Wewe mwenyewe umeyajuaje kama hayakutangazwa mkuuHukubali wewe na wajinga wwewe enzio. Mama samia anafanya miradi mingi tu sema haitangazwi! Yale madarasa ya UVICO ulishawahi kusikia yakitangazwa na TBC???
ACHENI CHUKI ZA KISHETANI
Kwani walifanya nini?Na siku zote za utawala wake alikuwa anawananga sana watangulizi wake kuwa hawakufanya lolote
Wewe utakuwa ulishiriki kwenye kumuua Ben Saanane weweWewe mwenyewe umeyajuaje kama hayakutangazwa mkuu
Swali kama hili yafaa umuulize baba yako au mama yako. Wewe inaelekea ulikuwa mtoto viongozi waliopita walipokuwa wanasimika misingi ya nchi hiiKwani walifanya nini?
Kuna tarifa zaidi ya ile ya gazeti la mwanachama wenu aliyesema Ben saa8 aulizwe M/kiti wako?Wewe utakuwa ulishiriki kwenye kumuua Ben Saanane wewe
Maana una roho ya kikatili kama mwendazake
Kabla ya TV mapenzi ya jinsia moja yalikuwepo acha ushamba wako wewe. Huko ulaya watu wanafanya mbona wameendelea? Nyie mnatembea na mahirizi na bibilia kinafiki tu.Tv zinazohamisha mapenzi ya jinsia moja,hata ningukuwa mimi nazilima tu
Anzori gwanda je?Kuna tarifa zaidi ya ile ya gazeti la mwanachama wenu aliyesema Ben saa8 aulizwe M/kiti wako?
Achana na ibada za wafu chief.Huyo maza ana nongwa sana na huyo godfather wake.
Hahaha! Huyu anayeandika ujinga huu siye mwenye jina lakeSwali kama hili yafaa umuulize baba yako au mama yako. Wewe inaelekea ulikuwa mtoto viongozi waliopita walipokuwa wanasimika misingi ya nchi hii
Utaishia kuulizia hata lini? Si hayupo lakini! Shida ni nini mkuuAnzori gwanda je?
Tundu lisu je?
Akwilin je
Mawazo je
Wote aulizwe mwenyekiti? Shetani hajawahi kutawala tanzania
Hakuna anayapinga hilo.Achana na ibada za wafu chief.
Samia ndo rais kwa sasa, Magufuli harudi tena na nchi itasonga mbele tu
Wazanzibsr na wapwani ni wavivu balaa hilo haliepukikiViongozi wa hovyo sana, mtu amepanda magugu eti anataka kuvuna mpunga!
But only in Tanzania [emoji848]
Ndo demokrasia hiyo, hata sisi tulimuona Magufuli kapwaya sana. Mtekaji , Muuaji, Mkabila, asiyeheshimu katiba n.kHakuna anayapinga hilo.
Wala hilo halibadili ukweli kuwa kapwaya mno na kinachoendelea ni madudu tu ambayo lazima tuyaseme.
Kumbe huna akili aisee.Ndo demokrasia hiyo, hata sisi tulimuona Magufuli kapwaya sana. Mtekaji , Muuaji, Mkabila, asiyeheshimu katiba n.k
Ila nikuhabarishe tu, Miradi yote unayompendea magufuli kuianzisha hakuna hata mmoja aliokumalisha, ni Samia kwa sasa ndo anaikamilisha tena anaikamilisha vizuri kweli!
Waundaji wa ndege maarufu Dunia wapo wawili tu boing na aibus mlitaka mtu wa kati ili iweje .mnataka kuongeza invoice kama ya juzi au mnataka kufanya kama mnavyofanya kwa Toyota kwenye mav 8 yenuNimuonee wivu mtu aliyevunja haki za watu??
Aliwaita watengeneza ndege ikulu bila hata kufuata sheria za manunuzi na akaagiza ndege zimfaazo yeye huku mazuzu yakishangilia kama haya want?
Umuonee mtu mtu aliyevunja katiba aliyoapa kuilinda mwenyewe?
Na bado aliacha upembuzi na maandiko ya ujenzi wa hizo reli,madara, Barabara n.k zikiwa zinasubiri utekelezaji akaja Jiwe akafanya utekelezaji.Rudi kwenye historia ya nchi. Kila kiongozi alipambana kujenge nchi kwa wakati na mazingira yaliyokuwepo. Ujenzi wa nchi ni mwendelezo. Kwa mfano, Kikwete asinge Jenga reli wakati hakuna shule, akajenga shule za sekondari kila kata.
Walitaka mtu wa kati kama wanavyofanya kwenye mav 8 .hata na hivyo huyo kilaza aliposwa kutembelea kwenye Web za za aibus na boing aone hiyo bei .Ndege kaondoka nazo kwani chief, amekuachieni fanyeni mtakalo
Ndo hajabahatika kuwa hai sasa. Wacha waliohai wafanye kazi, wafu hawawezi hata kujigeuza makaburiniKumbe huna akili aisee.
Magufuli angelikua hai angelikwisha ikamilisha na kuanzisha mingine.
Sio huyu anayefanya kwa kinyongo na hataji majina ya waanzilishi.
Mtu ni Rais ila hajiamini na ana chuki na wivu kwa marehemu inashangaza mno.
Ukiachana na chuki na wivu kwa marehemu bado ni mdini sana ambaye kila teuzi lazima ajaza waislamu wenzake.
Tunapitia nyakati mbaya sana kama Taifa kwa kushuhudia Rais mdini toka tunapata uhuru.
Ahsante sana kwa kumjuza vyema, kupenda sifa siyo hulka ya mtu wa pwaniUlishawahi ona raisi akibeba tofali kujenga miradi? Ni kutokana na kutopenda sifa kwa watu wa pwani ndo mana wakifanya hawatangazi