KERO Wauza viwanja na speaker mnazoweka barabarani mnasababisha kero au Noise pollution

KERO Wauza viwanja na speaker mnazoweka barabarani mnasababisha kero au Noise pollution

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Ukinunua viwanja viwili unapewa na ofa kimoja πŸ˜‚
Utakuwa umewasikia wale wapuuzi mtangazaji ana kitambi anavaa shati jeupe. Wana kirikuu alafu ajabu watu kibao wanaenda kujiandikisha kutaka kulipia
 
Utakuwa umewasikia wale wapuuzi mtangazaji ana kitambi anavaa shati jeupe. Wana kirikuu alafu ajabu watu kibao wanaenda kujiandikisha kutaka kulipia
Alafu kuna wale jamaa wanauza vitu kama tv, redio, simu, na electronics device nyinginezo. Wanakusanya watu wanauza kwa mnada ila pia nao ni matapeli tu
 
Hakuna kiwanja cha bei wanayosema! Hao ni matapeli!
IMG_20240506_093246.jpg
Na hili je?
 
"Pia wauzaji wengine ni matapeli, ni vyema kuwa makini sana na hawa jamaa."

πŸ‘†πŸ‘†

Katika taaluma za maendeleo, kuna falsafa inasema kutokuwa na taarifa sahihi, ni moja ya kiashiria cha umasikini.

Una taarifa potofu kwamba wauza viwanja ni matapeli na bei wanayouza si kweli.
 
Hivi huwa yanawekwa na nani na saa ngapi maana wenyewe sijawahi kuona
Sasa utawaonaje? Wanakuwekea namba upige ili uende ukapigwe! Utakuta wamejipanga na serikali ya mtaa full documents na mihuri na gari la kukupeleka na ramani! Sasa jichanganye uwape hela ndo utalijua jiji!
 
Umepita lini Mbezi Mwisho bageshi? πŸ˜πŸ˜πŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈ

Yeah! Viwanja Kibaha na Kiluvya. Bei kuanzia laki tano mpaka 1.5 million. Unalipa pole pole. Huhitaji wadhamini wala nini. Bei sawa na bure! Yanakera hatari!
Kiluvya ninayoijua mimi huwezipata kiwanja 20x20 kwa bei ya 1.5m. Ni utapeli wa SGR
 
Tukisema mabasi yanakero na kelele kwa sababu hatuko bar wala nightclubs bali usafiri wa umma, inakera lakini watu walisanuka na kusema ooh waache watu waburudike
Sasa acha na hapo mteseke tu maana hamjui kizuri na kibaya
Kweli tembea uone kwingine hata simu tu kwenye dirisha limewekwa tangazo heshimu wenzio kwa kuongea polepole
Poleni sana ila ndio maisha serikali imewachagulia
 
"Pia wauzaji wengine ni matapeli, ni vyema kuwa makini sana na hawa jamaa."

πŸ‘†πŸ‘†

Katika taaluma za maendeleo, kuna falsafa inasema kutokuwa na taarifa sahihi, ni moja ya kiashiria cha umasikini.

Una taarifa potofu kwamba wauza viwanja ni matapeli na bei wanayouza si kweli.
"Wauzaji wengine" sijamaanisha wote.
 
Tukisema mabasi yanakero na kelele kwa sababu hatuko bar wala nightclubs bali usafiri wa umma, inakera lakini watu walisanuka na kusema ooh waache watu waburudike
Sasa acha na hapo mteseke tu maana hamjui kizuri na kibaya
Kweli tembea uone kwingine hata simu tu kwenye dirisha limewekwa tangazo heshimu wenzio kwa kuongea polepole
Poleni sana ila ndio maisha serikali imewachagulia
Pia kuna mtu kwenye uzi huu ametoa ushahidi kwamba kuna ndugu yake amewahi tapeliwa 29 m na hao watu.
 
Back
Top Bottom