Wavulana siku hizi hawajui Kutongoza. Wanachefua sana

Wavulana siku hizi hawajui Kutongoza. Wanachefua sana

Ma Mshuza

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2019
Posts
207
Reaction score
1,122
Yaani badala ya kuelezea sera anajielezea yeye.... Oooohh.... Na hilo umbo lako nikikukamata masaa mawili.... Oooh mimi nina mashine kubwa uta enjoy....

Chefuuuu.... Ni ujinga tu unakaangalia kamtu kenyewe unakaona kanalamba lamba lips na kamepaka lip stick n.k kamerendemka kama kanashindia mlenda.

Kuna wanawake wanaotaka hayo mambo ambao wameshakubuhu siyo wote. Dk 30 za nini kwenye kufanya mapenzi? 4 mpaka 10 zanitosha. Nakuwa nime enjoy na mwenzangu ame enjoy. Ninyi vijana mnadanganyana sana na pornographic.

Mi nawadharau sana hawa watoto ambao wakishaona una mwili wanadhani wanaweza kuja kukushawishi kipuuzi namna hiyo. Watafuteni akina Mwajuma Kidude au Mwantumu Chausiku ndo muwaambie maneno hayo. Siyo sisi wengine hizo si sera zetu.

Halafu kuja unamtongoza mwanamke unachezea chezea funguo za gari ni ushamba. Si wengine tumekua na magari wala huhitaji gari kutupata.

Nimeshasema sasa. Utanifanya nini? Nyooooooo.....
 
Ukiona unatongozwa na vijana wa ovyo basi unapaswa ukae chini ujitafakari.

Kuna uwezekano ukawa wa ovyo pia. Daima kijana wa ovyo hawezi kuthubutu kumsogelea mtu na staha zake.

Pengine unachojinasibu nacho ni hilo umbo tu (pengine pia huna umbo lenyewe) kupelekea kuwa maudhui pekee katika kutongozwa kwako.

Waswahili husema 'waarabu wa pemba hujuana kwa vilemba'.
 
Ukiona unatongozwa na vijana wa ovyo basi unapaswa ukae chini ujitafakari. Kuna uwezekano ukawa wa ovyo pia. Daima mtu wa ovyo hawezi kuthubutu kumsogelea mtu wa maana.
Pengine unachojinasibu nacho ni hilo umbo tu kupelekea kuwa maudhui pekee katika kutongozwa kwako.
Waswahili husema 'waarabu wa pemba hujuana kwa vilemba'.
Ohoo mbona kama nkwei ????
 
Nna maswali ya msingi mawili

1. Kama kivulana uliona kilikutongoza kishamba kwann ulikikubalia na nguo kukivulia?
Wewe na yeye Nani mshamba Apo?
Tukikuita limbukeni tutakua tunakosea?

2. Kama kivulana Ni kishamba kwann ulikubali kukivulia nguo na ukatanua mapaja kikakupelekea Moto kwa 30mins?
Au ulkua unajiuza?
Ulikua unamalengo gan na kivulana cha watu?
 
Nimekaa hapa na li-parachichi langu ukijisikia kuwashwawashwa hicho kiarage chako acha kuusemea moyo Ma Mshuza PM yangu ipo wazi njoo tuyajenge tuingie site nikupelekee moto ili hicho kiarage chako kiache kukuwasha, ila baada ya mzagamuo usirudi hapa kusimulia kilichokukuta
 
Yaani badala ya kuelezea sera anajielezea yeye.... Oooohh.... Na hilo umbo lako nikikukamata masaa mawili.... Oooh mimi nina mashine kubwa uta enjoy....

Chefuuuu.... Ni ujinga tu unakaangalia kamtu kenyewe unakaona kanalamba lamba lips na kamepaka lip stick n.k

Kuna wanawake wanaotaka hayo mambo ambao wameshakubuhu siyo wote. Dk 30 za nini kwenye kufanya mapenzi? 4 mpaka 10 zanitosha. Nakuwa nime enjoy na mwenzangu ame enjoy. Ninyi vijana mnadanganyana sana na pornographic.

Mi nawadharau sana hawa watoto ambao wakishaona una mwili wanadhani wanaweza kuja kukushawishi kipuuzi namna hiyo. Watafuteni akina Mwajuma Kidude au Mwantumu Chausiku ndo muwaambie maneno hayo. Siyo sisi wengine hizo si sera zetu .

Halafu kuja unamtongoza mwanamke unachezea chezea funguo za gari ni ushamba. Si wengine tumekua na magari wala huhitaji gari kutupata.

Nimeshasema sasa. Utanifanya nini? Nyooooooo.....
Ndio umeona uje utunange na hapa, kama hututaki huna haja ya kuja na hapa kutuchana dah 😔😔😔😔..
 
Back
Top Bottom