Waumini wa Kanisa Katoliki ni wavumilivu sana

Catholic
1.Universal owneship of the Church
2.Services to humanbeing(health,education,spiritual,)
3.Transparency
4.Useja
Hivyo vinne ndo vimelifanya kanisa kuwa imara...wengine hivyo vitu wameshindwa kuviishi...
Kanisa limedumu na kuwa popular kwa sababu halina masharti magumu saana, ni laini tuu kama kuhudhulia dominika..kuhudhulia jumuiya za kitaa Jumamosi, kuacha kula nyama siku ya Ijumaa kuu, kunywa pombe kiasi n.k n.k. Sasa masharti hayo kwa average human being nani atashindwa. Offcourse ni kanisa lenye huduma pia za muhimu saana za kimwili kama mahospitali na mashule, limefanya watu waishi kistaarabu.
Kiroho sikufichi kanisa limebadilika saana kutoka katika misingi waloiacha akina Petro maana kanisa liliteswa saana na ma kaizari na walilibadilisha mno hapo bado hujaongeza mitanguso.
 
never, Mungu hayupo kila mahali. Mungu anakaa mahali patakatifu. sasa kwa mfano, Mungu atakuwepoje katoliki wakati mnakataa kumpoke Roho kwa kujazwa na kunena kwa lugha, mnakataa uponyaji, badala ya kuomba kwa Jina la Yesu mnaomba kwa maria na wafu wengine? Mungu hayupo kwenye michanganyo kama hiyo ya dini. kumbuka, walipo wawili watatu wamekusanyika kwa Jina langu, mimi nipo papopapo katikati yao, the phrase "kwa Jina langu"ni muhimu sana. ninyi mnakutanika kwa majina ya wafu waliokufa na hawana lolote, mnakutanika kwa majina ya kina yosefu, kina Maria n.k, sio kwa Jina la Yesu. ndio maana Mung hayupo katikati yenu na hamtakuja kumwona mtakuwa mnamsikia tu.
yaan watu kama huyu.... ukute form 4 failure ... elimu ya dini amefundishwa na wahuni wataka sadaaaka ambao wameunganisha mabati na matulu bai baada ya kugombani sadaka kanisa fulani anakuja kujimwambafai hapa anajua kila kitu..... ukiacha madhaifu ya kibinadamu hv unajua upadre unasomwa miaka mingap?????? na baada ya kupta ufaulu gani form six???? msipende ubishano wa vijiwe vya kahawa kwenye imani za watu?????? imarishe huku mnako kuamini watu waone ubora wenu waungane nanyie sio kuhubili mambo ya kanisa jingine ambayo uyajui zaidi
 
Heee,Yesu alikuwepo kabla ya mama yake?
Nitaendelea kuwa na Kanisa Takatifu la Roma kwa comment za aina hii.
unategemea usome mstari mmoja uelewe dini yenye zaidi ya miaka 2000 ??? nyinyi ndo wale paper kesho leo mnataka msome vtini vya kuanzia siku ya kwanza na kusema mmeelewa
 
yaan watu kama huyu.... ukute form 4 failure ... elimu ya dini amefundishwa na wahuni wataka sadaaaka ambao wameunganisha mabati na matulu bai baada ya kugombani sadaka kanisa fulani anakuja kujimwambafai hapa anajua kila kitu..... ukiacha madhaifu ya kibinadamu hv unajua upadre unasomwa miaka mingap?????? na baada ya kupta ufaulu gani form six???? msipende ubishano wa vijiwe vya kahawa kwenye imani za watu?????? imarishe huku mnako kuamini watu waone ubora wenu waungane nanyie sio kuhubili mambo ya kanisa jingine ambayo uyajui zaidi
Mkuu mwenzio ametoa hoja wewe unatoa lawama
 
Lakini vyote hivyo vyote bado vichwani mwao kumejaa makamasi ya kuamini sanamu la bikira maria linaweza kutatua shida zao,kweli maajabu haya.
sasa mnaumia nini sisi tukiabudu snamu????? sababu nyinyi mnajua kuliko hata akina nyerere wenye elimu kubwaaa na walisali roma mpka wanakufa ukute huna hata cheti cha la saba et umemshinda mtu mwenye masters kungamua jema na baya mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmh
 
Mbona kuna watu wana ma Phd na wanapeleka kuku mweusi kwa sangoma ili wapate udiwani. Hoja yako ni mfu.
 
Sijaona wapi Allah aliwatuma majini watengeneze masanamu.

Hili nilikuomba wewe ushahidi lakini mpaka muda huu hujaweka huo ushahidi.

Hili nishakujibu katika mada nyingine na ni zaidi ya mara moja. Sasa najiuliza kwanini unarudia swali ambalo nimeshakujibu ?

Nionyeshe kwanza wapi Allah aliwatuma majini watengeneze masanamu.

Wapi Allah alitengeneza masanamu na msikiti alio kuwa anatumia nabii Suleyman unajulikana, tuonyeshe masanamu yako wapi katika huo Msikiti.
Kisai uongo sio jambo zuri , Hakuna maali popote humeshajibu sababu ya nyie kubusu jiwe na kuzunguka kulipungia na kusujudi kuelekea jiwe, jibu kwa nini mnafanya hivyo?

Kuhusu majini na msikiti ipo wazi niambie koran ipi unaiamini?
nimesoma Barwani inasema ivi
Koran 34:13. Hao majini wakifanya atakacho Suleiman, kama misikiti kwa ajili ya ibada, na masanamu, na madeste au mabakuli makubwa kama mahodhi ya maji, na vyombo vya kupikia, yaani masufuria, makubwa yaliyo kaa pale pale penye mafya yake hayaondoki kwa kuwa ni makubwa mno. Na tukawaambia watu wa Daudi: Tendeni kazi ya kumshukuru Mwenyezi Mungu vilivyo. Na ni wachache miongoni mwa waja wangu ambao wanakumbuka neema zangu wakawa wananishukuru kwa wingi.
 
Ulichojibu kuhusu jiwe , ni kwamba ulimpinga muhammad ukasema jiwe halina maana , je ndio tuchukue kwa ni jibu lako
 
Ndiyo maana nilikuuliza hapo mwanzo hayo masanamu yalikuwa yanaabudiwa ? Je yalikuwa msikitini kama unavyo dai ? Sababu masanamu yapo ya sampuli kadha wa kadha, na huwekwa popote. Sasa sijajua kwanini unalazimisha yawepi msikitini na wakati huna ushahidi wa kuonyesha kwamba yapo msikitini ?

Kuna muda nakuona una matatizo ya akili. Kosa unalo fanya wewe ni kulazimisha ushirikina mnao ufanya nyinyi kwamba na sisi tunaufanya.
Swali ni kwamba kwa nini msikiti wa suleiman allah aliweka masanamu

Koran 34:13. Hao majini wakifanya atakacho Suleiman, kama misikiti kwa ajili ya ibada, na masanamu, na madeste au mabakuli makubwa kama mahodhi ya maji, na vyombo vya kupikia, yaani masufuria, makubwa yaliyo kaa pale pale penye mafya yake hayaondoki kwa kuwa ni makubwa mno. Na tukawaambia watu wa Daudi: Tendeni kazi ya kumshukuru Mwenyezi Mungu vilivyo. Na ni wachache miongoni mwa waja wangu ambao wanakumbuka neema zangu wakawa wananishukuru kwa wingi.
 
Nitakuwa nakuwekea picha na video. Maana bichwa lako halijui kuchambua maandiko. Papa akiliomba sanamu la Brian Deacon
View attachment 2150515
Koran 34:13. Hao majini wakifanya atakacho Suleiman, kama misikiti kwa ajili ya ibada, na masanamu, na madeste au mabakuli makubwa kama mahodhi ya maji, na vyombo vya kupikia, yaani masufuria, makubwa yaliyo kaa pale pale penye mafya yake hayaondoki kwa kuwa ni makubwa mno. Na tukawaambia watu wa Daudi: Tendeni kazi ya kumshukuru Mwenyezi Mungu vilivyo. Na ni wachache miongoni mwa waja wangu ambao wanakumbuka neema zangu wakawa wananishukuru kwa wingi.
 
Koran 34:13. Hao majini wakifanya atakacho Suleiman, kama misikiti kwa ajili ya ibada, na masanamu, na madeste au mabakuli makubwa kama mahodhi ya maji, na vyombo vya kupikia, yaani masufuria, makubwa yaliyo kaa pale pale penye mafya yake hayaondoki kwa kuwa ni makubwa mno. Na tukawaambia watu wa Daudi: Tendeni kazi ya kumshukuru Mwenyezi Mungu vilivyo. Na ni wachache miongoni mwa waja wangu ambao wanakumbuka neema zangu wakawa wananishukuru kwa wingi.
Mtoto mdogo anakushinda kuchambua maandiko. Kajifunze kwanza biblia uwe unaweza kujibu maswali. Kwenye biblia ni zero. Huku hautoweza
 
Attachments

  • split_video.mp4
    4 MB
Mtoto mdogo anakushinda kuchambua maandiko. Kajifunze kwanza biblia uwe unaweza kujibu maswali. Kwenye biblia ni zero. Huku hautoweza
Jibu kwanini suleiman aliwekewa na Allah masanamu kwa ajili ya ibada
Koran 34:13. Hao majini wakifanya atakacho Suleiman, kama misikiti kwa ajili ya ibada, na masanamu,
 
Kajifunze kwanza biblia. Wewe ni zero. Uwe unajibu maswali ukiwa unaulizwa. Huku hauelewi kabisa.
images (1).jpeg
 
Kajifunze hata kwa Masanja kidogo anaelewa.
 
Mbinu ya Catoliki ipo kwa watoto. Wakikua ndipo madhehebu mengine yanawapora kuendeleza kanisa lao na kumantain vizazi vilivyotokana nao. Hivi karibuni wakagundua siri ya ndoa mseto kwa sharti la watoto kupata mafundisho ya katoliki.
 
Kajifunze kwanza biblia. Wewe ni zero. Uwe unajibu maswali ukiwa unaulizwa. Huku hauelewi kabisa.
View attachment 2151237
Mpaka leo hujui kwa nini unabusu jiwe ? jiwe linamaana gani kwako hujui

hili la masanamu ndio mmeshindwa kabisa kujua sababu ya majini kutengeneza masanamu kwa ajili ya ibada
Jibu kwanini suleiman aliwekewa na Allah masanamu kwa ajili ya ibada
Koran 34:13. Hao majini wakifanya atakacho Suleiman, kama misikiti kwa ajili ya ibada, na masanamu,
 
Kisai uongo sio jambo zuri , Hakuna maali popote humeshajibu sababu ya nyie kubusu jiwe na kuzunguka kulipungia na kusujudi kuelekea jiwe, jibu kwa nini mnafanya hivyo?

Kuhusu majini na msikiti ipo wazi niambie koran ipi unaiamini?
nimesoma Barwani inasema ivi
Koran 34:13. Hao majini wakifanya atakacho Suleiman, kama misikiti kwa ajili ya ibada, na masanamu, na madeste au mabakuli makubwa kama mahodhi ya maji, na vyombo vya kupikia, yaani masufuria, makubwa yaliyo kaa pale pale penye mafya yake hayaondoki kwa kuwa ni makubwa mno. Na tukawaambia watu wa Daudi: Tendeni kazi ya kumshukuru Mwenyezi Mungu vilivyo. Na ni wachache miongoni mwa waja wangu ambao wanakumbuka neema zangu wakawa wananishukuru kwa wingi.

Muongo ni wewe kama ulishakiri kuhusu hasithi aliyo isimulia swahaba Umar ambayo niliiweka kujibu swali hilo, bila shaka muongo ni wewe. Rejea katika mijadala ya nyuma.

Tarjama ya Ali Muhsin Barwan inasomeka hivi :

13. Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu, na madeste makubwa kama mahodhi, na masufuria makubwa yasiyo ondolewa mahala pake. Enyi watu wa Daudi! Fanyeni kazi kwa kushukuru. Ni wachache katika waja wangu wanao shukuru. (Sabai : 13)

Na ukisoma matni ya kiarabu kuna tamko "Mihraab".

Kingine hapo hsionyesi kwamba Masanamu yaliwekwa misikitini. Mimi nataka unipe ushahidi unao onyesha masanamu yaliwekwa midikitini.

Kingine nabii Suleyman alipewa uwezo wa kuwatawala mpaka majini na kuwatumia katika kazi zake, hili siyo tatizo, sababu majini ni viumbe wa Allah kama tulivuo sisi wanadamu, wapo wema na wapo waovu.
 
Back
Top Bottom