KERO Wauza viwanja na speaker mnazoweka barabarani mnasababisha kero au Noise pollution

KERO Wauza viwanja na speaker mnazoweka barabarani mnasababisha kero au Noise pollution

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Kwenye swala la utapeli nadhani serikali ilisha shindwa kudhibiti kabisa, sio viwanja tu ila mambo mengi sana watu wanafanyiwa utapeli kila siku.
Inatakiwa serikali iwekeze kwenye matangazo ya radio na hata magazeti na TV kuwaelimisha watu kwenye utapeli huu
Duniani mbona kuna matangazo ya kujiangalia na kuwa makini?
Hawako serious tu na hawajali Mkuu
Wewe acha utapeli angalia barabara zetu kila leo ajali
Signs za barabara ni chache sana na ndio sababu za ajali lakini hawajali
Yaani kila sehemu ni vurugu tu na sio kwamba wameshindwa bali hakuna right people
 
Kaka umeongea kwa msisitizo sana, sema nadhani utapeli umeanza tangu enzi za zamani maana hakuna jipya chini ya jua. Chamsingi ni mtu kuwa makini na kujifunza kutokana na makosa ya wengine.
 
Nchi hii sahivi kila mahali kelele
Kwenye mabar kelele,mitaani kelele,kwenye magari kelele,redioni kelele kote huko ni singeli na amapiano tu

Ova
 
Pia kuna mtu kwenye uzi huu ametoa ushahidi kwamba kuna ndugu yake amewahi tapeliwa 29 m na hao watu.
Hao jamaa usiwaamini, tena hao waliomtapeli jamaa yangu walikuwa na mahema kabisa wakafungua ofisi za muda kwenye taasisi nyingi tu za serikali hapa Dar, yaani walikuwa smart sana na zile ramani za viwanja ila mwisho wa siku walimpiga jamaa yangu
 
Nchi hii sahivi kila mahali kelele
Kwenye mabar kelele,mitaani kelele,kwenye magari kelele,redioni kelele kote huko ni singeli na amapiano tu

Ova
Makanisani napo keleleee
 
Hao jamaa usiwaamini, tena hao waliomtapeli jamaa yangu walikuwa na mahema kabisa wajafungua ofisi za muda kwenye taasisi nyingi tu za serikali hapa Dar, yaani walikuwa smart sana na zile ramani za viwanja ila mwisho wa siku walimpiga jamaa yangu
Nahisi pia kuna watumishi wa serikali wanahusika katika njama hizi
 
Back
Top Bottom