Wavulana siku hizi hawajui Kutongoza. Wanachefua sana

Wavulana siku hizi hawajui Kutongoza. Wanachefua sana

Yaani badala ya kuelezea sera anajielezea yeye.... Oooohh.... Na hilo umbo lako nikikukamata masaa mawili.... Oooh mimi nina mashine kubwa uta enjoy....

Chefuuuu.... Ni ujinga tu unakaangalia kamtu kenyewe unakaona kanalamba lamba lips na kamepaka lip stick n.k

Kuna wanawake wanaotaka hayo mambo ambao wameshakubuhu siyo wote. Dk 30 za nini kwenye kufanya mapenzi? 4 mpaka 10 zanitosha. Nakuwa nime enjoy na mwenzangu ame enjoy. Ninyi vijana mnadanganyana sana na pornographic.

Mi nawadharau sana hawa watoto ambao wakishaona una mwili wanadhani wanaweza kuja kukushawishi kipuuzi namna hiyo. Watafuteni akina Mwajuma Kidude au Mwantumu Chausiku ndo muwaambie maneno hayo. Siyo sisi wengine hizo si sera zetu .

Halafu kuja unamtongoza mwanamke unachezea chezea funguo za gari ni ushamba. Si wengine tumekua na magari wala huhitaji gari kutupata.

Nimeshasema sasa. Utanifanya nini? Nyooooooo.....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]umetema nyongo alaaaa....
 
Na kutongozwa na "vivulana" pia ni dalili mbaya kwa anaetongozwa!

Hasanteni kwa kunisikiliza!
 
Gudume tulia.
Ukute huyu jamaa ni Popoma Genta, au ni Bujibuji karudi kivingine baaada ya miaka mingi kupita na Sakata la GIRESII kusahaulika.
Poleni na mgao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukiona unatongozwa na vijana wa ovyo basi unapaswa ukae chini ujitafakari.

Kuna uwezekano ukawa wa ovyo pia. Daima kijana wa ovyo hawezi kuthubutu kumsogelea mtu na staha zake.

Pengine unachojinasibu nacho ni hilo umbo tu kupelekea kuwa maudhui pekee katika kutongozwa kwako.

Waswahili husema 'waarabu wa pemba hujuana kwa vilemba'.
So wewe unavyosema unapendwa na mabasha ni sababu wewe ni upinde?makubwaaaaaa....madogo yana nafuu.
 
Nna maswali ya msingi mawili

1. Kama kivulana uliona kilikutongoza kishamba kwann ulikikubalia na nguo kukivulia?
Wewe na yeye Nani mshamba Apo?
Tukikuita limbukeni tutakua tunakosea?

2. Kama kivulana Ni kishamba kwann ulikubali kukivulia nguo na ukatanua mapaja kikakupelekea Moto kwa 30mins?
Au ulkua unajiuza?
Ulikua unamalengo gan na kivulana cha watu?
Na nyie ndo mnasababisha wanaume wabaki wachache sababu ya ushoga wenu....sensa imetuonesha wanaume ni wachache sababu wengi kwa sasa mmekuwa mapunga....wallah dunia ya sasa inashida.
 
Una washwa wewe njoo ukunwe na mkuyenge
Si bora hata ungekuwa nao... Wewe mwenyewe upinde wa mvua... Huna hata malinda ukichuchumaa tu unapuu.. maana hakuna malinda huko nyuma.
 
Nimekaa hapa na li-parachichi langu ukijisikia kuwashwawashwa hicho kiarage chako acha kuusemea moyo Ma Mshuza PM yangu ipo wazi njoo tuyajenge tuingie site nikupelekee moto ili hicho kiarage chako kiache kukuwasha, ila baada ya mzagamuo usirudi hapa kusimulia kilichokukuta
Mmefunga shule?
 
We uume wako umelala kama maganda ya ndizi hata mwanamke utamfanya nini?

Nadumbukiza utambi,hutojutia show za kavulana hapa😅

Nitunuku mama kubwa achana na funguo za gari ni mbwembwe tu
 
Back
Top Bottom