Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
SinaHuna kiwanja bado?
Na makato juuHizi ndizo zingewekewa tozo kubwa
Bora hata wangekuwa wanatumia Speaker za JBL zenye noise cancellation.Sidhani kama ni mimi tu ambaye nakerwa na haya makelele yaliyopo kila kona ya mji, sawa ni kutangaza biashara lakini ni vyema kubuni njia sahihi ya kufikisha ujumbe.
Imefika pahala kila kona ukipita unasikia matangazo ya viwanja tena kwa sauti kubwa mpaka ukiondoka maeneo hayo bado unasikia sauti zinajirudia kichwani " VIWANJA VIWANJA VIWANJA"
View attachment 2982574
Ukishanunua kimoja kila tangazo litakuvutia ili uongeze kingineSina
Alafu unaambiwa ukija na mteja unapewa hela ya maji 😂Karibu Tz 😂
Hivi suala la kiwanja linahitaji uwapigie watu kelele siku nzima? As if kiwanja ni kitu cha kununua kwa bahati mbaya!!!
SawaUkishanunua kimoja kila tangazo litakuvutia ili uongeze kingine
Kuna pale mbezi mwisho arooooo ni balaaKaribu Tz 😂
Hivi suala la kiwanja linahitaji uwapigie watu kelele siku nzima? As if kiwanja ni kitu cha kununua kwa bahati mbaya!!!
Aiseee, sasa ilikuwaje alipie na kiwanja hajakionaHao wa viwanja Huwa ni mataperi balaa jamaa yangu ametapeliwa milion 29 Kigamboni na makampuni ya viwanja kama haya, kiwanja hawakumpa Hadi leo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbezi mwisho kule kila kitu ni balaaaKuna pale mbezi mwisho arooooo ni balaa
Hakuna kiwanja cha bei wanayosema! Hao ni matapeli!Sidhani kama ni mimi tu ambaye nakerwa na haya makelele yaliyopo kila kona ya mji, sawa ni kutangaza biashara lakini ni vyema kubuni njia sahihi ya kufikisha ujumbe.
Imefika pahala kila kona ukipita unasikia matangazo ya viwanja tena kwa sauti kubwa mpaka ukiondoka maeneo hayo bado unasikia sauti zinajirudia kichwani " VIWANJA VIWANJA VIWANJA"
View attachment 2982574
Alionyeshwa kabisa na ramani walikuwa nazo wakaenda hadi site akakiona akachagua kabisa na kukilipia, kumbe huku nyuma wakakiuza tena, alivyofuatilia wanampa majibu ya hovyo tuAiseee, sasa ilikuwaje alipie na kiwanja hajakiona
😀😀kwenye vispika wamezidi wamevuka lengo la kutangaza ni kelele[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbezi mwisho kule kila kitu ni balaaa
Hapo umenisanua, kuna ndugu yangu yupo mbioni kununua hivyo viwanja vya matangazo, itabidi nimuelekeze awe makini asije akapigwa.Alionyeshwa kabisa na ramani walikuwa nazo wakaenda hadi site akakiona akachagua kabisa na kukilipia, kumbe huku nyuma wakakiuza tena, alivyofuatilia wanampa majibu ya hovyo tu
Huu mji matapeli wame chachamaa, ukikaa vbya unapigwa tu skuiziHakuna kiwanja cha bei wanayosema! Hao ni matapeli!