Aise waje haraka sana. Na mimi nimetoka kapa. Labda nineambulia kujuwa bei ya Redbull tu ni Tsh 9,000Duh aiseee ngoja wajuzi waje
Aise waje haraka sana. Na mimi ninetoka kapa. Labda nineambulia kujuwa bei ya Redbull tu ni Tsh 9,000
Usidanganywe na vitu vya mtandaoni mkuu. Hizi ni blah blah tu.***** mtaji wangu mtu anautumia kwa masaa! Dah dunia haiko fair.
Ni majina ya vyakula/vinywaji, special kwa hiyo sehemu bila shaka. N kama unavyokwenda restaurant ya kuuza pizza, unakutakana na majina ya pizza ya kuchekesha/kushangaza. Unakuta pizza inaitwa ''our shinning lady'' etcKuna Blow job Tsh 84,000, kuna sex on beach Tsh 42,000, nini kinafanyika hapa?
Kuna Ace of spade Gold Tsh 3,400,000, Ace of spade Rose Tsh 2,300,000. Ni vitu gani hivi?
Bill hiyo hapo angalieni wenyewe. Ni nini kinaendelea hapa Wavuvi Camp? Je TRA wanapata makusanyo hapa??
View attachment 3274347
Mkuu yajue ya kuzingatia ili uachane na yasiyokuhusu.Ni nini kinaendelea hapa Wavuvi Camp? Je TRA wanapata makusanyo hapa??
Usidanganyike. Huo ni uongo. Watu wanatafuta trend tu. Ngoja TRA waende hapo na waanze kujiliza.Mambo ya duniani. Haki tutaikuta mbinguni.
Chai hiyo mkuu. Wanataka trend to Mtandaoni.Nimeona kili water 0.5ltr 10000/-?????!???
Duh
Wakati 1.6ltr buku!