri, hakuna hata tone la nguvu za Mungu, hata harufu tu ya uwepo wa Mungu haipo, mahubiri makavuuuu yasiyookoa. kusali dini inahitaji uvumilivu sana na ni kifungo kikubwa mno.
ibada ya kupiga makelele ndiyo inaashiria uwepob wa Mungu?au kukemea mapepo kila siku ambayo hayaishi ndiyo ibada yenye nguvu?
Soma hili neno litakusaidia

Wafalme 1 19:11-13
BWANA akasema, “Toka nje ukasimame juu ya mlima mbele za BWANA, kwa kuwa BWANA yu karibu kupita hapo.” Kisha upepo mwingi na wenye nguvu ukapasua milima ile na kuvunjavunja miamba mbele za BWANA, lakini BWANA hakuwamo katika ule upepo. Baada ya upepo palikuwa na tetemeko la nchi, lakini BWANA hakuwamo kwenye lile tetemeko. Baada ya tetemeko la nchi ukaja moto, lakini BWANA hakuwamo katika ule moto. Baada ya moto ikaja sauti ya utulivu ya kunongʼona. Eliya alipoisikia, akafunika uso kwa vazi lake, akatoka na kusimama kwenye mdomo wa pango. Kisha ile sauti ikamwambia, “Eliya, unafanya nini hapa?
 
Luka 16:19-31​

Mfano Wa Tajiri Na Maskini Lazaro​

19 Akasema, “Palikuwa na tajiri mmoja aliyevaa nguo za rangi ya zambarau na kitani safi, nguo za gharama kubwa, kila siku. 20 Na maskini mmoja, jina lake Lazaro, mwenye vidonda mwili mzima, alikuwa akiletwa mlangoni kwa huyo tajiri kila siku. 21 Lazaro alikuwa akitamani kula makombo yaliyodondoka mezani kwa tajiri. Hata mbwa walikuwa wakiramba vidonda vyake.

22 “Hatimaye, yule maskini alikufa. Malaika wakamchukua akakae pamoja na Ibrahimu mbinguni. Yule tajiri naye pia akafa, akazikwa. 23 Alipokuwa kuzimuni ambapo alikuwa akiteseka, alita zama juu, akamwona Ibrahimu kwa mbali na Lazaro karibu yake. 24 Akaita, ‘Baba Ibrahimu, nionee huruma umtume Lazaro achovye japo ncha ya kidole chake katika maji aupoze ulimi wangu maana ninateseka kwenye moto huu.’ 25 Lakini Ibrahimu akamjibu, ‘Mwa nangu, kumbuka kwamba ulipokuwa hai ulipata kila kitu kizuri uli chotaka, ambapo Lazaro alipokea mabaya. Lakini sasa anafarijika hapa na wewe unateseka. 26 Isitoshe, kati yetu na ninyi huko, kumewekwa bonde kubwa lisilopitika ili wale wanaotaka kutoka huku kuja huko au kutoka huko kuja huku wasiweze.’ 27 Akasema, ‘Basi, baba, tafadhali umtume Lazaro aende nyumbani kwa baba yangu, 28 awaonye ndugu zangu, wasije wao pia wakaletwa mahali hapa pa mateso watakapokufa.’ 29 Ibrahimu akamjibu, ‘Ndugu zako wanazo sheria za Musa na maandiko ya Manabii. Itawapasa watii hayo.’ Lakini yule tajiri akazidi kumsihi, 30 ‘Hapana baba Ibrahimu, ndugu zangu hawatashawishiwa na hayo. Lakini mtu kutoka kuzimu akitumwa kwao watatubu na kuziacha dhambi zao.’

31 “Ibrahimu akamwambia, ‘Wasiposikiliza na kutii sheria za Musa na Maandiko ya manabii, hawatashawishika kutubu hata kama mtu akifufuka kutoka kuzimu.”

SWALI LANGU KWAKO: kuna connection yeyote kati ya wafu na walio

Mkristo hafi hata siku Moja.

Yn 11:25-26*
Yesu akamwambia, Mimi ndimi huo ufufuo, na uzima.
Yeye aniaminiye mimi, ajapokufa, atakuwa anaishi; naye kila aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele.

Je! Unayasadiki hayo?
 
Kupiga magoti Haina maana ya kuabudi na kumfanya sawa na Mungu.
Soma Biblia vizuri kijana.
Wengi kwenye Biblia walikuwa wanapigiwa magoti.
Hata kwenye jamii zetu hizi wengi wanapigiwa Magoti.

Muulize mchungaji wako.
Je,Wakatoliki wanachukulia Bikira Maria Sawa na Mungu?.
Kama SIvyo ujue ni heshima TU Kwa mama wa Mungu.
Unapokua katika kusali kupiga magoti ni kuabudu..kumbuka hilo neno, "unapokua katika kusali".

Unataka upindishe wapi lugha mkuu, hata akina Shedraki, Meshaki na Abednego katika biblia waliambiwa wapige magoti wasujudie sanamu la mfalme lakini waligoma.

Lakini Wakatoliki wanapokua katika kusali wanapigia magoti sanamu la Maria kitu ambacho siyo sahihi.

Hakuna sehemu katika biblia isemayo tuombe kwa jina la Maria, najua hapo unawaza tuu kwenye harusi ya pale Kana Maria alivomuomba Yesu watu wakapata mvinyo.

Narudia tena Mtu alietoka duniani hawezi kufikisha maombi yetu Mbinguni
 
Luka 16:19-31​

Mfano Wa Tajiri Na Maskini Lazaro​

19 Akasema, “Palikuwa na tajiri mmoja aliyevaa nguo za rangi ya zambarau na kitani safi, nguo za gharama kubwa, kila siku. 20 Na maskini mmoja, jina lake Lazaro, mwenye vidonda mwili mzima, alikuwa akiletwa mlangoni kwa huyo tajiri kila siku. 21 Lazaro alikuwa akitamani kula makombo yaliyodondoka mezani kwa tajiri. Hata mbwa walikuwa wakiramba vidonda vyake.

22 “Hatimaye, yule maskini alikufa. Malaika wakamchukua akakae pamoja na Ibrahimu mbinguni. Yule tajiri naye pia akafa, akazikwa. 23 Alipokuwa kuzimuni ambapo alikuwa akiteseka, alita zama juu, akamwona Ibrahimu kwa mbali na Lazaro karibu yake. 24 Akaita, ‘Baba Ibrahimu, nionee huruma umtume Lazaro achovye japo ncha ya kidole chake katika maji aupoze ulimi wangu maana ninateseka kwenye moto huu.’ 25 Lakini Ibrahimu akamjibu, ‘Mwa nangu, kumbuka kwamba ulipokuwa hai ulipata kila kitu kizuri uli chotaka, ambapo Lazaro alipokea mabaya. Lakini sasa anafarijika hapa na wewe unateseka. 26 Isitoshe, kati yetu na ninyi huko, kumewekwa bonde kubwa lisilopitika ili wale wanaotaka kutoka huku kuja huko au kutoka huko kuja huku wasiweze.’ 27 Akasema, ‘Basi, baba, tafadhali umtume Lazaro aende nyumbani kwa baba yangu, 28 awaonye ndugu zangu, wasije wao pia wakaletwa mahali hapa pa mateso watakapokufa.’ 29 Ibrahimu akamjibu, ‘Ndugu zako wanazo sheria za Musa na maandiko ya Manabii. Itawapasa watii hayo.’ Lakini yule tajiri akazidi kumsihi, 30 ‘Hapana baba Ibrahimu, ndugu zangu hawatashawishiwa na hayo. Lakini mtu kutoka kuzimu akitumwa kwao watatubu na kuziacha dhambi zao.’

31 “Ibrahimu akamwambia, ‘Wasiposikiliza na kutii sheria za Musa na Maandiko ya manabii, hawatashawishika kutubu hata kama mtu akifufuka kutoka kuzimu.”

SWALI LANGU KWAKO: kuna connection yeyote kati ya wafu na walio hai?
Hapa penyewe panaonyesha usivyoekewa.

Kumbe Lazaro alipoiacha hili dunia hakufa?

Huoni alikuwa kifuani kwa ibrahimu?.

Hizo hadithi zenu za Mkristo anakufa na hastahili kushirikishwa kwenye maombi yetu mnazitoa kwenye Biblia IPi?
 
Nenda Mahakamani uone wanavyoinamia Picha ya Rais.
Hujui Bikira Maria Mama wa Mungu ana heshimiwa zaidi?.

Kwenye Biblia hujawahi kukutana navifungu vya watu wanaoinamiwa ambao sio Mungu?
Pale mahakamani siyo sehemu ya ibada ndugu, unapoinama kwenye picha ya rais kwa dhumuni la ibada ndiyo kosa. Sasa Wakatoliki wanainamia sanamu wakiwa katika ibada kabisaa. Au huelewi maana ya ibada ndugu yangu
 
Hapa penyewe panaonyesha usivyoekewa.
Kumbe Lazaro alipoiacha hili dunia hakufa?
Huoni alikuwa kifuani kwa ibrahimu?.

Hizo hadithi zenu za Mkristo anakufa na hastahili kushirikishwa kwenye maombi yetu mnazitoa kwenye Biblia IPi?
Mkuu, wanadamu waliokufa hawawezi kutusaidia katika kupitisha maombi yetu kwenda kwa Mungu. Lakini kama utakua na ushahidi wa Kibiblia ukatupatia nitafurahi maana takua nimejifunza kitu
 
Bro ukifungua macho wewe inatosha, by the way tambua dini sio kigezo cha wewe kufika mbinguni Wala siko hapa kulisifia dhehebu langu la katoliki au kuona madhehebu mengine kwamba yanakosea,

Na Mimi naona ni utoto kuanza kukashifu kitu ambacho hata hukijui au kuona chako ni sahihi huko kunaitwa kujikweza!
Asante saana mkuu, nimejifunza kitu kwako. Nafikiri pia na wewe umejifunza kitu kutoka kwangu.
 
Habari za wakati huu wapendwa

Bila kupoteza wakati naomba niende moja kwa moja kwenye uzi husika

Katika dini zote au madhehebu yote au makanisa yote hakuna kanisa au waumini ambao wanaongoza kupigwa vita na kusemwa vibaya kama wakatoliki.

Ukienda kwenye mikusanyiko ya waislamu wanaopondwa ni wakatoriki ukienda kwenye mikutano ya injili ya walokole wanaopondwa na kusimangwa ni wakatoriki lakini huwezi kusikia wakijibizana na mtu.

Tangu nizaliwe hadi sasa sijawahi kusikia wala kuona wakatoriki wameandaa mkutano wa injili kuponda au kusimanga dini kinzani au dhehebu kinzani.

Isipokuwa wao mafundisho yao kwa watoto wa kimunio ya kwanza na kipaimara yamejikita katika kuufahamu ukatoliki na kuuelewa vizuri ndio maana ukikuta mkatoriki ameiva kabisa kwenye mafundisho huwezi ukamkuta anateteleshwa kwa mambo ya kijinga.

Wakatoriki wengi wao wamepewa mioyo ya uvumilivu ndio maana wanasimangwa sana kuhusu ubaya madhaifu yao lakini bado wapo imara na wameendelea kushikilia imani yao.

Huwezi ukakuta wakatoriki wanashawishi watu wahamie dini yao kwa kuwaambia madhaifu ya dini kinzani huwezi kukuta wakatoriki wapo mtaani wanahubiri au kwenye mabasi kisha kuwaambia watu watoe sadaka huwezi kukuta iyo.

Ushauri wangu kwa dini na madhehebu mengine ni bora katika mafundisho yenu mjikite katika kuwaambia watu mazuri ya dini na madhehebu yenu ili kama mtu akivutiwa na mafundisho yenu awafate bila kuchafua dini za wenzenu.

Maana unaweza ukachafua dini/dhehebu la mwenzio siku na lako likija kuchafuliwa usianze kupaniki na kuanza kuleta maandamano ya kufunga bara bara kwa kusema dini /dhehebu lako limechafuliwa.

Najua yapo mengi sana yanaongelewa huko mtaani kila dhehebu likisema ubaya wa dhehebu kinzani na wote ni mashahidi.

Kama wote lengo letu kufinga mbinguni muache afike kwa njia anayotaka yeye usimpangie njia ya kupita afike mbinguni.

Nilichogundua asilimia kubwa wanaohubiri kwa kuwachafua wenzao anataka wapate waumini tu ili SADAKA ziongezeke hakuna kingine.
Sio kwamba ni wema saaana, sema tu wakatoliki ni dhehebu la wasomi hawana mambo ya kiswahili ya kupayuka payuka, uzungu mwingi.

Ila ukiwapa kisogo nao huteta sana wezao.

mimi ni shuhuda wa hilo, maana nimesoma shule ya wakatoliki kidato cha tano na sita.

Nilipofika shule sikuelewa kuwa kipindi cha dini cha divinity huwa asilimia kubwa wanasoma wakatoliki wenyewe kwa pale shule, nikaingia kipindi hicho,

Hiyo hasa ni kwasababu kipindi chao kilifanyika kwenye chumba cha darasa letu.

Na mimi nilikuwa mgeni denti wa form five, muda wa kipindi wazoefu walihamia madarasa mengine, mimi sikujua nikabaki

Na sitaki kusema yote niliyosikia ila mwalimu wa kipindi alikashifu dini yangu na ndio nikakoma kuingia ingia vipindi vya dini za watu wengine. [emoji23][emoji23][emoji23]

Nilikoma nikawa nahakikisha sijichanganyi tena nasoma kipindi cha dini yangu tu, kwa bahati nzuri shule hiyo ilikuwa na vipindi vya kila dini na dhehebu

Kwa hiyo ni kwamba hutawakuta wakipayuka mitaani, wana utulivu wa kisomi, ila kuteta na kusema wezao na wao wamo hawavumi tu.
 
Unapokua katika kusali kupiga magoti ni kuabudu..kumbuka hilo neno, "unapokua katika kusali".
Unataka upindishe wapi lugha mkuu, hata akina Shedraki, Meshaki na Abednego katika biblia waliambiwa wapige magoti wasujudie sanamu la mfalme lakini waligoma.
Lakini Wakatoliki wanapokua katika kusali wanapigia magoti sanamu la Maria kitu ambacho siyo sahihi.
Hakuna sehemu katika biblia isemayo tuombe kwa jina la Maria, najua hapo unawaza tuu kwenye harusi ya pale Kana Maria alivomuomba Yesu watu wakapata mvinyo. Narudia tena Mtu alietoka duniani hawezi kufikisha maombi yetu Mbinguni
ACHA kukariri.
Nani kakudanganya ukipiga magoti kilichopo mbele Yako unakiabudu kuwa ndio Mungu?
Akili za wapi hizo?

Kwa hiyo nyie mkiwa katika kusali chochote kilichopo mbele yenu mnakiabudu na kukigeuza kuwa Mungu wenu?
Mungu haabudiwi kwa kukariri.
 
Ukweli ni kwamba ukatoliki siyo ukristo wa kibiblia. Na kuhusu uvumilivu, hata freemason ni wavumilivu japo wanasemwa sana pia, ni kawaida ya waumini ya imani yoyote ile kuvumilia, iwe imani potofu au sahihi.
 
Habari za wakati huu wapendwa

Bila kupoteza wakati naomba niende moja kwa moja kwenye uzi husika

Katika dini zote au madhehebu yote au makanisa yote hakuna kanisa au waumini ambao wanaongoza kupigwa vita na kusemwa vibaya kama wakatoliki.

Ukienda kwenye mikusanyiko ya waislamu wanaopondwa ni wakatoriki ukienda kwenye mikutano ya injili ya walokole wanaopondwa na kusimangwa ni wakatoriki lakini huwezi kusikia wakijibizana na mtu.

Tangu nizaliwe hadi sasa sijawahi kusikia wala kuona wakatoriki wameandaa mkutano wa injili kuponda au kusimanga dini kinzani au dhehebu kinzani.

Isipokuwa wao mafundisho yao kwa watoto wa kimunio ya kwanza na kipaimara yamejikita katika kuufahamu ukatoliki na kuuelewa vizuri ndio maana ukikuta mkatoriki ameiva kabisa kwenye mafundisho huwezi ukamkuta anateteleshwa kwa mambo ya kijinga.

Wakatoriki wengi wao wamepewa mioyo ya uvumilivu ndio maana wanasimangwa sana kuhusu ubaya madhaifu yao lakini bado wapo imara na wameendelea kushikilia imani yao.

Huwezi ukakuta wakatoriki wanashawishi watu wahamie dini yao kwa kuwaambia madhaifu ya dini kinzani huwezi kukuta wakatoriki wapo mtaani wanahubiri au kwenye mabasi kisha kuwaambia watu watoe sadaka huwezi kukuta iyo.

Ushauri wangu kwa dini na madhehebu mengine ni bora katika mafundisho yenu mjikite katika kuwaambia watu mazuri ya dini na madhehebu yenu ili kama mtu akivutiwa na mafundisho yenu awafate bila kuchafua dini za wenzenu.

Maana unaweza ukachafua dini/dhehebu la mwenzio siku na lako likija kuchafuliwa usianze kupaniki na kuanza kuleta maandamano ya kufunga bara bara kwa kusema dini /dhehebu lako limechafuliwa.

Najua yapo mengi sana yanaongelewa huko mtaani kila dhehebu likisema ubaya wa dhehebu kinzani na wote ni mashahidi.

Kama wote lengo letu kufinga mbinguni muache afike kwa njia anayotaka yeye usimpangie njia ya kupita afike mbinguni.

Nilichogundua asilimia kubwa wanaohubiri kwa kuwachafua wenzao anataka wapate waumini tu ili SADAKA ziongezeke hakuna kingine.

YESU AKASEMA, "NDIWE PETRO, MWAMBA! NA JUU YA MWAMBA HUU NITAJENGA KANISA LANGU"

NA SISI NDIO WAKATOLIKI WENYEWE NA HII NDIO KANUNI YA IMANI YETU👇👇👇

"Nasadiki kwa Mungu mmoja, Baba mwenyezi, muumba wa mbingu na dunia na vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana.

Nasadiki kwa Bwana mmoja Yesu Kristo, Mwana pekee wa Mungu, aliyezaliwa kwa Baba tangu milele yote. Mungu aliyetoka kwa Mungu, mwanga kwa mwanga, Mungu kweli kwa Mungu kweli, aliyezaliwa bila kuumbwa, mwenye umungu mmoja na Baba, ambaye vitu vyote vimeumbwa naye.

Alishuka kutoka mbinguni, kwa ajili yetu sisi wanadamu, na kwa ajili ya wokovu wetu.

Akapata mwili kwa uwezo wa Roho Mtakatifu kwake yeye Bikira Maria, akawa mwanadamu.

Akasulubiwa kwa ajili yetu sisi, akateswa kwa mamlaka ya Ponsyo Pilato; akafa na akazikwa.

Siku ya tatu akafufuka katika wafu, akapaa mbinguni, ameketi kuume kwa Baba.

Atakuja tena kwa utukufu, kuwahukumu wazima na wafu, na ufalme wake hautakuwa na mwisho.

Nasadiki kwa Roho Mtakatifu, Bwana na mleta uzima: atokaye kwa Baba na Mwana. Anayeabudiwa na kutukuzwa, pamoja na Baba na Mwana: aliyenena kwa vinywa vya manabii.

Nasadiki kwa Kanisa moja, takatifu, katoliki, la Mitume.

Naungama ubatizo mmoja kwa maondoleo ya dhambi.

Nangojea na ufufuko wa wafu, na uzima wa milele ijayo. Amina."

MAMA NI MWENYE UPENDO SIKU ZOTE KAMA ILIVYO KWA KANISA KATOLIKI LILILO MAMA WA MAKANISA YOTE, WOOOTE WAMEZALIWA TOKA KWENYE SHINA HILO.

KRISTO TUMAINI LETU, TUMAINI LETU NI KRISTO 🙏
 
Pale mahakamani siyo sehemu ya ibada ndugu, unapoinama kwenye picha ya rais kwa dhumuni la ibada ndiyo kosa. Sasa Wakatoliki wanainamia sanamu wakiwa katika ibada kabisaa. Au huelewi maana ya ibada ndugu yangu
Swala ni kuinama kwenye sanamu au kuipa Sanamu ukuu sawa na Mungu?
Mungu kakataa kuinamia Sanamu au kuzipa Sanamu ukuu SAWA NA MUNGU?.

Mnaona mnavyoteseka Kwa kutoyaelewa maandiko?
 
Ushawahi kuona mkatoliki mwenye akili ndogo?
Wote wanaakili ndogo. Wanakubali vipi kuwekwa Masanamu kwenye nyumba Ibada, hali ya kuwa tunajua fika hayadhuru wala hayanufaishi ?

Akili iheshimiwe.
 
YESU AKASEMA, "NDIWE PETRO, MWAMBA! NA JUU YA MWAMBA HUU NITAJENGA KANISA LANGU"
Yesu alijenga Kanisa au sijaelewa andiko ?

Maneno hayo ya Yesu tunayapata kwenye kitabu gani ?
 
Back
Top Bottom