Hakika,nikikasirika panachafuka cute...napambana nitoke kwenye hali hii balaa.Nikiwa normal unaweza omba niwe rafiki yako tena kwa dau kubwa kumbe ndani kipande cha mti 😎Ha haaa basi usivute tusije tukakupoteza bure
Inaweza ikakubadilisha ukawa mpole. Ukitumia hii kitu hata uwezo wako wa kufikiri unabadilika halafu unakuwa mtu peaceHakika,nikikasirika panachafuka cute...napambana nitoke kwenye hali hii balaa.Nikiwa normal unaweza omba niwe rafiki yako tena kwa dau kubwa kumbe ndani kipande cha mti 😎
hamuwezi kuamini hata rafiki zangu wa karibu na ndugu mpaka leo hawajui kama navuta 😂😂 nikiwa maeneo ya karibu na home napenda kuvuta kwa kujificha ila nikiwa mitaa ya mbali au nje ya mkoa naweza kuvuta wazi.
Binafsi nimevuta sigara za aina nyingi kuanzia embassy, club, spoti, nyota, winston, master, sm na hata za nje kama malboro lakini nimesalia kwenye spoti na winston.
Sipendi sigara zenye harufu kali kama sm na nyota.
Napendelea kuvuta nikiwa nimesimama, sijui kwanini nikikaa hainipi burudani.
Anzisha uzi wa WAVUTA NDUMU,WAVUTA GANJA,WALA GUGU,WALA KUKU au WALA JANI.Puff...puff and pass!hamuwezi kuamini hata rafiki zangu wa karibu na ndugu mpaka leo hawajui kama navuta 😂😂 nikiwa maeneo ya karibu na home napenda kuvuta kwa kujificha ila nikiwa mitaa ya mbali au nje ya mkoa naweza kuvuta wazi.
Binafsi nimevuta sigara za aina nyingi kuanzia embassy, club, spoti, nyota, winston, master, sm na hata za nje kama malboro lakini nimesalia kwenye spoti na winston.
Sipendi sigara zenye harufu kali kama sm na nyota.
Napendelea kuvuta nikiwa nimesimama, sijui kwanini nikikaa hainipi burudani.
Bangi hua haiachwi unachoweza kufanya ni kupumzika kwa mda hata mwaka au miezi utairudia tu[emoji2962] njia nzuri ni kubadili mazingira ukakae mahala ambapo upatikanaji wake utakua wa shida pia usizoeane sana na watu wanao vuta kwenye eneo hilo jipyaNmejitahid kuacha bange nashindwa nishaurin jmn nifanye nn
Shikataa,
NicotineKuna uhusiano gani mtu akila chakula akishiba anataka kuvuta ?
Ha ha haa,hayo ndo mambo sasa😄😄Kuna kitu inaitwa skanka hiyo ndio inakufaa ww hyo ni ya watu matajiri na watulivu.
Kitu Cha Arusha kinaliwa na watu wenye ela, Kwa sabb kile hakisokotwi na gazeti kinasokotwa na Rizla ya kununua dukani.Ha ha haa,hayo ndo mambo sasa