Wavivu wawili wanatiana moyo kuoneshea watu mashamba ya mkulima hodari na mafanikio yake kuwa ni yao??

Wavivu wawili wanatiana moyo kuoneshea watu mashamba ya mkulima hodari na mafanikio yake kuwa ni yao??

Hukubali wewe na wajinga wwewe enzio. Mama samia anafanya miradi mingi tu sema haitangazwi! Yale madarasa ya UVICO ulishawahi kusikia yakitangazwa na TBC???
ACHENI CHUKI ZA KISHETANI
Wewe mwenyewe umeyajuaje kama hayakutangazwa mkuu
 
Tv zinazohamisha mapenzi ya jinsia moja,hata ningukuwa mimi nazilima tu
Kabla ya TV mapenzi ya jinsia moja yalikuwepo acha ushamba wako wewe. Huko ulaya watu wanafanya mbona wameendelea? Nyie mnatembea na mahirizi na bibilia kinafiki tu.

Kama kitu kilichotoka ulaya ni kibaya mbona bibilia yao mnatumia?
 
Huyo maza ana nongwa sana na huyo godfather wake.
 
Kuna tarifa zaidi ya ile ya gazeti la mwanachama wenu aliyesema Ben saa8 aulizwe M/kiti wako?
Anzori gwanda je?
Tundu lisu je?
Akwilin je
Mawazo je
Wote aulizwe mwenyekiti? Shetani hajawahi kutawala tanzania
 
Anzori gwanda je?
Tundu lisu je?
Akwilin je
Mawazo je
Wote aulizwe mwenyekiti? Shetani hajawahi kutawala tanzania
Utaishia kuulizia hata lini? Si hayupo lakini! Shida ni nini mkuu
 
Achana na ibada za wafu chief.
Samia ndo rais kwa sasa, Magufuli harudi tena na nchi itasonga mbele tu
Hakuna anayapinga hilo.

Wala hilo halibadili ukweli kuwa kapwaya mno na kinachoendelea ni madudu tu ambayo lazima tuyaseme.
 
Hakuna anayapinga hilo.

Wala hilo halibadili ukweli kuwa kapwaya mno na kinachoendelea ni madudu tu ambayo lazima tuyaseme.
Ndo demokrasia hiyo, hata sisi tulimuona Magufuli kapwaya sana. Mtekaji , Muuaji, Mkabila, asiyeheshimu katiba n.k

Ila nikuhabarishe tu, Miradi yote unayompendea magufuli kuianzisha hakuna hata mmoja aliokumalisha, ni Samia kwa sasa ndo anaikamilisha tena anaikamilisha vizuri kweli!
 
Kumbe huna akili aisee.

Magufuli angelikua hai angelikwisha ikamilisha na kuanzisha mingine.

Sio huyu anayefanya kwa kinyongo na hataji majina ya waanzilishi.

Mtu ni Rais ila hajiamini na ana chuki na wivu kwa marehemu inashangaza mno.

Ukiachana na chuki na wivu kwa marehemu bado ni mdini sana ambaye kila teuzi lazima ajaza waislamu wenzake.

Tunapitia nyakati mbaya sana kama Taifa kwa kushuhudia Rais mdini toka tunapata uhuru.
 
Nimuonee wivu mtu aliyevunja haki za watu??
Aliwaita watengeneza ndege ikulu bila hata kufuata sheria za manunuzi na akaagiza ndege zimfaazo yeye huku mazuzu yakishangilia kama haya want?
Umuonee mtu mtu aliyevunja katiba aliyoapa kuilinda mwenyewe?
Waundaji wa ndege maarufu Dunia wapo wawili tu boing na aibus mlitaka mtu wa kati ili iweje .mnataka kuongeza invoice kama ya juzi au mnataka kufanya kama mnavyofanya kwa Toyota kwenye mav 8 yenu
 
Rudi kwenye historia ya nchi. Kila kiongozi alipambana kujenge nchi kwa wakati na mazingira yaliyokuwepo. Ujenzi wa nchi ni mwendelezo. Kwa mfano, Kikwete asinge Jenga reli wakati hakuna shule, akajenga shule za sekondari kila kata.
Na bado aliacha upembuzi na maandiko ya ujenzi wa hizo reli,madara, Barabara n.k zikiwa zinasubiri utekelezaji akaja Jiwe akafanya utekelezaji.
Shida kubwa ni ujinga wa Watanzania wetu kutokujua utendaji kazi wa Serikali
 
Ndege kaondoka nazo kwani chief, amekuachieni fanyeni mtakalo
Walitaka mtu wa kati kama wanavyofanya kwenye mav 8 .hata na hivyo huyo kilaza aliposwa kutembelea kwenye Web za za aibus na boing aone hiyo bei .
 
Kumbe huna akili aisee.

Magufuli angelikua hai angelikwisha ikamilisha na kuanzisha mingine.

Sio huyu anayefanya kwa kinyongo na hataji majina ya waanzilishi.

Mtu ni Rais ila hajiamini na ana chuki na wivu kwa marehemu inashangaza mno.

Ukiachana na chuki na wivu kwa marehemu bado ni mdini sana ambaye kila teuzi lazima ajaza waislamu wenzake.

Tunapitia nyakati mbaya sana kama Taifa kwa kushuhudia Rais mdini toka tunapata uhuru.
Ndo hajabahatika kuwa hai sasa. Wacha waliohai wafanye kazi, wafu hawawezi hata kujigeuza makaburini
 
Back
Top Bottom