Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
😂kwani mi niko serious ?Ooooooh sorry sana kwa hilo km huwa nakukwaza, naomba nisamehe bureeh. But sijuagi kuwa serious au kukasirika, mda wote nipo full happy. Ila ahsante kwa kunirekebisha. [emoji120][emoji120][emoji120]
twende uzi wa selfika naona unataka mirinda baridii nakutumia picha😅Ooooooh sorry sana kwa hilo km huwa nakukwaza, naomba nisamehe bureeh. But sijuagi kuwa serious au kukasirika, mda wote nipo full happy. Ila ahsante kwa kunirekebisha. [emoji120][emoji120][emoji120]
Anakutaka huyo[emoji16][emoji16]Ooooooh sorry sana kwa hilo km huwa nakukwaza, naomba nisamehe bureeh. But sijuagi kuwa serious au kukasirika, mda wote nipo full happy. Ila ahsante kwa kunirekebisha. [emoji120][emoji120][emoji120]
Yes seriously...nimejiuliza mzazi kufanya kazi bandari ndo inakuwa familia ya kishua?MANENO YA VIJIWENI HAYA HEBU NITAJIE MALI WANAZOMILIKI FAMILIA YA KINA JUX
Kijijini kwetu mtoto wa mwalimu ni wa kishuaYes seriously...nimejiuliza mzazi kufanya kazi bandari ndo inakuwa familia ya kishua?
Boss miaka ile, huyo ni wa kishua kabisa. Ukumbuke majority uchumi ulikuwa bado sana..kwa hao wachache hata kama walikuwa wanapata mnachoita kidogo basi hawakuwa sawa na familia karibu 6 au 7 mtaani. Of which walihesabika wa kishua..Yes seriously...nimejiuliza mzazi kufanya kazi bandari ndo inakuwa familia ya kishua?
Nimejiuliza hivo kwa sababu mimi nafanya kazi huko panapoitwa pa kishua na sioni hiyo tofauti yan, kuna watu wapo taasisi ndogo tu na wana maisha mazuri kuliko Maafisa wengi wa BandariBoss miaka ile, huyo ni wa kishua kabisa. Ukumbuke majority uchumi ulikuwa bado sana..kwa hao wachache hata kama walikuwa wanapata mnachoita kidogo basi hawakuwa sawa na familia karibu 6 au 7 mtaani. Of which walihesabika wa kishua..
Hapo hata watoto wao mkicheza nao rede mnawarushia mpira kidogo kidogo wasiumie[emoji23]
Sasa utafananisha sasahivi na mwaka 1995 ambapo wasomi wenyewe walikuwa wachache na ikapelekea hata hao Waajiriwa kuwa wachache..lazima tu mtaani uonekane mtu fulani uheshimike. Achana na sasaivi kila mtu mpambanajiNimejiuliza hivo kwa sababu mimi nafanya kazi huko panapoitwa pa kishua na sioni hiyo tofauti yan, kuna watu wapo taasisi ndogo tu na wana maisha mazuri kuliko Maafisa wengi wa Bandari
Hizi hisia potofu hata Rais Samia anazo, anaamini kabisa watumishi wa bandari wana maisha mazuri kuliko yeyey[emoji3]
Nahreel mtoto wa Nimrod Mkono ,Hawa ni matajiri Sana.Mkono Advocates walifanya kazi hadi Ulaya.Kwa Sasa nadhani Mzee pesa zimepungua Sana.Kachoka kiafya au unamaanisha nini? Maana Kama ni mwili uko vilevile ni rasta tu ndo hazikuwepo
Mkuu huyu kijana kakulia Atown njiro home ni jumba la ghorofa, unamjua Nimrod Mkono wewe?
Uraibu fulani hvNini kulimuomdoa Langa Kileo?
Hahahahaha daaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wasanii wa kisua wa kwanza best naso baba ake anashamba Na Ana nyumba ya kupangisha,dudubaya baba ake alikua mtu anayemiliki tv kitaani pale nyegezi afu kuna sister p yeye shemeji yake ni Askari police pale central
Na nimeona post juzi kua anatafuta timu ya kuchezea tenaKuna yule faik bolkiah, prince wa Brunei alikipiga leicester city.
Daaaaah huyu jamaa alikua anajua sana sijui wasanii wetu wa bongo wanakutana na changamoto zipi aseeeh, Dulayo, Pasha, MB Dog......Huyo pichan ni Dullayo!!!!!! Msanii pendwa enz zile...
Leo anapiga mizinga tuu...anywe Double kick ......
Mitaa yake BANANA Huko:View attachment 2055053View attachment 2055054
Classmate wangu wa Advance wazazi wapo bandari tunaanza chuo tu na usafiri na kanipa sana lift. Wakati mimi smartphone yenyewe bila HESLB ungekua mtihani. Nitaachaje kumuita wakishua.Humu kuna ubishi wa kijinga sana
Achana na miaka ya 80's 90's hata sasa kwA Maisha ya mtanzania kuwa mtoto wa balozi, wazee kuwa bandari, kusoma shule binafsi huyo wa kishua.
Maisha ya watanzania 90% ni magumu mno, hawana uhakika na mlo mmoja ila tukinunua simu janja tuna anza ligi na kuona kula milo 3 ni kawaida (sisi tunaila kupitia insta, twita ) ila kiuhalisia hata humu wala milo 3 wako wachache mnoooo.
Wote mlio wataja kwA ushahidi mimi kwangu ni wa kishua tena sanaaa nacho weza ni kubisha tu kujipa faraja ya moyo nione na wao ni wa kawaida kama mimi tu
Watu wanaleta umaskini jeuri tu hapa ila ukweli wanaujuaClassmate wangu wa Advance wazazi wapo bandari tunaanza chuo tu na usafiri na kanipa sana lift. Wakati mimi smartphone yenyewe bila HESLB ungekua mtihani. Nitaachaje kumuita wakishua.
Sio emanuel ni noel mkonoEmmanuel Mkono hatari sana [emoji1373][emoji386][emoji385]
Hata serekali inajua huyu msanii kaishi maisha ya kishua!
Nahreal jina lake halisi ni noel mkonoNahreel ukimwangalia wakati bado yuko kwenye kundi la Pah One alikuwa kachoka sana.
Sidhani kama alikuwa na ushua wowote