Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kina nani tena haoNa wale wanaotuamsha saa 10 usiku tuwaweke kundi lipi?
Hapo ndio shida inapoanziaSasa Baba akiwa tapeli .......
..
Au basi.
Alafu kuna wale wanao sajili lain za simu, wanatembea na speaker kichwani jiji zimaKuna hao na wale wa mikopo ya simu, masaa 24 kispeaker cha solar kinatesw mtaa mzima
Nachukia sana utapeli na niko makini sana Kuna wakati mwingine mtu simjui akinisimamisha barabarani nampuuza kama sijamuona ili kutokumpa nafasi ya kujieleza na utapeli wakeKaka umeongea kwa msisitizo sana, sema nadhani utapeli umeanza tangu enzi za zamani maana hakuna jipya chini ya jua. Chamsingi ni mtu kuwa makini na kujifunza kutokana na makosa ya wengine.
Vyema sanaNachukia sana utapeli na niko makini sana Kuna wakati mwingine mtu simjui akinisimamisha barabarani nampuuza kama sijamuona ili kutokumpa nafasi ya kujieleza na utapeli wake
Kweli wizi haujaanza leo na utakuwepo sana tu, muhimu ni kuwa makini
Mara chache naona watu baada ya kutapeliwa wakimtafuta tapeli kumalizana naye. Sijui matapeli wanapotelea wapiUkitapeliwa kiwanja, we mtafute tapeli umalizane naye ili asirudie tena. Tapeli hatapeli mtu mmoja
Nadhani hao wajinga ni wazee wa kuchangamkia fursa ya ni matapeli wazoefu wameona fursa wamepita nayo. Ila wana waharibia wale wenye uadilifu.Hata sio wengi ndugu yangu. Kuna wajinga wachache tu wanaharibu hali ya hewa. Ki ukweli mimi nakereka sana
Fanya upite ndo utajua kiasi gani ni mateso? Foleni joto msongamano kelele ndo inaongeza hasiraSijapita mitaa hiyo nina kama mwaka na zaidi, ila hii nchi tunateseka sana! 🤣
Kwa Boss KweziAlafu unaambiwa ukija na mteja unapewa hela ya maji 😂
Kapeace kumbe tunakaa mtaa mmoja, pale anakwambia Kwa Boss Kwezi leta mteja upate hela ya majiKuna pale mbezi mwisho arooooo ni balaa
Hahahaa Mkuu umetisha sana.VIWANJA VIWANJA VIWANJA
KAMPUNI YA KILUVYA KIBAHA VIWANJA COMPANY LTD, INAKUTANGAZIA OFA YA VIWANJA VINAVYOPATIKANA KIBAHA NA KILUVYA
VIWANJA VYETU NI KUANZIA SH MILIONI MBILI NA KUENDELEA.....
PATA KIWANJA CHA UKUBWA WA 20/20 KWA MILIONI MBILI...
OFISI ZETU ZIPO MBEZI MWISHO MKABALA NA ..........
hawa jamaa mpaka nimewakalili sasa 😂😂😂😂
Wale ni waongo hata ukisikiliza matangazo yao tuKapeace kumbe tunakaa mtaa mmoja, pale anakwambia Kwa Boss Kwezi leta mteja upate hela ya maji
😆😆😆
Noise Pollution is everywhere in TZ hasa mijini, hujakutana na hawa wauza Tangawizi, Iliki na Mdalasini mitaa ya NMB Sokokuu ArushaSidhani kama ni mimi tu ambaye nakerwa na haya makelele yaliyopo kila kona ya mji, sawa ni kutangaza biashara lakini ni vyema kubuni njia sahihi ya kufikisha ujumbe.
Imefika pahala kila kona ukipita unasikia matangazo ya viwanja tena kwa sauti kubwa mpaka ukiondoka maeneo hayo bado unasikia sauti zinajirudia kichwani " VIWANJA VIWANJA VIWANJA"
Pia wauzaji wengine ni matapeli, ni vyema kuwa makini sana na hawa jamaa.
View attachment 2982574
Lazma ukariri maana kila kona wapoVIWANJA VIWANJA VIWANJA
KAMPUNI YA KILUVYA KIBAHA VIWANJA COMPANY LTD, INAKUTANGAZIA OFA YA VIWANJA VINAVYOPATIKANA KIBAHA NA KILUVYA
VIWANJA VYETU NI KUANZIA SH MILIONI MBILI NA KUENDELEA.....
PATA KIWANJA CHA UKUBWA WA 20/20 KWA MILIONI MBILI...
OFISI ZETU ZIPO MBEZI MWISHO MKABALA NA ..........
hawa jamaa mpaka nimewakalili sasa 😂😂😂😂