Nyamagondo
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 648
- 765
Kanisa limedumu na kuwa popular kwa sababu halina masharti magumu saana, ni laini tuu kama kuhudhulia dominika..kuhudhulia jumuiya za kitaa Jumamosi, kuacha kula nyama siku ya Ijumaa kuu, kunywa pombe kiasi n.k n.k. Sasa masharti hayo kwa average human being nani atashindwa. Offcourse ni kanisa lenye huduma pia za muhimu saana za kimwili kama mahospitali na mashule, limefanya watu waishi kistaarabu.Catholic
1.Universal owneship of the Church
2.Services to humanbeing(health,education,spiritual,)
3.Transparency
4.Useja
Hivyo vinne ndo vimelifanya kanisa kuwa imara...wengine hivyo vitu wameshindwa kuviishi...
Kiroho sikufichi kanisa limebadilika saana kutoka katika misingi waloiacha akina Petro maana kanisa liliteswa saana na ma kaizari na walilibadilisha mno hapo bado hujaongeza mitanguso.