Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
- Thread starter
- #101
Wao wakipita wapo ndani ya ma V8 wataonaje Hizo kero, mitaa wanayo ishi ni kimya mwanzo mwisho. Hawawezi elewaNoise Pollution is everywhere in TZ hasa mijini, hujakutana na hawa wauza Tangawizi, Iliki na Mdalasini mitaa ya NMB Sokokuu Arusha
Hujakutana na wapiga Passport pale Moshi mjini na Arusha mitaa ya Stadium
Kuna wauza urembo mitaa ya Magombeni, soko la Mbagala na Kimara mpaka stand kuu ya Magufuli
Kuna hawa wauza madawa kwenye mabasi, dawa ambazo hata TFDA haizitambui na wauzaji sio Madaktari
Yaani ni kero tupu na serikali haikemei wala kutoa suluhisho la Hii Pollution labda hawajui ni tatizo