- Thread starter
- #41
Wewe mwenyewe umeyajuaje kama hayakutangazwa mkuuHukubali wewe na wajinga wwewe enzio. Mama samia anafanya miradi mingi tu sema haitangazwi! Yale madarasa ya UVICO ulishawahi kusikia yakitangazwa na TBC???
ACHENI CHUKI ZA KISHETANI